Ubora wa nguo unapimwa kwa vigezo kadhaa. Hapa kuna mambo muhimu yanayochangia ubora wa nguo:
1. Vifaa vya malighafi: Vifaa vya malighafi vinavyotumika kutengeneza nguo ni muhimu sana katika ubora. Nguo zilizotengenezwa kwa malighafi bora zinakuwa imara, rahisi kutunza, na zinadumu kwa muda...
Mpira ni mchezo wa wazi uliokunyanya wadau wengi sana wanaoufuatilia, hivyo sio hekima kwa mtu asiyekuwa na weledi wa uchambuzi na uwandishi wa mpira akajichambulia na kujiandikia kwa kuongozwa na mahaba na chuki kwa timu hii na Ile.
Mpira wetu Sasa unapiga hatua kubwa kitaifa na kimataifa...
Mchambuzi ni mtu makini na mtaalamu wa fani husika kwa weledi wa kiwango cha juu. Bongo hatunao watu wa aina hii mfano wa Dkt. Leakey Abdallah wa kizazi cha zamani na kwa kizazi cha sasa mfano wa Ali Mayay, Kiemba Amri na Edo Kumwembe.
Wengi naona sio wadau, hii tetesi imekaa vipi?!
Ilianza muda mwaka Jana wanahabari kadhaa walienda Dubai kuchunguza ufanisi wa bandari,tukawaona wabunge nao wakienda Dubai,na Leo wanahabari kadhaa wa vipindi vya asubuhi wataanza kutangaza matangazo ya asubuhi Moja kwa Moja toka Dubai,nani anafadhili suala hili!?
GOLI KIPA ILI AWEZE KUWA BORA ANAHITAJI KUWA NA VITU VIFUATAVYO⚽
.
1. Uokoaji: Hii inahusu jinsi golikipa anavyoweza kuokoa michomo inayoelekezwa kwenye lango lake. Uokoaji mzuri unahitaji muda wa mwitikio, uamuzi sahihi, na ufundi katika kukabiliana na mipira inayoingia.
2. Mawasiliano...
Kufuatia Mheshimiwa Rais kutoa ndege ya Bure, Uongozi wa Yanga umempa kazi Manara kuratibu kuhusu wachambuzi watakaokwenda Algeria kwenye mechi ya Yanga na USMA.
Hiki ndicho alichoandika Manara kwenye page zake rasmi
"Mnakwama Wapi Wachambuzi kunipigia Simu? Tatizo ni nini Bando au mnaniona...
Ila zaidi ya redio hakuna majukwaa mengine ambapo unaweza kutembelea na kupata taarifa za kimichezo (hasa soka) kwa wakati na za kutosheleza.
Nakumbuka enzi hizo alianza Dr Leakey tukimsikiliza kipindi cha kombe la dunia - 1994 to 1998. Kipindi hicho ni yeye alitamba kwenye uchambuzoi wa soka...
Hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la wadau wa mchezo wa mpira wa miguu ambao wanafanya kazi ya kutathmini na kuchambua michezo mbali mbali hapa nchini, hasa mchezo wa soka (gozi la ng’ombe, kandanda au bolu). Ongezeko hili la wadau hawa ambao wanajitambulisha na kutambulika kama wachambuzi ni...
Uenda ikawa kashfa mbaya kwa Pentagon kushindwa kuyatambua makombola ya Urusi, hii inajiri mara baada ya msemaji pentagon kusema ni kweli mfumo wao wa ulinzi wa Patriot ulilitungua kombola la urusi aina ya Kinzjal huko nchini Ukraine.
Wachambuzi wa makombola walianza kulitilia mashakha aina ya...
===============
Katika lugha inayotumika kwenye barua official sehemu za pesa huwa zinaanza kwa tarakimu zilizotenganishwa kwa comma, kisha aina ya pesa kwa initials baada ya hapo kuwepo kwa mabano ya maneno)
Mfano
2,000 USD (Two thousand US Dollars)
2,000 Tshs (Two thousand Tanzanian...
Ukisoma hapa huyu admin anasema first ever akimaanisha kwamba hawajawah fika, ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika 1974 sasa tumwamin nani kati ya CAF au wachambuzi lia lia wa Tanzania
Mashabiki wa simba matusi yenu pelekeni tu CAF mim tu nimeleta habari nikiambatanisha na...
Yanga wapo kwenye nyakati bora sana hivi sasa, walipokuwa wanakosea walisemwa sana na wakabeba kama changamoto, wamebadilika na wapo mbali sana.
Juhudi za kuwasifia ziwe kama zile ambazo zilikuwepo wakati wa kuwakosoa, ukifanya hivyo umeiheshimisha taaluma ya Habari, usione haya!
Vijana Wana kesho nyingi sana waacheni watembee polepole kuepuka kujikwaa.
Timu kubwa zina Zina mabenchi Bora ya ufundi na vitendekeakazi vingi, hivyo vina jukumu la kuibua vipaji vipya kwenye michezo ili kuziba nafasi za wanaozeeka. Wachambuzi Wana tabia za kuwajaza vichwa na kuwapandisha...
Anaandia haji manara [emoji3578]
Ajira Ajira Ajira
Vigezo vya kuwa mchambuzi wa Soka Tanzania. Unatakiwa ujue misamiati hii
1. Box to Box
2. Kukabia High-line
3. Half-Space
4. Zonal Marking
5. Wing-back
6. False number 9
7. Final Third,
8,Double pivot
9,Semi Volley
10,Half Metrobolisim...
Kuna utofauti mkubwa wa kuchambua ,kutumika kupenyeza ajenda za sehemu Fulani au timu fulani,kutumika muamvuli wa uchambuzi ku attack watu fulani na mwengine yanayoweza kufanana na hayo na kuusimulia mpira
Tanzania baada ya ujio wa Azam Media na kujitolea 100% kutangaza na kuonesha ligi zetu za...
Wanafiki na Wapuuzi wakubwa nyie. Yanga SC ingeifunga Ihefu FC leo mngekumbuka kusema kuwa Wachezaji walikuwa na Uchovu (Fatigue) kama mnavyosema sasa kila Mkichambua, Mkitangaza na Mkihojiwa na Waandishi wa Habari?
Na kama Yanga SC mlijua Mbeya ni mbali kwanini hamkuwahi kwenda huko ili pia...
Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.
Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.
Defend ni verb
Defence ni noun
Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina
Hivyo basi defend ni kulinda
Defence ni ulinzi
Msikie huyu...
1. Aisee wale ni:
Left backs sio back left
Right back sio back right.
Mbona hamsemi kickfree ama kickgoal?
2. Moja ya vitu sio moja ya kitu. Moja katika ya vingi.
Man up
Mpira hauchezwi kwenye vyombo vya habari, unachezwa uwanjani. Maneno hayachezi mpira, chuki na mahaba ya mtu havisababishi timu kushindwa au kushinda.
Yanga imewafundisha watu somo hili la weledi. Sasa hivi wachambuzi wote wamenyooka kama rula, wameanza kuamini kama mpira ni sayansi, mpira ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.