Mechi ya tatu mfululizo dogo anakiwasha kisawasawa, kuanzia Tunisia, kule Mwanza na leo uwanja wa taifa. Wachambuzi wa bongo Lomalisa anawavua nguo!
Ushauri katika uchambuzi wenu lazima muwe mnaweka akiba ya maneno.
Wachambuzi wamechachamaa, wanapiga spana kila wakati. Hata wale wanaokupamba na kuopamba Yanga wamewageuka.
Machawa wako kimya, wamemwacha Afisa Habari analialia peke yake.
Sasa nakushauri fanya kama kawaida. Watie chochote kitu kabla mambo hayajawa mazito. Usipofanya hivyo kuna hatari huko...
Huwa nakereka sana hawa jamaa wanaochambua soka la bongo wanavyopambana kufa na kupona kuongea kiingereza. Hivi hawawezi kuchambua mpira bila kuingiza hivyo viingereza vyao vya ugoko?
Badala ya kusema "Value" kwa nini wasiseme thamani?
Badala ya kusema "Flanks" kwa nini wasiseme eneo la kulia...
JE Russia ataishiwa silaha.?
Je Pro Ukraine countries wanaweza kupenyeza majeshi yao Kwa Jina la Ukraine wakamtembezea moto Russia Hadi Kremlin.
JE Russia anaweza kutumia mbinu za kikatili za US kuizima Kiev Kwa Nyuklia kama Hiroshima mchezo uishe.
JE, Russia anareserve ya kutosha ya silaha...
Kila mtu anajua kwamba kwa afrika nzima hakuna nchi yenye wachambuzi wanaojua kuchambua issues mbalmbali kwa ufasaha kama wanaopatikana Tanzania
Ni ma pundits haswa yametulia kwelikweli, yamesoma na yana make sense kwenye hoja zao, ikumbukwe wakati simba inaenda pre season bado llikuwa na jezi...
Khabari za Juma Mgunda na Nabi kuwa hawana sifa za kuwa kwenye benchi la ufundi la simba na Yanga wakati wa mechi za CAF zilisambaa kama moto wa nyika unavyosambaa haraka na kuunguza kila kitu bila huruma.
Wachambuzi na wanahabari wetu uchwara waliumbuka sana safari hii baada ya Mgunda na Nabi...
Mechi ya ngao ya jamii ni kweli Inonga alicheza rafa lakini wachambuzi issue za SIMBA wanaongea na kuchonga sana.
Ukiangalia DJUMA waliwah kumchezea rafu kama hiyo BM3 mechi ay Yanga Vs Simba lakini wachambuzi hawakuongea chochote.
Nyie wachambuzi acheni njaaa mnakera sana
Natamani kuandika andiko la pongezi kwa ubingwa wa 28 kwa Wananchi lakini nasubiri picha ya Mwenyekiti wa klabu, Dr Mshindo Msolla Mwenye picha ya Mwenyekiti akiwa na kombe hata kama imepigwa kwa simu naomba tafadhali Hata mwenye picha ya Kocha Nabi akiwa na kombe naomba.
Chanzo: Shaffih Dauda...
Uchambuzi ule wa mzee Kashsha RIP na Ally Mayai Tembele unazimgatia weledi, unafurahishisha kila mtu. Lakini baadhi ya wachambuzi wanawatia hasara wenye chombo Cha habari. Wakati huu ligi inaelekea ukingoni wakati timu zinafanya tathimini zao hata wachambuzi wa mpira na wamiliki wa vyombo vya...
Ukraine inalalamika kuwa Russia inatumia silaha nzito mno, TOS-1A Thermostatic Rockets (vacuum bombs), ktk mapigano huko Donetsk.
Kwa mujibu wa Marekani, silaha hizo ni special kwa kuangamiza ngome za kijeshi zilizo kwenye mahandaki chini ya ardhi na maadui waliojificha kwenye bunkers. Silaha...
Yaliyotokea yanasikitisha sana, Walibya wamenyimwa penalty ila afadhali kidogo ukilinganisha na vituko vya Berkane , nasubiri kwa hamu manguli ya soka kwenye nchi hizo waanze kuzishukia teams zao kwa hasira zote maana simba hapa kuna team ilipewa escort ya pikipiki moja ikalalamika wachambuzi...
Nitoe wito kwa wamiliki wa vituo vya redio na luninga kuwa watuondolee mbali hao wachambuzi wa soka uchwara.
Kuna wachezaji kibao wa zamani ambao wangetuchambulia soka kwa kutumia weledi na Siyo ushabiki. Wapo kina Sunday Manara, Zamoyoni Mogela, Boniface Mkwasa na watu wa aina Yao waliowahi...
Siku chache tu zijazo Yanga SC inatimiza mwaka Mmoja tu (ila siyo Msimu) wa Kucheza Ligi Kuu bila ya Kufungwa.
Tayari kuna baadhi ya Watangazaji wa Michezo wa Redio na Television bila kuwasahau na Wachambuzi wa Michezo ambao pembeni yao Wakidanganywa taratibu na Afisa Habari wa Yanga SC...
Kama kawaida yenu ili muaminike Kinafiki, mpewe Vipesa vya hapa na pale na muhaidiwe kuwemo katika 'Trip' ya South Africa mmeshaanza sasa katika Redio zenu, Mitandao yenu na Magazetini Kwenu Kuisifia ( Kuipamba ) Simba SC na Kuwadharau Wapinzani wao akina Orlando Pirates FC ya Afrika Kusini...
Chadema wamesema hawatashiriki uchaguzi wa 2025 katu bila katiba mpya, na hakuna tume huru itakayopatiokana bila katiba mpya
Utabiri wangu ni 2025 hakuna katiba mpya itakayokuwepo, na hii tume ya sasa pengine itarekebishwa kidogo, ila haitakuwa na uhuru, lakini Chadema watabadilisha gia angani...
Yule refa aliyechezesha mechi ya RS Berkane vs simba jijini DSM aitwaye Joseph Nadala wa Congo amekuwa miongoni mwa marefa nane kutoka Afrika watakaochezesha Kombe la Dunia.
Ni habari mbaya kwa makanjanja yaliyoskitishwa na ushindi wa Simba kwa kudai goli la sakho lilikuwa offside
Pia...
Waziri Mkuu akiongea katika kikao cha maafisa Utamaduni na maafisa michezo Jijini Dodoma, alishangaa kwa nini Tanzania haina kocha hata mmoja anayefundisha nje ya nchi, hata Burundi au Rwanda lakini yenyewe ikiwa inachukua makocha wa kigeni kutoka nchi hizo.
Kinachoshangaza zaidi ni Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.