wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Nawasikiliza wabunge wa Katavi wakiongea na Rais Samia; wanalalamika sana, wanamshukuru sana na wanampongeza sana Rais

    Hizo ndio siasa zisizoeleweka za Tanzania. Sasa hivi hapa nawasikiliza wabunge wa mkoa wa Katavi wakizungumza na Rais Samia aliyemaliza ziara yake mkoani Katavi. Nawasikiliza wabunge hao wakilalamikia sana mambo mbalimbali ya mkoa wao, wakati huo huo wanamshukuru na kumpongeza sana rais kwa...
  2. Nehemia Kilave

    Magufuli: Matatizo hayakimbiwi, matatizo ni kukabiliana nayo

    Hayati Magufuli alishindwa vumilia kudharauliwa, na hii ndio sababu kubwa Upinzani hauku ingia bungeni 2020 , inasemekana hivyo . Muwe na siku njema
  3. S

    Poleni Wasukuma kwa kuchagua wabunge wa darasa la 7

    POLENI sana ndugu zangu Wasukuma kwa kufanya utani kwenye uchaguzi na kuacha vigezo vya uwezo wa kiakili ninyi wenzangu mnaangalia mtu ambaye ana uwezo wa kuwanunuliwa vitumbua, ubwabwa, soda na kuwagawia shilingi elfu 5 tano matokeo yake mnapeleka wabunge bungeni ambao hawana uwezo wa kujua...
  4. S

    Madai ya baadhi ya wabunge kuwa wanufaika wa vibali vya sukari yana ukweli kiasi gani?

    Wabunge wanatuhumiwa kuhusika kwenye kashfa ya sukari ambapo inadaiwa baadhi yao wamepewa vibali vya kuagiza sukari na Waziri Bashe kama mkakati wa kuwanyamazisha na kufanikisha azma yake ya kubadilisha sheria ya sukari ili wapate hela nyingi kwa ajili ya uchaguzi. Baadhi ya wabunge wanaotajwa...
  5. A

    Wananchi Kenya wadai wabunge wao wananunuliwa kama wanawake

    Wananchi wa Kenya , wamewalaumu wabunge wao Kwa kununuliwa kama wanawake ili kupitisha bajeti ya Mwaka huu 2024/25
  6. M

    Bila kuwa na katiba mpya itakayoondoa wabunge vilaza tutegemee migomo zaidi au pengine maandamano kama ya Kenya.

    Hii sio wiki nzuri kwa nchi zetu za Afrika Mashariki hasa Tanzania na Kenya. Wakati Kenya wanaandamana kihuni kupinga kupitishwa kwa sheria mpya ya fedha huku Tanzania kuna mgomo wa wafanyabiashara. Hawa wafanyabiashara wana hoja kadhaa za msingi ingawa pia wanazo hoja zingine za kipumbavu...
  7. H

    Waafrika wasipoondoa mfumo wa kuwakilishwa na Wabunge kamwe wasahau maendeleo

    Habarini, Ni wazi wanasiasa wa Afrika ndio maadui wa maendeleo ya Afrika kwa kuwaibia Waafrika mali na fedha kwa kujilipa mishahara na marupurupu makubwa huku waliwaachw wananchi wao wakiwa maskini wa kutupwa. Nawaunga mkono Kenya kwa kulisambaratisha bunge na kuwasambaratisha wabunge wote...
  8. BLACK MOVEMENT

    Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  9. F

    Wabunge walioshirikiana na Luhaga Mpina kuihujumu serikali wakiwa ESPIRANCEE ni kina nani?

    Tetesi zimezagaa Luhaga Mpina hayupo mwenyewe na kuna kundi la wabunge walishirikiana naye kuandaa ile ripoti yake na bado wapo naye. Inadaiwa walikutana Dodoma eneo la Espirancee na kufanya kikao na kuandaa taarifa ile kwa Spika juu ya uongo wa Waziri Bashe. Wabunge hawa ni kina nani?
  10. Yoda

    CHADEMA mmejipangaje na wabunge 19 wa viti maalumu kutorudi bungeni tena mwaka 2025/26?

