wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jimbo la Buyungu - Kauli Tata za Waliowahi Kuwa Wabunge

    WanaJf, Salaam! Naenda moja kwa moja kwenye agenda. (a). 1995 Mbunge wa wakati huo RUHINDA alinukuliwa akisema "Hata mkininyima kura sitavaa kobazi." (b). 2000 - 2005 mbunge Magayane akanukuliwa akiwaambia wapigakura kuwa "nyani hali kilichopikwa." (c). 2020 - Mbunge amenukuliwa akisema kuwa...
  2. Wabunge wanaoongoza kwa kulalamika hawalisaidii taifa

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 63 (2) moja ya majukumu ya Bunge la JMT (Mbunge) ni KUISHAURI NA KUISIMAMIA SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake Katiba ambayo ndiyo sheria Mama, inaeleza wazi kuwa wabunge...
  3. J

    Wabunge watetezi wa kweli wa hoja za wananchi Gambo anaongoza

    Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo ndio anaongoza kwa hoja nzito za kuwapigania wananchi ndani ya Bunge tofauti na wabunge wengine wa kusifu na kuabudu akifuatiliwa na Bashiru Ally. Tuweke list ya top 5 ya wabunge watetezi kweli wa hoja za wananchi bungeni; 1. Mrisho Gambo 2. Bashiru Ally
  4. K

    Wabunge wamekuwa walalamishi bila kutoa ushauri

    Wabunge wengi badala ya kutafuta suluhisho la mfumuko wa bei wanatafuta kiki tu. Tumemsikia Gambo na Bushiru wote wana lalamika na kuuliza maswali wakati waziri wa kilimo alishajibu tena kwa upana wake. Badala ya kulalama watoe suluhisho mfano 1. Je wanafikiri ruzuku iongezwe na pesa itoke...
  5. Uganda: Rais apiga marufuku safari za nje kwa Wabunge na Watumishi wa Umma kunusuru uchumi

    Rais #YoweriMuseveni amepiga marufuku kusafiri nje ya Nchi na posho za ndani kwa Wabunge na Watumishi wa Umma ili kuokoa Fedha za kuendeleza sekta muhimu kama Mafuta na Gesi Hata hivyo, Waziri wa Fedha, Matia Kasaija, amesema Serikali haiwezi kupiga marufuku safari zote nje ya Nchi kwasababu...
  6. TRA kwanini kodi (ushuru) hutozwa kodi tena kwa jina lingine? Wabunge mko wapi?

    Nimejaribu kuisoma kanuni iliyotolewa na TRA ya kukokotoa kodi inayolipiwa bidhaa zinaoingizwa toka nchi za nje nimepata maswali mengi sana. Mojawapo ya maswali ni kwanini Ushuru wa Forodha unatozwa Ushuru wa Bidhaa pia unatozwa Ushuru wa Ongezeko la Thamani (VAT)? Kwanini Ushuru wa Bidhaa...
  7. Wabunge jipangeni kuikosoa Serikali

    BUNGE linatarajiwa kuanza mikutano yake Mwishoni mwa wezi huu, ikiwa ni siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza hadharani yuko tayari kukosolewa yeye na Serikali yake ili kumuonyesha maeneo yenye matatizo aweze kuchukua hatua kubadilisha dosari zilizopo. Wabunge tunawataka...
  8. Dhamira njema ya Katiba Mpya ni kuwa na jopo jipya lisilohusisha Wabunge waliopo

    Salaaam! Kuhusu kuundwa katiba mpya serikali haina budi kutenda haki juu ya muundo wa jopo au kamati au bunge ambalo halitahusisha mbunge yeyote na wa chama chochote, katiba iundwe na wasiofungamana na siasa za uwakilishi wa kibunge na Baraza la wawakilishi. Ni matumaini yetu ya kwamba...
  9. Wabunge unganisheni nguvu muitake Serikali iwasilishe Bungeni mchanganuo wa fedha ilizokopa nje

    HILI suala la mikopo tusipoliangalia litugawa kama Taifa, alianza Ndugai tukaona ni utani akapoteza nafasi ya Uspika, akaja kulizungumzia bungeni Luhaga Mpina naye akapoteza nafasi ya kuteuliwa kugombea nafasi ya NEC aliyoomba kupitia CCM. Akazungumza tena bungeni Oran Njeza Mbunge wa Mbeya...
  10. J

    EALA: Kinana na Shaka wawafunda Wabunge wa CCM walioapa, Mnyaa wa CUF ndani, ACT Wazalendo hawakubahatika CHADEMA walisusa

    WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI ( EALA ) WAAPA KIAPO CHA UAMINIFU Katibu wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Alex Obatre ameongoza zoezi la kuwaapisha wabunge wapya kutoka Nchi Wanachama saba ambazo ni Tanzania, Burundi, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini, na Kongo DRC. Viongozi...
  11. Meya Mstaafu Jacob: CHADEMA kukosa Wabunge kunaathiri Wananchi

    Meya wa zamani wa manispaa za Kinondoni na Ubungo jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob amesema kutokuwepo kwa wawakilishi wanaotokana na Chadema katika Bunge na mabaraza ya madiwani kunawaathiri zaidi wananchi. Jacob, aliyekuwa diwani wa Ubungo kwa miaka 10, amesema anaamini Chadema ingekuwa na...
  12. Marekani: Wabunge waibua muswada wa kuizuia TikTok sababu ya kiusalama

    Muswada huo ni mwendelezo wa Marekani kupinga mtandao huo unaomilikiwa na Kampuni ya ByteDance ya China. Novemba 2022 mabosi wa FBI walielezea wasiwasi wao kuwa TikTok inaweza kuwa sehemu ya ushawishi kwa Wamarekani wengi kutumia vifaa vya China. TikTok ambayo ina watumiaji zaidi ya Milioni...
  13. K

    Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

    Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara. Wanawake 1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770 2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764 3. Christina Solomon Mndeme Kura...
  14. RC Mara awaondoa Makatibu wa Wabunge kwenye Kikao, adai wao si Wajumbe wa Kikao hicho

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee amewaondoka kwenye kikao cha Bodi ya Barabara ya Mkoa huo makatibu wa wabunge ambao waliwawakilisha wabunge kwa maelezo kuwa makatibu hao siyo wajumbe halali wa kikao hicho huku akidai wabunge wengi wa mkoa huo wamekuwa na dharau na hawahudhurii...
  15. Wabunge waangushwa kwenye uchaguzi wa CCM Mkoa Singida

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wabwagwa kwenye uchaguzi wa CCM Mkoa wa Singida, wabunge hao ni Mbunge wa Jimbo la Singida mjini Musa Sima na Mbunge wa Jimbo la Singida kaskazini bwana Ramadhan Ighondo waliokuwa wakigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa (NEC) kutoka...
  16. M

    Kihongosi acha unafiki usiitumie UVCCM kunyamazisha wabunge, umeshindwa kusaidia vijana

    Kenan KIHONGOSI ameshindwa kuwatetea vijana katika kipindi chake chote cha uongozi akiwa Katibu Mkuu wa Vijana, leo vijana na Tanzania wanahangaika kutafuta ajira na ajira zilizopo zinachukuliwa na wageni yeye hajawahi kuitisha Press kupinga dhuluma wanazofanyiwa vijana wa nchi hii. Bunge...
  17. Z

    Wizi Serikalini: Wabunge wanawakwepa Mawaziri na Makatibu Wakuu makusudi?

    Msimu huu wa bunge umetawaliwa na taarifa ya CAG ambayo inaonesha wizi mkubwa serikalini. Tatizo malalamiko ya wabunge yanalenga taasisi za serikali na watendaji wake bila kuwataja mawaziri ambao ni wabunge wenzao. Ukweli ni kwamba mawaziri wote wa serikali ya rais Samia wanashindana kuiba pesa...
  18. Wabunge kuzipitia upya Sheria zilizopitishwa na Uhuru Kenyatta

    Hatua hiyo inafuatia baadhi ya Wabunge kuwasilisha hoja kwa Spika Moses Wetang'ula wakidai baadhi ya Sheria ziko kinyume na Katiba na hazina idhini ya Bunge. Pia, Wabunge wamewatuhumu Mawaziri waliopita kwa kutunga Kanuni ambazo zimekuwa Kandamizi, wakisema hazikufuata mkondo sahihi kabla ya...
  19. B

    Katiba ya Tanzania na Sifa za wabunge

    Hivi ni kweli Watanzania wanahitaji KATIBA MPYA kwa sasa? 1) Wasomi na wote wasio na maslahi binafsi na katiba. Hawa watasema ndio kwa kuangazia mambo kadha wadha ambayo yanaonekana ni chechefu. Mfano, KATIBA ya sasa ya Tanzania inazitambua sifa nyingi za mgombea nafasi ya siasa km Ubunge...
  20. Kwa haya ambayo mliwasingizia Nape na Makamba mtubu sasa Mungu amewaweka wazi

    Huwa siwezi amini kuna kipindi Nape alikuwa anaonekana shujaa, smart. Huwa naogopa kukumbuka hilo. Kuna kipindi naye Makamba akasingiziwa kuwa ni smart. Nlikuwa nawaambia. Ukikuta nyoka anaungua na moyo usaidie moto kukolea. Unaweza msaidia nyoka...kwa tabia za kinafiki za nyoka kuna siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…