Waziri wa afya ameshatoa yake kuhusu shirika la Bima NHIF kushindwa kujiendesha na kuelemewa na mzigo. Muathirika mkubwa ni mwananchi wa kawaida kwasababu wafanyakazi na wanasiasa hawatokosa fedha za matibabu!
Ili kusaidia, fedha za posho za wanasiasa fyeka zote peleka kwenye madawa na vifaa...
Habari Jf, nimefuatilia baadhi ambazo zinakuwa zikirushwa mubashara kuna kitu fulani kinaongezeka katika kuonyesha haki inatendeka.
Itapunguza mambo mengi kufichwa na udanganyifu. Mtu akisema mimi nafanya kazi central au naishi Morogoro maana yake kuna watu wengi watamuona kwa sura na itasaidia...
Nilimsikiliza Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, hapo jana Katika kile alichokiita ni kutoa ufafanuzi na kilio cha wananchi kuhusu tozo nyingi wanazokatwa kupitia miamala ya simu na sasa kupitia Benki.
Katika maelezo yake alikiri wazi kuwa ni makosa kumkata mwananchi tozo, zaidi ya moja, Katika...
Utaratibu ni kwamba ukiwa mbunge na umepiga kura kuunga mkono muswada wowote unatakiwa kuwa wa kwanza kuutetea. Lakini kama umepiga kura kupinga unatakiwa kutoa sababu za msingi za kupinga
Sasa wabunge wemepiga kura kuunga mkono muswada wa tozo na mengine mingi lakini hawaonekani sehemu yeyote...
Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata huduma hizo.
Hata hivyo, Wabunge hao watapata Bima ya Tsh. Milioni 206 ikijumuisha na familia zao...
Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa Jumanne amekabiliwa na maswali makali bungeni, wakati wabunge walipotaka majibu jinsi anavyokabiliana na wizi wa mamilioni ya dola kutoka kwenye shamba lake.
Kwa mujibu wa shirika la habari la AP Ramaphosa alipigiwa kelele na wabunge wa upinzani wakimtaka...
Jamani wanajf habari. Jamani samahani naomba ufafanuzi Kama tunasema Bunge Ni chombo Cha kutunga sheria kwa Nini wabunge wengi sio Wanasheria?
Watungaje sheria wakati hawajui sheria? Mimi nafkiri kungekuwa na vigezo maalum vya kuwa mbunge kigezo mojawapo angalau mtu awe na certificate ya...
Bunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.
Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ndio imelifikisha taifa hapa lililopo sasa kwenye mkwamo na mgogoro mkubwa wa kuichumi kwa kubariki msururu mkubwa wa tozo kwa wananchi masikini.
Bahati mbaya sana Kamati hii imejificha na lawama zote zinaelekezwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan badala ya...
Huwezi amini nchini Kenya toka Jana kuna utitiri wa wabunge wateule kutoka vyama mbali mbali kikiwemo na chama Cha Raila Odinga wameanza kuunga juhudi Kwa Kasi ya 5g..
Soma hapa zaidi:
Today and Yesterday was a Busy Day for KENYA KWANZA
MPs Who Have Joined Kenya Kwanza
1. Nambale Constituency-...
Jina la Mbunge na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai limeonekana katika Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, leo Agosti 13, 2022.
Heshima kwema JF
Moja kwa moja kwenye hoja, zamani wananchi walikuwa wanaibua uozo uliko ndani ya wizara, mkoa, wilaya, Idara au hata mashirika ya umma kwa kutoa siri ya kinachoendelea kwa wabunge wa upinzani iliwanjenge hoja na kulisidia taifa kutokana hali hiyo. Rejea Richmond, chuo cha KIU...
Mbunge anapewa mafuta kwa ujazo, hajawahi nunua kwa fedha yake, maposho posho kibao. Halipi kodi, hakuna performance rating akiwa anawahudumia wananchi.
Sasa ni wakati gani atahisi[feel] vile mwananchi wa kawaida anavyohisi ukali wa maisha?
Mbunge wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka amesema pamoja na mambo yote yanayofanywa na Wizara ya Nishati lakini wananchi wa Tabora wanataka umeme. "tuongeee yote wanataka kuona umeme ni umeme ni umeme
Naye Mbunge wa Urambo, Margareth Sitta amesema nishati ya umeme kwa wananchi ni uchumi na ni...
Na Wabunge waliojichangisha wamesema wanataka 'Siku ya Wananchi Wapuuzi' tarehe 6 August 2022 warejeshewe Pesa zao vinginevyo watalikamata Basi au watagawana Makombe yote yakakae Kwanza Makwao hadi walipwe Chao.
Wabunge wa URUSI wamelalamika juu ya operesheni maalumu nchi Ukraine kuwa ngumu kutokana na UKRAINE kutumia wanadamu wasiokuwa wa kawaida- Superhumans- ambao wamekuwa modified kwenye maabara za siri nchini Ukraine na marekani. Madai haya yanafuatia tuhuma za Urusi na China juu ya kuwepo maabara...
Usalama umeonekana kuimarishwa eneo la Bunge wakati Wabunge wakijiandaa kupiga Kura itakayoamua nani atakuwa Rais wa Nchi hiyo. Rais wa Mpito wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ni miongoni mwa wagombea watatu wa Urais
Wananchi wengi wameonekana kutomuunga mkono Wickremesinghe ambaye awali...
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na wadhifa wake mkubwa alionao kwa Taifa letu anaheshimu mawazo ya Wabunge na kusema atafanyia kazi miongozo na ushauri wa Wabunge.
Hongera SSH kwa spirit hii ya kuwasikiliza viongozi wenzako
MADAI
Taarifa zinaenea mitandaoni kuwa CHADEMA watapeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukua ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Zaidi ya hayo inadaiwa Bunge litaridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.