Tumewazoea kwa ramli zenu dhidi ya mnyama na uchambuzi uchwara ambao hatuusilkii sana sasa hivi ya kuwa simba ni wazee. Badala yake mmeanza kampeni ya kuililia Simba iwape mikataba minono hao hao mliokuwa mnawaita wazee.
Najua mmekula mlungura kutoka upande wa pili ili mcheze mind game against...