Kuna mahali naona hapako sawa, ili uwe mbunge Tanzania ni kujua kusoma na kuandika, kwa maana kwamba hata darasa la nne anaweza kuwa mbunge, na pengine hata kingereza akawa hajui, inakuwaje anamsikiliza mtahiniwa/msailiwa kwa lugha ya kingereza wakati yeye haijui?halafu baada ya hapo anapiga...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amelikosoa bunge la Umoja wa Ulaya baada ya kuitaka serikali yake kusitisha mradi wa kimkakati wa bomba la mafuta na nchi jirani ya Tanzania.
Wiki mbili zilizopita wabunge wa Umoja wa Ulaya walipitisha azimio la onyo la ukiukwaji wa haki za binadamu na hatari ya...
Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu
Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF
Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni
Mpango wa wabunge wahafidhina...
Kwa huu Utopolo unaoendelea bila shaka Kila mtu amejionea kuwa kule bungeni ni muhimu kuwa na wabunge ambao sio kijani pekee.
Inshu ya Tozo kwamfano! Ni mpaka Wananchi wenyewe mtaani wanajisemea hakuna wa kuwasemea! Bungeni kule ni watu kupongeza tu.
Sasa hivi bei ya nafaka haikamatiki na...
Ni dhahiri kutokana na maneno na vitendo vyake, Hayati Magufuli, hakutaka vyama vya upinzani, hususani Chadema, viendelee kuwepo hapa nchini.
Huyo Mwendazake, aliwahi kusikika akitamka hadharani Katika sherehe za kuazimisha, kuzaliwa kwa CCM, huko Singida, akijiapiza kuwa ifikapo 2020, atakuwa...
Watu wa kulalamikia ni walenwapiga makofi kule Mjengoni wale ndio tatizo kubwa sana nchi hii, na awu hii walivyo jazana kule sasa ndio balaa tupu.
Naona watu wanamulaumu sana Mwigulu, sijaona kosa la jamaa, bali kuna wale wapiga meza mkofi wale ndio watu wa kulaumu.
Mara nyingi wamekuwa...
Nilikuwa nakataa kuwa Bunge la sasa limejaa Wabunge dhaifu (ukiwaondoa tu wale wasio Mashabiki wa Yanga SC) ila kwa Upuuzi (Udhaifu) uliotokea leo Bungeni nimekubali na Mimi sasa naanza Kuwadharau.
Spika tafadhali ajiri Watu makini hapo Ofisini Kwako na hapo Bungeni ndani ili wasije Kujiaibisha...
Ukifuatilia siasa za Tanzania kuna mambo mengi sana yanachukuliwa poa lakini kiuhalisia yanaweza kuwa kikwazo cha Tanzania kutofanikiwa kwenye mambo mengi.
Kuna jambo ambalo najua mimi sitakuwa wa kwanza kulizungumza, hili suala la Wabunge wetu kuwa sheria au niite kigezo cha kwanza lazima ajue...
Hii ndio taarifa ya motomoto..
=======
Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko...
Suala la bima kwa wote ni zuri!
Lakini hakikisheni sheria isimlazimishe mtu kuwa na bima! Bima kwa wote iwe ni Hiari!
Mtu asinyimwe huduma za kijamii kisa hana bima
Mtu asinyimwe pembejeo kisa hana bima
Mtu asinyimwe damu kisa hana bima
Mtu asisafili kisa hana bima
Mtu asinyimwe leseni kisa...
"Kama kweli Watanzania wakijielewa na kutuliza Akili zao na kwa hali ninayoiona sasa Mitaani kutokana na Hasira za Tozo Lukuki huku Maisha yao yakizidi kuwa magumu kuna Uwezekano 90% ya Wabunge hatutokuwa nao tena Bungeni mwaka 2025" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Hillary Daud a.k.a Zembwela...
Bunge la Uganda limepitisha Sheria ya Mtandao ikilenga watumiaji wa kompyuta Nchini humo.
Baadhi ya Wabunge wamenukuliwa wakisema kwamba watakwenda kuipinga Mahakamani itawahusu watu wanaochapisha taarifa za uongo mitandaoni, taarifa ambazo hazijathibitishwa na wahusika, pia kuchapisha taarifa...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimewapitisha wanachama nane kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA) utakaofanyika Septemba 22, mwaka huu.
Akitangaza majina ya makada wa CCM waliopitishwa na Kamati ya Wabunge wa CCM leo, Msimamizi wa Uchaguzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya...
Komredi Kinana amewataka Wabunge wa CCM kuwa Wakali kwa Serikali I'll matarajio ya Wananchi yafikiwe
Kinana amesema yeye ni muumini wa siasa za kukosoa na kukemea lakini ni lazima Wabunge hao wawe Wakali Kwenye mambo ya msingi na siyo kufanya mbwembwe tu
Kinana amesema Wabunge wasimwachie...
Siku ya leo mitandao yote ya kijamii inazunguka Clip ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ikisema kuanzia sasa gharama ya kuunganisha umeme iwe mjini iwe kijijini gharama ya kuletewa umeme ni laki 8.
Clip hiyo imetokana na sehemu ya mahojiano ya ITV katika Kipindi cha Dakika 45 Makamba...
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema chama hicho hakitashiriki uchaguzi wa kuwapata wabunge watakaoiwakilisha Tanzania kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika ya Mashiriki (Eala).
Uchaguzi huo utafanyika katika mkutano wa Bunge la Tanzania utakaoanza Septemba 13, 2022 jijini Dodoma.
Mnyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.