Hapa Ndipo unaona Umuhimu wa Kua na Kiongozi Mkuu wa Nchi mwenye Akili kama Hayati, Mwanasayansi na Mzalendo wa kweli.
Bunge tulonalo limejazwa na Watanzania wengi Vichwa maji, Vitunguu maji kabisa, Mbunge anasimama kuongea unaona kabisa huyu kichwan mweupe.
Na Kwa sababu ya upeo wao Mdogo...