wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Kwanini chama cha siasa kinapata wabunge wengi lakini mgombea Urais wake anapata kura chache sana?

    Mgombea Urais na chama chake anakua hana sifa za kutosha, hana ushawishi, hana sera mbadala, wala mikakati mizuri ya kuongoza au wapiga kura hawamuelewi badala yake wanawaelewa zaidi wagombea wabunge pamoja na pengine madiwani? Una maoni gani juu ya hali hii.
  2. L

    Kila nikiangalia Bunge nawachukia Wabunge, naona ndiyo waliosababisha tupoteze bandari zetu

    Siwapendi wabunge hasa niwaonapo bungeni wakiongea. Sipendi kuliangalia bunge hilo kwa sababu halina baraka za wananchi. Walishiriki kuuza bandari zetu kwa DPWorld na wakatoa sifa Kede kede kwa wizi huo wa kimkataba. Nadhani kama nchi naomba picha zao zichapishwe kwenye magazeti na kalenda...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Pre GE2025 Uchaguzi 2025 hatutapata wabunge wengi kama tunavyotarajia. Mbowe kawaingiza mkenge Makamanda wasiotambua

    Eti maridhiano. Acheni utapeli. Mtu anatolewa jela usiku usiku. Anaenda Ikulu na kuna fanyika makubaliano kuwa fanya hivi ili Mapebari wajue kuna demokrasia hapa Tanganyika. Alafu eti tutawapa nafasi za wabunge. Huu mkataba ni kati ya Mbowe na CCM sio kati ya Chadema na wananchi. Makamanda...
  4. Kishimbe wa Kishimbe

    Pre GE2025 Wabunge wafanyiwe 'Continuous Assesment' kuona kama wanafaa kugombea tena

    Inawezekanaje mbunge achaguliwe kwenda tu Bungeni kulala kwa miaka yote mitano bila kuleta athari yeyote halafu eti apate tena fursa ya kugombea na kurudi tena bungeni miaka mingine mitano na kadhalika? Kuna haja ya kuwafanyia wabunge 'Continuous Assesment' kwa mchango wao wanaotoa bungeni, hii...
  5. Suley2019

    Pre GE2025 Kuna Mawaziri wanatamba kwenye Wizara zao lakini majimboni kwao hali mbaya

    Salaam Wakuu, Kuna baadhi ya Mawaziri wamekuwa wanang'aa sana kwenye vyombo vya habari na kusifika wa kufanya kazi nzuri katika wizara zao lakini majimboni kwao hali ni mbaya sana. Miundombinu mibovu na matatizo ya msingi kwenye maeneo yao hawayafanyii kazi. Hapa najiuliza Uwaziri umekuwa...
  6. instagramer

    Tusipowakemea hawa wabunge wanaobeza elimu yetu na wasomi wetu, tutazalisha Taifa la hovyo kabisa

    Habari wanabodi... Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na kiteknolojia. Lengo la kuandika huu uzi sio kuwataja hao wabunge au kuwadhalilisha bali ni kuwakosoa ili...
  7. Pinacoladee

    Giving back to the community

    Habari zenu, Giving back to the community ni program moja nzuri sana ya kuirudishia jamii au kuwafanyia jambo jamii kwa kujitolea, tumekua tukiona baadhi ya makampuni wakifanya donation au charity events, sio makampuni au taasis zote zinafanya ili jambo, Kuna baadhi ya viwanda vilivyopo Tanzania...
  8. Kabende Msakila

    Wabunge wa CCM oneni aibu - saidieni jitihada za Rais kupitia ugawaji wa pikipiki kwenye kata

    Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kwa kutambua mchango wa viongozi wa CCM wote ngazi ya kata nchini Mwenyekiti wa CCM taifa ametoa pikipiki kwa Makatibu CCM Kata na jumuiya zake. Ili wagawiwe pikipiki hizo viongozi hao wanatakiwa kulipia gharama kadhaa - sasa baadhi ya wilaya ikiwemo Kakonko...
  9. Pdidy

    Safari hii Yanga atuendi bungeni naona wabunge watatuchoka kila mwaka

    Najua mtatuchoka lakini hakuna jinsi ndio Yanga tamu Tunaomba tukicheza na Dodoma tualikwe hata nje tu bungen tupate chai na spika na pongezi zenu
  10. L

