wachaga

The Chaga (also called Wachaga, Chagga, Jagga, Dschagga, Waschagga, or Wachagga) are Bantu-speaking indigenous Africans and the third largest ethnic group in Tanzania. They traditionally live on the southern and eastern slopes of Mount Kilimanjaro and Mount Meru and near Moshi. Their relative wealth comes from the favorable climate of the area and successful agricultural methods, which include extensive irrigation systems, terracing, and continuous organic fertilization methods practiced for thousands of years. They were one of the first tribes in the area to convert to Christianity. This may have given them an economic advantage over other ethnic groups, as they had better access to education and health care as Christians.
The Chaga descended from various Bantu groups who migrated from elsewhere in Africa to the foothills of Mount Kilimanjaro, a migration that began around the start of the eleventh century. While the Chaga are Bantu-speakers, their language has a number of dialects related to Kamba, which is spoken in southeast Kenya, and to other languages spoken in the east, such as Dabida and Pokomo.
The Chaga area is traditionally divided into a number of chiefdoms. They are culturally related to the Pare, Taveta, and Taita peoples. They follow a patrilineal system of descent and inheritance. Their way of life is based primarily on agriculture, using irrigation on terraced fields and oxen manure. Although bananas are their staple food, they also cultivate various crops, including yams, beans, and maize. In agricultural exports, they are best known for their Arabica coffee, which is exported to American and European markets, resulting in coffee being a primary cash crop.

View More On Wikipedia.org
  1. Pombe ni UKIMWI wa akili. Hadidu za Rejea ni Uislamu, Zanzibar, na Wachaga

    Ukimwi ni "Upungufu wa kinga za mwili". Virusi vya ukimwi haviui! Vikishashambulia na kuua kinga ya mwili "white blood cells" baaasi! Magonjwa yoooote nyemelezi yanatia timu na kuanza kufanya sherehe ya kukutafuna taratibu mpaka unakufa. Sasa kwa upande wa "pombe" ndivyo ilivyo. Pombe yenyewe...
  2. Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673

    AMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024 1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Amri...
  3. Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

    Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro. Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka. Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka. Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga. Kama...
  4. Pre GE2025 Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo CCM itashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe ametangaza kujiuzulu kufanya siasa endapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kitashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo ndani ya mkoa wa Kilimanjaro wenye majimbo tisa (9) ya uchaguzi. Mbowe ametangaza ahadi hiyo Julai...
  5. Inasemekana Wachaga hupunguza laana au mikosi kwa kuigawa kwa wahudhuriaji kwenye misiba

    Kama wataniondoa kwenye kabila poa tu: Ni kitu ambacho naogopa kukisema hapa, ni siri kubwa sana kwenye misiba, ile tunaendaga kuzika home. Wachaga hukamua viuchafu fulani na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila inasemekana laana ya kifo itakuwa imegawanywa kwa watu wengiii...
  6. G

    Makabila mengi Tanzania hayaendelei sababu ni watoto wa mama, Wachaga wapo mbali sababu wanakuzwa kuwa watoto wa baba.

    Uzi umegeuka kuwa wa chuki zaa kikabila, haufai tena kuendelezwa Na sio wachaga tu hata waarabu, wahindi, wasomali, n.k. Mtoto wa mama - mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa mama kuzidi baba, ndugu wengi anaowajua na aliowazoea ni wa mama kina mjomba, mama mdogo, mama mkubwa...
  7. G

    Tukiachana na wachaga, makabila mengi yana watoto wa mama, wanapajua zaidi kijijini na ndugu wa mama, Kwanini wanaume hawapeleki Watoto vijijini?

    Ukiondoa wachaga wengi (sio wote) watanzania wengi wa makabila mengine wanapajua zaidi vijijini kwa mama zao na ndugu wa mama kuzidi upande wa baba hivyo wanakidhi kigezo cha kuitwa WATOTO WA MAMA. Kwa wachaga naona wapo tofauti, watoto wanarudi mara kwa mara vijiji vya baba zao na kuzoeleka na...
  8. Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

    1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote 2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia upendo wake fake. 3. Anakuzalia watoto na kukupiga kampani sana katika shughuli zako kiasi kwamba...
  9. Tuache utani, wachaga wana bahati na wanajua sana biashara

    Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha yake pmj na kufungua min market na barbershop kwenye jengo moja ,,, yaani ndni ya barbar shop Hakuna...
  10. Kitabu: Ukisoma historia ya Wachaga lazima usikie harufu ya damu

