wadada

Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Somo langu si kubwa sana lakini ni la Muhimu sana kwa Wadada na picha za utupu

    Baada ya kusoma na kuangalia baadhi ya blogs zinazoonesha udhalilishaji wa Dada zetu Hapa Tanzania, nikaona bora na mimi nitoe somo kidogo, Somo langu si kubwa sana lakini ni la Muhimu sana kwa wasichana wanao jiheshimu na kutaka kulitunza Hekalu takatifu, (mwili ulio umbwa na kubarikiwa na...
  2. Baadhi ya wadada wanaorusha video zao mitandaoni, huwa wana ndugu na wazazi kweli?

    Habarini, Jana nilipita pita Facebook nikaona video moja toka kwenye ukurasa wa alli mastory mdada alijirekodi video akiuliza, akiwapa nafasi wanaume wachague chochote (zingatia neno chochote) cha kumuomba kwenye mwili wake, watamuomba kipi, akajionyesha upande wa mbele, huku akiuliza kama...
  3. Wadada pitie hapa kuna la kujifunza

    Kutoka miaka 20 kwenda 30, miaka huwa ni kama haiendi inakuwa inasogea taratibu na kipindi hiki ndio mabinti wengi hukitumia vibaya kuringa na kudanga, wanatumika mno kumbe Mungu ndio amewapa kukitumia kufanya maamuzi sahihi kuchagua wenza sahihi wa maisha yao na sio kufanya umalaya. Kipindi...
  4. Wadada wembamba vaeni cargo, msiache hii trend iwapite!

    Wadada, wembamba! Jitahidi kwenye kabati lako usikose cargo pants moja au mbili, mkivaa zinawapendeza sana. Ukijua kuipatia na shirt au jersey na chini raba mnapendeza kinoma. Kama una girlfriend mwembamba msuprise cargo one time, atafurahi. Kama kitovu kizuri unaweza kionesha kinanoga na...
  5. Wadada wasiopenda hela na wenye akili za maisha na maendeleo hebu jitokezeni tuwaone

    Wadada wasiopenda hela na wenye akili za maisha na maendeleo hebu jitokezeni tuwaone?
  6. Baadhi ya wadada ukipiga nao story, utasema wife to be huyu hapa, ingia nao kwenye mahusiano ndo utajua hujui

    Habarini, Kuna baadhi ya wadada ni majirani zangu, kimuonekano ni wazuri tu, wameajiriwa, wapo kwenye umri wa kuolewa lakini hawajaolewa, kwa nyakati tofauti nilibahatika kupata wasaha wa kukaa nao chini na kupiga story kuhusu mahusiano ya kimapenzi waliowahi kupitia. Tuliongea mengi ila...
  7. Q

    Msaada: Njia za kupunguza uume

    Uume wangu ni mkubwa sana hali hii inanikera kutokana nakimbiwa sana na wanawake wenye umri kama wa kwangu au niliowazidi. Nikitoka kwenye shoo huwa hawarudi hata kutembea hawatembei vizuri naombeni msaada wenu njia ya kupunguza uume.
  8. Ili uwe salama chukua dada wa kazi kwenye Taasisi zinazohusika na wadada wa kazi

    Kuna taasisi zinahusu wadada wa kazi hivyo chukua kule.ukipata shida wanafatilia mpaka kwao
  9. C

    Inaonekana hawa wadada mawinga wa china wanatajirika kwa akili finyu za Watanzania

    Yes. Kuna kitu kinaniambia hela ipo nje nje chini huko.kimsingi uwe tu namtaji wako hata wa kukodi fremu kubwa nje mji kidogo au hata ndani ya maeneo yenye watu wengi Alafu kuwa muaminifu kwa 100% usiwe mjanja mjanja tu. Basi utatengeneza pesa mpaka uchoke ww Kwa sababu watanzania wengi...
  10. Nadhani hizi ndizo sababu za ukatili kutoka kwa wadada wa kazi , Tuwaelewe na tuwasaidie

