Wakuu,
Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.
Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta...
Sifa ya Mgombea ubunge na udiwani sharti awe anajua kusoma na kuandika naomba ilishapita na wakati.
Ni muaka 63 sasa tangu tupate uhuru lakini mpaka leo bado tunaongozwa na wajinga.
Unampaje mtu wa form4 aongoze Jimbo?
Watu wasiosoma hudhani msomi anajua kila kitu na matokeo yake huishia...