Je, CCM hupandikiza wagombea UBUNGE na UDIWANI la 7 na Form4 ili waendelee kubaki madarakani?

CHAGOSI GERALD

Senior Member
Joined
Jan 25, 2020
Posts
162
Reaction score
286
Sifa ya Mgombea ubunge na udiwani sharti awe anajua kusoma na kuandika naomba ilishapita na wakati.

Ni muaka 63 sasa tangu tupate uhuru lakini mpaka leo bado tunaongozwa na wajinga.

Unampaje mtu wa form4 aongoze Jimbo?
Watu wasiosoma hudhani msomi anajua kila kitu na matokeo yake huishia kumsifia maana wanajua msomi anajua kila kitu.

Bunge likiwa na watu kama hao ndio chanzo cha kupitisha mikataba na bajeti za hovyo maana hawana uwezo wa kujudge, wanajudge vitu vidogo dogo kama "kwanini kila kimbunga kinakuwa na jina lakike? Instead of kuitwa kimbunga hidaya kwanini kisiitwe kimbunga Hassan?

Wengine huenda mbali na kumshukuru Rais kwa mambo ambayo ni wajibu wake wala sio ombi kwa yeye kufanya hivyo.

20240624_135408.jpg

Binafsi siwalaumu maana ndio uwezo wao wa kufikiria unaishia hapo. Mtu kama huyu hawezi kuja na hoja fikirishi bungeni na wala hawezi kupinga hoja maana kichwani hamna kitu, yeye kila kitu kwake ni sawa.

CCM inawataka sana watu kama hawa ndiomaana mpaka leo hawataki kubadilisha hiyo sifa ya mgombea.

Maybe tatizo sio CCM, labda tatizo ni wagombea wanaosimamishwa ni je wanafaa kwenye hizo nafasi?

Tuseme labda bunge limejaa watu wenye uwezo wa

-Ujuzi wa uchambuzi
-Uwezo wa kuwasilisha hoja.
-Uwezo wa kufikiri kwa kina
-Uzoefu
-Shauku ya haki na usawa
-Ujasiri
-Uadilifu
-Uwezo wa kushirikiana
Na wawe na elimu Shahada na kuendelea, tungekuwa mbali sana.

Wasomi wanawezanaga wao na mara nyingi huwa hawapendi mtu mwingine aonekane ni bora zaidi yao.

Bajeti za Mwigulu Nchemba hupita bila kupingwa kwa sababu hakuna mtu wa kufanya hivyo.
 
View attachment 3024797

Well ni moja ya trick ya muda mrefu, you know ukiweka wasomi kwenye hizo nafasi watahoji na kufuatilia halaf si rahisi kudanganyika.
Is why katiba lazima ibadili upatikanaji wa hawa watu lakini pia qualification

Tz ni nchi pekee ambayo class 7 bado wanachaguliwa to date karne hii
 
Sifa ya Mgombea ubunge na udiwani sharti awe anajua kusoma na kuandika naomba ilishapita na wakati.

Ni muaka 63 sasa tangu tupate uhuru lakini mpaka leo bado tunaongozwa na wajinga.

Unampaje mtu wa form4 aongoze Jimbo?
Watu wasiosoma hudhani msomi anajua kila kitu na matokeo yake huishia kumsifia maana wanajua msomi anajua kila kitu.

Bunge likiwa na watu kama hao ndio chanzo cha kupitisha mikataba na bajeti za hovyo maana hawana uwezo wa kujudge, wanajudge vitu vidogo dogo kama "kwanini kila kimbunga kinakuwa na jina lakike? Instead of kuitwa kimbunga hidaya kwanini kisiitwe kimbunga Hassan?

Wengine huenda mbali na kumshukuru Rais kwa mambo ambayo ni wajibu wake wala sio ombi kwa yeye kufanya hivyo.

View attachment 3024797

Binafsi siwalaumu maana ndio uwezo wao wa kufikiria unaishia hapo. Mtu kama huyu hawezi kuja na hoja fikirishi bungeni na wala hawezi kupinga hoja maana kichwani hamna kitu, yeye kila kitu kwake ni sawa.