    Hebu tulia kama dakika tatu fikiri kwamba una binti yako ambae kiumri bado ana hitaji malezi kutoka kwako unamtoa kwenda kufanya kazi za ndani kwenye familia nyingine . Nadhani kuna ugumu fulani labda kuwe na sababu inayo kulazimu kama hasa hali mbaya ya kimaisha/kiuchumi . Sasa uwaze...
  11. S

    Trends za muonekano zinavyowatesa wanawake enzi na enzi

    Mitazamo ya uzuri wa mwanamke siyo ya kudumu, inabadilika kulingana na nyakati. Enzi za mabibi zetu wanawake wenye mwanya walionekana kuwa ndiyo warembo zaidi. Ikawalazimu bibi zetu kubomoa meno ya mbele ili kupata pengo litakalohesabika kama mwanya. Enzi za mama zetu, wanawake wenye rangi ya...
  12. Selfika na JF: Snap it. Show it

    Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na...
  13. Wadada wengi sasa wamekuja na huu ujanja mpya, wanaume tuwe makini

    Hello, Utakuta uko na mdada kwenye environmental setting moja, mnaanza kuzoeana, mdada atakachofanya ni kuwa ata-flirt na wewe, ataweka idea of sex mbele yako, mwanaume ukijaa, mizinga inaanza, mara naomba vocha, dinner, etc, wengine siku hizi hawasubiri umtongoze, akikuona uko vizuri kimfuko...
  14. Dakika za lala salama

    Endeleeni kuleta mapoda ninyi wadada, mwenzenu anapambana kikubwa kupumua tu.
  15. Nyakati hizi, wadada wanatongoza sana wanaume

    Siku moja niliamua kutembelea akaunti yangu moja ya mtandao wa kijamii, baada ya kuingia 'inbox' nikakutana na sms (jumbe) nyingi za wadada na wamama mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali za Afrika; nyingi zilikuwa zinasema, 'mambo', 'hallow' n.k Wengine wakiomba urafiki n.k; nikawa najiuliza kwa...
  16. Mtu kama huyu hakosi poda na makorokoro ya kujirembea kama ya wadada

    Lengo la mtoto wa kiume kujilemba kama mdada ni nini sasa ni kulazimisha u-handsome au ni nini au ndio dalili za upinde
  17. Hivi wadada kumbe wanaanini uongo tunaowaambia?

    Kuna mmoja hapa na macho ya kawaida tu, bas nikamwambia unamacho mazuri sana natamani niwe nakuangalia mara zote, eeh basi anajua ni kweli amekaa anayazunguusha zunguusha kumbe hakuna maajabu yoyote. How possible?
  18. Kupiga vizinga (kuomba omba hela) na selfishness mentality ni moja ya sababu inayofanya wadada wengi wasiolewe, au wawe single mothers

    Habarini Utakuta ukimuuliza mdada kwanini hadi umri huo alio nao hajaolewa na yupo single, atakwambia hajaona mwanaume serious, baadhi ni kweli hawajapata wanaume serious, ila wadada wengine ni kwamba hata wao wenyewe hawapo serious kwenye hayo mahusiano wanayoingia. Wanaingia kwenye...
  19. Natafuta wadada na wakaka 5 kwa ajili ya kupika katika bakery

    Habari, Naitaji wafanyakazi 5 (wadada na wakaka) kwa ajili ya kunisaidia kupika katika bakery. Eneo: Kibaha Maili Moja Piga: 0678650509
  20. Wadada acheni kupandikiza mashepu na lips za bei rahisi, nimemuona mmoja ninayemfahamu hapa Sinza kawa kituko kabisa

    Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa) Sasa imepita miezi miwili toka nionane nae, leo nimemuona kaumuka yaan ile kama kavimba vimba hivi. Kawa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…