    Dkt. Mwingulu Nchemba awataka Wabunge kujadili sheria wakati wa Utungwaji na Siyo Wakati wa utekelezaji Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwingulu Lameck Nchemba Amewataka Waheshimiwa Wabunge pamoja na watanzania wote kujenga utamaduni wa kujadili sheria wakati wa mchakato wa Utungwaji wake na siyo wakati wa utekelezaji wake. Ameyasema hayo kutokana na swali lililoulizwa...
  11. mzee wa liver

    Wabunge wa mwendazake ni janga Kwa Taifa letu

    Aisee angalia wabunge wetu wanayojadili bungeni Kumekuwa na utabiri wa hali ya hewa wa kutahadharisha juu ya majanga mbalimbali ikiwemo vimbunga kwa bahati mbaya sana hivi karibuni tumeona kwamba majina mengi yamekuwa ya jinsia ya kike, kama kimbunga Cleopatra, Katarina na hivi karibuni...
  12. Mbute na chai

    Ninaangalia bunge live TBC ila viti vingi havina wabunge

    Ninaangalia bunge live TBC ila viti vingi havina wabunge. Hii imekaaje? Mh. Naibu spika anauliza kama hoja imeungwa mkono na jibu ni ndiyo kwa idadi hii!! Je, tunahitaji kubadili sheria ili vikao muhimu kama hivi vya kibajeti visifanyike kama asilimia zaidi ya 50 ya wabunge hawapo? Nini maoni yako?
  13. Tlaatlaah

    Kama chama kimeshindwa kushughulikia na kumaliza issue ya wabunge 19 wa covid-19? Ni nini wataweza sasa

    sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati kimewafukuza uanachama, hali ya kua, siku nenda rudi majukwaani na kwenye vikao vikuu vya ndani...
  14. J

    Mbunge wa CCM apendekeza Vyuo Vikuu vianze kutoa Nusu Degree kwa Wanafunzi wanaoishia njiani

    Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree" Source: EATV CCM kuna Burudani sana 😂 ==== Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu...
  15. S

    Wabunge wapikiwe chakula wakiwa kwenye vikao vya bunge, na walale kwenye mabweni ya UDOM ili wapunguze ulevi na utoro

    Sote tu mashahidi, mahudhurio ya wabunge siyo mazuri na wanasisnzia sana wakati wa vikao vya bunge. Hii haitokei kwa bahati mbaya, bali inasababishwa na pesa nyingi za posho wanazolipwa wakati wa vikao zinazopelekea wabunge kukesha kwenye uzinzi na ulevi. Tunakumbuka Charles Kitwanga aliwahi...
  16. Pdidy

    Pre GE2025 2025, Wananchi mkatae kuwa misukule ya wabunge wasiofanya wajibu wao mpaka wakikaribia uchaguzi

    Tufike wakati tuseme imetosha sasa. Jana kwenye kikao cha Bunge nimewanukuu wa Bunge watatu wakililia barabara na wengine kusema, Mheshimiwa Waziri, wananchi tumewafanya kama misukule, hao ndio wanaturudisha bungeni sasa. Tushafanya nyimbo kila ukikaribia uchaguzi tunawakimbilia. Tukipata...
  17. Kkimondoa

    Bunge la Tanzania umekuwa muhimili mbovu na usio na tija wala faida kwa Taifa

    Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa, halina msaada wala mchango wowote ule kwa taifa hili. Bunge linatia hasara Serikali kila mwaka. Bunge...
  18. D

    Utoro wa wabunge bungeni tena bunge la bajeti, tatizo ni nini?

    Habari! Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge. Vikao vya halimashauri...
  19. B

    Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, wakati Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 limewaliza Watanzania

    Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake. Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk harakati zake za Kuendesha Maandamano mikoa yote Tanzania na mikutano ya kisiaaa ametoa Takwimu...
  20. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohammed awasisitiza Wabunge na Madiwani kutekeleza ahadi binafsi

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka Wabunge na Madiwani kuhakikisha wanatekeleza ahadi zao binafsi walizotoa kwa wananchi wakati wanaomba kura kwenye uchaguzi wa mwaka 2020. Mwenyekiti Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka ametoa wito...
Back
Top Bottom