Leo nalazimisha kuwatania wakwe zangu, wachaga!
(sisemi nimeoa mchaga yupi)
Mimii nimeoa huko kwa hiyo msifure kwa hasira na mkani RIP mie chasaka!!
Wiki ilianza na mangi Wilfred Massawe, mambo ya viti moto yamekuwa magumu kwa hiyo kaanza utapeli.
Akajiita Katibu uenezi wa chama Tawala na...
Namnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
Imagine wewe ni laiser/Msuya/Mchome/Sumaye halafu unasikia mtu analeta mada ya Nothern zone huku akifikiri ukiongelea Nothern zone unaongelea Moshi/Wachaga.
Kuna baadhi ya watu mnawakuza sana wachaga kila zinapoletwa mada za Nothern zone ilihali ni sehemu tu ya watu wa kaskazini.
Ukiongelea...
Habari wadau.
Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe Mnyakyusa, Mhaya au Mchaga bila kutoa ufafanuzi.
Kwanini? Hebu tujadiliane, kama unafahamu chochote kuhusu makatazo haya funguka hapa tafadhali
Zifuatazo ni dialects za lugha ya Kichagga nyingine zinaendana
Kirombo
Kimarangu
Ki-uru
Kikibosho
Kimachame
Kisanya
Lugha zifuatazo zinauhusiano mkubwa sana na lugha za kichaga japokua wanajihesabia sio Wachagga.
Kimeru
Kigweno
Mfano: Msanya ni ngumu sana kumsema Mmeru, na Mmarangu ni ngumu...
Kama ilivyo desturi ya ndugu zetu Wachaga nasi tumeanza kwenda home Bukoba city kipindi Cha mwisho wa mwaka (kwa njia mbalimbali hususani Ndege-Scheduled and chartered, private expensive cars na kidooogo mabasi).
NB: Tunaendelea na mazungumzo na KLM na Emirates walete ndege direct Bukoba...
UTANGULIZI
Kama nilivyoahidi hapa JF siku chache zilizopita kuwa nitakuja na ripoti kamili ya ziara yangu ya kutembea na kujifunza mkoani Kilimanjaro katika jamii ya kabila la Wachaga wakati wa kwenda kusheherekea sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya. Kila kitu kwa ufupi na ufasaha nitakiweka hapa...
Mzuka wanajamvi!
Hii dhana ya eti Cameroon majimbo mawili yanayoongea kiingereza North West na South West kujitenga kwasababu ya uonevu inasukumwa sana na Bambekee (Bamilekee).
Bambekee ni semi Bantuskabila maarufu sana Cameroon lenye maendeleo na elimu na pesa. Kwa kifupi ni matajari kama...
Mwaka huu niliamua kufanya tour trip huko Kilimanjaro ili kujifunza na kujionea shamrashamra za Wachaga wakisheherekea sikukuu ya Christmas.
Mpaka sasa bado nipo Uchagani.
Nimefanikiwa kufika maeneo ya Rombo, Mwika, Marangu, Old Moshi, Kibosho na Machame. Sijafanikiwa kufika maeneo ya Kirua...
Wakuu, krismass ya mwaka huu UCHAGANI imefana mno mabasi yote tiketi zimeisha Hadi January 5,treni nazo zimefurika ndege ndio kabisaaa,mabasi mengine yaliyopewa vibali vya kupeleka watu kaskazini nayo yamejaa,hongereni Sana watu wa Kilimanjaro/kaskazini kwa kupenda kwenu nyumban Ni utamaduni mzuri
I hope mko poa majirani zetu.
Nipo curious to know anything about hawa watu leo nmeambiwa kuna wengine wapo huo upande wenu, I was amazed, nlifkiri wapo tu tz.
Dear neighbours, tuwekeeni mambo mawili matatu kuhusu hao watu kuanzia lifestyles zao, shughuli zao, wanasifika kwa mambo gani...
Kwema wadau!
Nianze kwa kusema nchi hii hatuendekezi Ukabila, hatuupendi, na hatuutaki. Hivyo mada zinazogusa Ukabila isichukuliwe kwamba ni uhamasishaji wa hisia za chuki za kikabila ndani ya Jamii. Kiasili mimi ni Mnyamwezi wa Urambo lakini nimeishi na kukulia Kilimanjaro. Ninadamu ya...
Nimefanya utafiti wangu nimegundua sisi wapare (vaathu) tunaakili Sana za darasani kuliko wachaga. Katika historia yangu ya elimu sijawahi kupitwa na mchaga kamwe.
Pia sisi wapare ni Kati ya makabila top 3 waliosoma Sana Tanzania wengine ni wahaya na wanyakyusa. Pia inasemekana asili yetu ni...
Je, umewahi kusikia kuwa wachaga pindi wapendwa wao wanapofariki basi baada ya muda fulani kupita huenda kufukua mabaki ya miili ya maiti wao kisha kuwahifadhi sehemu maalumu?
Kwanza kabsa nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na makabila tofauti tofauti ambayo yametofautiana katika mila na desturi...
Najua Sasa macho na masikio yote Ni Corona, nikaona Leo nizungumzie huu ugonjwa wa Gout, ambao nasikia Ni kukakamaa kwa joints na maymiv ya Sina flani ya misuli inayopelekea kushindwa kutembea vizuri na mikono pia kupata shida ya kukunjika.
Wanasema ugonjwa huu unasababishwa na acid flani...
Tanzania ina makabila mengi yenye tamaduni tofauti. Katika kungamua hizi tofauti tamaduni za wachaga zinawafanya wanakuwa kwenye hatari kubwa kutokana na coronavirus. Tamaduni hizo ni kama ifuatavyo;
KWENDA KIJIJINI. hii ndo risk kubwa watu kutoka mjini kupeleka corona vijijini
KUWA NA NYUMBA...
Kabila la Wachaga linafahamika kwa wengi kuwa linapatikana mkoani Kilimanjaro.Kwa asili, Wachaga ni mchanganyiko wa Wamasai, Wasambaa, Wataita, Wakamba na Wakahe.
Wachaga walianza kuhamia kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro kwenye karne ya 17.
Walipofika wakiwa katika vikundi vidogovidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.