Wakuu!
Ile ajali ya wabunge ukitazama kama ilikuwa ndogo lakini baadhi ya wabunge hali zao bado ni mbaya hadi wamehamishiwa MOI au tuseme maombi ya baadhi a wabongo?
=====================
Wabunge watatu majeruhi wa ajali ya basi la Kampuni ya Shabiby waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amewajulia hali baadhi ya Wabunge majeruhi, waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam, waliopata ajali ya gari mkoani Dodoma wakati wakielekea kwenye...
Mimi binafsi nilijizuia nisiseme neno lolote...
Lakini kimoyomoyo niliona na kufikiri kuwa kwa kuwa wameikataa njia ya haki ya kubadilishana uongozi na madaraka....
Basi, pengine njia inayofaa kuuondoa huu utawala wa uovu chini ya CCM, obvious ni hii ya kufagiliwa kwa mauti za namna hii...
Wabunge wanne kati ya 17 waliolazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) wameruhusiwa baada ya afya zao kuimarika, huku wengine wakiendelea na matibabu.
Majeruhi hao walipata ajali juzi eneo la Mbande wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wakienda Mombasa, Kenya kwenye mashindano ya 14 ya Mabunge...
Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa?
Ni haki yetu wananchi kufahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.
Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?
Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?
Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?
Nne, chama chao nacho...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameandika Ukurasani X akiwasihi Wabunge walionusurika ajalini Wasome maoni ya Wananchi kwenye mitandao ya kijamii
Lema amesema Jamii inawachukia Wabunge Kuliko hata inavyomchukia shetani
Soma Pia: Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa...
Leo, Disemba 6, 2024, basi lililokuwa limebeba wabunge waliokuwa wakielekea kwenye mashindano ya michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali katika eneo la Mbande, Kongwa, mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa Polisi mkoani Dodoma, ajali hiyo ilitokea baada ya dereva wa basi kujaribu...
Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya...
WABUNGE WANAWAKE ZANZIBAR: UWEKEZAJI UNAOFANYWA UMEKUWA KICHOCHEO CHA KUKUZA UCHUMI ZANZIBAR
Wakiwa Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 30 Novemba, 2024, Wabunge Wanawake Zanzibar wameeleza kuwa Uwekezaji unaofanywa na Serikali umekua ni kichocheo cha kukuza uchumi na maendeleo ya nchi.
Hayo...
WABUNGE WANAWAKE ZANZIBAR WAFIKA KASKAZINI UNGUJA, WAKAGUA MIRADI ILIYOTEKELEZWA
Wabunge Wanawake Zanzibar wakiwemo Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum wameendelea na ziara yao ya kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Rais wa Zanzibar na...
Wabunge wa Umoja wa Wanawake (UWT) Zanzibar (Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum) tarehe 28 Novemba, 2024 wameanza ziara rasmi kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Rais, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Katika ziara yao, Wabunge Wanawake...
Wazungu wanamsemo wao mashuhuri sana unaosema, there is no honor among thieves, wakimanisha kwamba wahalifu hawaheshimiani linapokuja suala la maslahi ama kugeukana. Sasa kwa watu wa namba tumeshaona uwezo wa Chadema kupewa ubunge kwa njia ya rushwa kama mlivyokubaliana na CCM ni kaburi la kifo...
Kulingana na malalamiko rasmi kwa ECN, chama cha IPC sasa iko katika mchakato wa kufika Mahakama ya Uchaguzi (sehemu ya Mahakama Kuu ya Namibia) ili ikiwezekana kutengua uchaguzi wa Rais na Wabunge wa Namibia leo, kwa kuzingatia ukweli kwamba idadi kubwa ya watu hawakuweza kutumia haki yao ya...
Wananchi nchini Namibia wanapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge katika uchaguzi unaotajwa kuwa mgumu kwa taifa hilo.
Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa mapema leo Novemba 27 ambapo maeneo mengi yameshuhudia msururu mrefu wa wapiga kura.
Chama tawala cha SWAPO kinapewa nafasi ndogo ya...
Ukweli ulio Tukuka, Kuna baadhi ya maeneo katika nchi yetu hayapati maendeleo kutokana na aina ya viongozi walionao ambao siyo wachapakazi. Viongozi waliochaguliwa wanafanya kazi kwa kupendelea kundi la watu fulani tu. Wakati mwingine, baadhi ya viongozi hawawezi kuwajibika mpaka siku za...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku ya jana Oktoba 29, 2024 katika kipindi cha maswali na majibu wameibana Serikali kuhusu bei ya kuunganisha umeme maeneo ya mijini, ambapo bei hiyo ni shilingi 320,000.
Akijibu swali la Mbunge wa Korogwe, Timotheo Mzava, Naibu Waziri Judith...
Tukianza na Sugu Lema Lisu Zito Mbowe na kama msigwa asingetoka na mdee kujichanganya basi walikuwa wanarudi vilevile.
Nilitegemea kuona sura mpya baada ya miaka takribani 15 lakini hakuna dalili yoyote bado zitarudi sura hizohizo.
Spika kabisa unaona poa kushadadi ajira za kujitolea yaani mtu anasoma mpaka university halafu manaona kumpa cheap labour ndo halali yake, kweli.
Badala ya spika wa bunge kukemea hilo we ndo kwanza unaona poa tu unalitumia kuwakandamiza wengine ili nao wajitolee ili kupata kazi.
Halafu mobunge...
Wabunge ambao walikuwa nauwezekano mkubwa wakuwa Mawaziri lakini hawajafanikiwa. je Ni kwanini.?
Naanza na Mh Charles Kimei mbunge wa jimbo la Vunjo.
Huyu watu wengine tulijua anaweza kuwa waziri wa Fedha au Biashara na viwanda lakini Marais wote hawajamchagua kuwa waziri. Je ni kwanini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.