Ukimwi ni "Upungufu wa kinga za mwili". Virusi vya ukimwi haviui! Vikishashambulia na kuua kinga ya mwili "white blood cells" baaasi!
Magonjwa yoooote nyemelezi yanatia timu na kuanza kufanya sherehe ya kukutafuna taratibu mpaka unakufa. Sasa kwa upande wa "pombe" ndivyo ilivyo.
Pombe yenyewe...
AMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Amri...
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga.
Kama...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe ametangaza kujiuzulu kufanya siasa endapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kitashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo ndani ya mkoa wa Kilimanjaro wenye majimbo tisa (9) ya uchaguzi.
Mbowe ametangaza ahadi hiyo Julai...
Kama wataniondoa kwenye kabila poa tu:
Ni kitu ambacho naogopa kukisema hapa, ni siri kubwa sana kwenye misiba, ile tunaendaga kuzika home.
Wachaga hukamua viuchafu fulani na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila inasemekana laana ya kifo itakuwa imegawanywa kwa watu wengiii...
Uzi umegeuka kuwa wa chuki zaa kikabila, haufai tena kuendelezwa
Na sio wachaga tu hata waarabu, wahindi, wasomali, n.k.
Mtoto wa mama - mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa mama kuzidi baba, ndugu wengi anaowajua na aliowazoea ni wa mama kina mjomba, mama mdogo, mama mkubwa...
Ukiondoa wachaga wengi (sio wote) watanzania wengi wa makabila mengine wanapajua zaidi vijijini kwa mama zao na ndugu wa mama kuzidi upande wa baba hivyo wanakidhi kigezo cha kuitwa WATOTO WA MAMA.
Kwa wachaga naona wapo tofauti, watoto wanarudi mara kwa mara vijiji vya baba zao na kuzoeleka na...
1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote
2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia upendo wake fake.
3. Anakuzalia watoto na kukupiga kampani sana katika shughuli zako kiasi kwamba...
Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha yake pmj na kufungua min market na barbershop kwenye jengo moja ,,, yaani ndni ya barbar shop Hakuna...
Asili na habari za Wachaga
Wachaga walikuwa ni moja ya makabila ya kwanza kwanza kabisa Tanzania kukutana na kupata ustaarabu wa Kizungu. Hilo limefanya kuwa kabila ambalo historia yake imeandikwa na kutunzwa zaidi. Sasa historia yao imejaa damu hasa, kuisoma tu lazima usikie harufu ya damu...
Kabla hawajafika Wamasai katika nchi yetu, walikuwa wakikaa upande wa Afrika ya Mashariki unaoitwa sasa Kenya kwa miaka mingi, wakahama taratibu wakiingia nchi hii kutafuta malisho kwa wanyama wao. Katika mwendo wao wa kuhama waliingia nchi za tambarare zilizo chini ya mlima Kilimanjaro kwa...
habari ya jumamosi.
ukweli mabinti wa kichaga wana tofauti kubwa na makabila mengi. sio wavivu na hawachagui kazi.
mfano hai ni huyu dada kondakta wa bus. shule amesomeshwa tena shule nzuri, kwao maisha mazuri, vijana wanasema mboga saba ila kazi yake huyu dada ni kondakta wa bus.
nawaza...
Leo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu.
Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakutana na machapisho mengi yanayozungumzia sana ndugu zetu Wachaga kwa namna chanya kwamba wana uwezo mkubwa wa fedha nakadhalika na mbaya zaidi wapo ambao...
NI kawaida siku hizi kupokea simu, meseji ama ugeni wa ndugu, jamaa na marafiki kukuuliza na kuomba kama unaweza kusaidia kupatikana kwa ajira kwa ajili ya kijana au binti yao ama kufuatwa na kijana au binti mwenyewe. Mara nyingi utaachiwa nakala kivuli za vyeti vya ufaulu kwa ajili ya rejea...
Niwapongeze sana wachaga kwa utaratibu wao wa kukutana kila ufikapo mwisho wa mwaka,
Sababu zao kukutana ni kama ifutavyo
1. Kukutana na kuonana live ndugu jamaa na marafiki baada ya kupotezana kwa takribani mwaka mzima kwenye harakati za utafutaji.
2. Kusherehekea kumaliza mwaka salama kwa...
Ni utamaduni unaonishangaza sana, kila ikifika december wiki 2 za mwisho Wachaga wa nje ya mikoa na nje ya nchi hukusanyika pamoja kwenye sehemu za asili zao huko Kilimanjaro.
Kwa miaka kadhaa nishazoea kuona status za wachaga watatu wanaoishi nje ya nchi wanapost status wamerudi, Yupo anaeishi...
Matumaini yangu mu- wazima na mmeshaskia ukoo mmoja uchagani unaitwa mboro,walahi unanishangaza.
Kifupi ni hilo Jina,it never get old.
Kila nikiliskia redioni Kuna namna najiuliza maswali Mengi.
Juzi kati redio moja alikuwa Demu anatangaza matangazo ya vifo alivyotaja Hilo Jina alistuka...
Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, hata kwenye ukoo masikini wale wenye magari hutokea koo maskini ila wao kama wao wapo mbali kuzidi wenzao, Tukigusia makabila yenye asili ya hapa kwetu, wachaga wapo mbali mno, yapo makabila yanayofatia ila ni gepu refu...
Wachaga ni kabila lenye asili ya Kibantu na mchanganyiko wa asili ya Kikushi wanaoishi kaskazini mwa Tanzania, Kilimanjaro mkoani Kilimanjaro.
Kabila la Wachaga linatajwa kuwa la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania, ambapo takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi ya Wachaga ni watu 2,000,000...
Hellow africa
Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu 🙄🙄🙄
Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.