    Asili na habari za Wachaga Wachaga walikuwa ni moja ya makabila ya kwanza kwanza kabisa Tanzania kukutana na kupata ustaarabu wa Kizungu. Hilo limefanya kuwa kabila ambalo historia yake imeandikwa na kutunzwa zaidi. Sasa historia yao imejaa damu hasa, kuisoma tu lazima usikie harufu ya damu...
  11. Vita kali kati ya Wamasai na Wachaga, 1820,s

    Kabla hawajafika Wamasai katika nchi yetu, walikuwa wakikaa upande wa Afrika ya Mashariki unaoitwa sasa Kenya kwa miaka mingi, wakahama taratibu wakiingia nchi hii kutafuta malisho kwa wanyama wao. Katika mwendo wao wa kuhama waliingia nchi za tambarare zilizo chini ya mlima Kilimanjaro kwa...
  12. M

    Binti mrembo pisi kali, kwao maisha mazuri lakini ni kondakta wa Basi

    habari ya jumamosi. ukweli mabinti wa kichaga wana tofauti kubwa na makabila mengi. sio wavivu na hawachagui kazi. mfano hai ni huyu dada kondakta wa bus. shule amesomeshwa tena shule nzuri, kwao maisha mazuri, vijana wanasema mboga saba ila kazi yake huyu dada ni kondakta wa bus. nawaza...
  13. Kwanini wachaga hawafanani na sifa wanazojipa?

    Leo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu. Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakutana na machapisho mengi yanayozungumzia sana ndugu zetu Wachaga kwa namna chanya kwamba wana uwezo mkubwa wa fedha nakadhalika na mbaya zaidi wapo ambao...
  14. Wachaga wakubaliana kuwa kama Wahindi mwaka 2024

    NI kawaida siku hizi kupokea simu, meseji ama ugeni wa ndugu, jamaa na marafiki kukuuliza na kuomba kama unaweza kusaidia kupatikana kwa ajira kwa ajili ya kijana au binti yao ama kufuatwa na kijana au binti mwenyewe. Mara nyingi utaachiwa nakala kivuli za vyeti vya ufaulu kwa ajili ya rejea...
  15. Tabia ya wachaga kurudi kwao Kilimanjaro kila ifikapo mwisho wa mwaka ni jambo zuri na la kuigwa na makabila mengine

    Niwapongeze sana wachaga kwa utaratibu wao wa kukutana kila ufikapo mwisho wa mwaka, Sababu zao kukutana ni kama ifutavyo 1. Kukutana na kuonana live ndugu jamaa na marafiki baada ya kupotezana kwa takribani mwaka mzima kwenye harakati za utafutaji. 2. Kusherehekea kumaliza mwaka salama kwa...
  16. Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

    Ni utamaduni unaonishangaza sana, kila ikifika december wiki 2 za mwisho Wachaga wa nje ya mikoa na nje ya nchi hukusanyika pamoja kwenye sehemu za asili zao huko Kilimanjaro. Kwa miaka kadhaa nishazoea kuona status za wachaga watatu wanaoishi nje ya nchi wanapost status wamerudi, Yupo anaeishi...
  17. V

    Wachaga Pitieni hapa (ndani Kuna mbege na kisusio)

    Matumaini yangu mu- wazima na mmeshaskia ukoo mmoja uchagani unaitwa mboro,walahi unanishangaza. Kifupi ni hilo Jina,it never get old. Kila nikiliskia redioni Kuna namna najiuliza maswali Mengi. Juzi kati redio moja alikuwa Demu anatangaza matangazo ya vifo alivyotaja Hilo Jina alistuka...
  18. Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, hata kwenye ukoo masikini wale wenye magari hutokea koo maskini ila wao kama wao wapo mbali kuzidi wenzao, Tukigusia makabila yenye asili ya hapa kwetu, wachaga wapo mbali mno, yapo makabila yanayofatia ila ni gepu refu...
  19. Wachaga na kisa cha kurudi nyumbani kila mwisho wa mwaka.

    Wachaga ni kabila lenye asili ya Kibantu na mchanganyiko wa asili ya Kikushi wanaoishi kaskazini mwa Tanzania, Kilimanjaro mkoani Kilimanjaro. Kabila la Wachaga linatajwa kuwa la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania, ambapo takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi ya Wachaga ni watu 2,000,000...
  20. Wachaga tupe siri na sisi wengine

    Hellow africa Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu πŸ™„πŸ™„πŸ™„ Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…