CCM inawataka sana watu kama hawa ndiomaana mpaka leo hawataki kubadilisha hiyo sifa ya mgombea.

Maybe tatizo sio CCM, labda tatizo ni wagombea wanaosimamishwa ni je wanafaa kwenye hizo nafasi?

Tuseme labda bunge limejaa watu wenye uwezo wa

-Ujuzi wa uchambuzi
-Uwezo wa kuwasilisha hoja.
-Uwezo wa kufikiri kwa kina
-Uzoefu
-Shauku ya haki na usawa
-Ujasiri
-Uadilifu
-Uwezo wa kushirikiana
Na wawe na elimu Shahada na kuendelea, tungekuwa mbali sana.

Wasomi wanawezanaga wao na mara nyingi huwa hawapendi mtu mwingine aonekane ni bora zaidi yao.

Bajeti za Mwigulu Nchemba hupita bila kupingwa kwa sababu hakuna mtu wa kufanya hivyo.
Siyo kila aliyesoma sana(digrii) ana uwezo wa kuongoza na kukubalika na watu. Wasomi wengi wanakuwa na hulka isiyo rafiki - majivuno, ujuaji, ubishi na kutokubali kushauliwa hasa na raia wa kawaida ambaye si msomi. Tulikuwa na Viongozi wenye PHD ambao walishindwa kuelewa chanjo ni nini? Mfumo wa Mabunge duniani ni mbunge kutetea Sera za Chama chake cha Siasa, si rahisi mbunge kuwa nje ya msimamo wa chama chake labda kama anataka atengwe na chama chake. Tutafute viongozi bora si Elimu ya Viongozi. Wizi wa mali ya Umma hauna Kisomo. Nchi zetu zinashindwa kuendelea kwa sababu tunaibiwa sana hasa na viongozi ambao si wazalendo.
 
Unampaje mtu wa form4 aongoze Jimbo?
Swali: Je, Kuwa na shahada ya kwanza mpaka ya tatu na mpaka kuwa Profesa ndiyo kuwa na akili?? Unahisi mtu akiwa darasa la saba au kidato cha nne hana akili??

Huko bungeni la saba na form four wako wangapi??

Nb: Una ushamba na ulimbukeni na hujui dunia inaenda wapi, unahisi hii elimu ya kukariri ndiyo itamsaidia mtanzania!?
 
Mtoa mada ni mmoja ya wale wenye mentality za dark age
 
Najua utakuja kumtetea baba ako maybe mjomba yako, lakini huo ndio ukweli.

Hata waingereza waliona wamwachie Nyerere Nchi kwakuwa walijua wameiacha kwa msomi.
Waanzirishi wa TAA tu walishindwa kupigania ukombozi mpaka Mwanafalsafa nyerere alivojiunga na chama hicho.

Lasaba akiambiwa na mtu wa PhD kitu yeye ni kukubali tu kwa sababa hawezi kutafakari na hawezi kujudge.
 
Siri ya CCM kukaa madarakani ni vyombo vya ulinzi na usalama, hao ndio wanaruhusu wizi wa kura na ndio wanawapa ushindi wa kishindo CCM. Siku vyombo vya ulinzi na usalama vikiamua kukataa kuiba kura ndio itakuwa MWISHO wa CCM.
 
Swali: Je, Kuwa na shahada ya kwanza mpaka ya tatu na mpaka kuwa Profesa ndiyo kuwa na akili?? Unahisi mtu akiwa darasa la saba au kidato cha nne hana akili??

Huko bungeni la saba na form four wako wangapi??

Nb: Una ushamba na ulimbukeni na hujui dunia inaenda wapi, unahisi hii elimu ya kukariri ndiyo itamsaidia mtanzania!?
Achana na hivo vitabu vya kukariri. Penda kujisomea vitabu sawa.
 
Back
Top Bottom