    CHADEMA mna mkakati wowote wa kuwazuia wabunge wa viti maalumu waliopo bungeni wakati huu kutorudi bungeni wakati na baada ya uchaguzi wa mwaka 2025? Mtawazuiaje ikiwa mtaona wao ndio wamepewa fursa ya kugombea na wanapeperusha bendera ya CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2025? Mtawazuiaje...
  11. chiembe

    Elibariki Kingu: Mpina alilipa kila chombo cha habari 10,000,000, wabunge watoa tamko kumlaani wakinukuu korani na biblia

    Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo. Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani. Elibariki Kingu ameeleza Bunge...
  12. T

    Nashauri viwekwe vigezo vya elimu, viti maalumu n.k Muda wa kuchangia usifanane kwa wabunge wote. Nilitamani Dr. Kimei aongezewe muda.

    Muhimu bunge likatunga kanuni kutofautisha muda wa kuchangia wabunge kulingana na sifa ya eiimu na makundi yanayotoka. Kwa mfano wenye elimu ya PhD wakawa na muda mrefu tofauti na wale darasa la saba, mbunge wa jimbo akawa na muda zaidi ya wale wa viti maalumu. Hatusitahili kuchuka kila kitu...
  13. L

    Pre GE2025 Wabunge mnasubiri nini kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais?

    Ndugu zangu watanzania, Kama kuna Muhimili unapaswa kuwa msitari wa mbele kumtia moyo Rais Samia ,basi ni Muhimili wa Bunge.Hii ni kwa kuwa wabunge kwa macho yao ni mashuhuda wa namna Rais Samia alivyo miminia na kutiririsha Mamilioni ya pesa majimboni mwao kwa ajili ya miradi mbalimbali ya...
  14. Pascal Mayalla

    Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!

    Wanabodi Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge imetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukio yaliyo ainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba, uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowote wakati wa...
  15. Roving Journalist

    Waziri Mkuu anajibu maswali ya Wabunge, Bunge la 12 Mkutano wa 15 Kikao cha 47, Juni 13, 2024 Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=b72QKndzitE
  16. Mwizukulu mgikuru

    Pre GE2025 Wabunge mliopata ubunge kwa nguvu ya Hayati Magufuli tafuteni kazi nyingine mapema

    Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni...
  17. Nyendo

    Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

    Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia. Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo...
  18. Dr Matola PhD

    Najitahidi walau kufuatilia hili bunge kipindi hiki cha bajeti lakini Wabunge wanakera sana hasa wa CCM

    Yani mtu umeacha mambo yako atleast ufuatilie bunge la bajeti lakini badala yake mbunge anachangia hoja, linatokea limbunge lingine linasema taarifa, mchangiaji anakaa chini spika anampa nafasi mtowa taarifa halafu taarifa yenyewe pumba tupu. Hivi spika haoni kumkarisha mtu chini wakati alikuwa...
  19. and 300

    Hatma ya Ramaphosa mikononi mwa Wabunge

    Mpira Kati. Ramaphosa ni ama amwage pesa kwa Wabunge kama alivyozima kashfa ya Phala Phala au apumzishwe na kuanza kupokea Kikotoo. Japool ana hela ila madaraka matamu zaidi. Ingekua Tungekinya party caucus wangeitwa ukumbi Maarufu na kila mbunge apewe salfeti ya mahela. Watu wapige kimyaa
  20. Mystery

    Kilio Cha wabunge kuwa ahadi za maendeleo Kwenye majimbo yao hazitekekezwi, je kinatokana na Kila kitu kudaiwa kimefanywa na Rais!

    Nimekuwa nikifuatilia hoja zinazotolewa Kwenye kikao Cha Bunge kinachoendelea, nilichogundua ni kuwa karibu wabunge wote wanalalamika, kuwa ahadi zinazotolewa na serikali za maendeleo Kwenye majimbo yao hazitekekezwi, au Kwa maneno mengine, wanapigwa changa la macho! Lakini hebu tutafakari ni...
Back
Top Bottom