wadada

Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Balqior

    Wadada kausha damu, jifunzeni hata kuwapikia boyfriends wenu

    Habarini Nimefanya takwimu isio rasmi, nimegundua wanaume ndio tunaongoza kwa kula migahawani kila siku, asubuhi mchana na jioni, wadada wanaokula migahawani ni wachache, tena wanakula mara moja moja, nika-reason na kusema wanaume wanaokula migahawani sio kwamba wote wako single, wengine wako...
  2. Joannah

    Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

    Kwema? Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package. Kuna wale...
  3. Balqior

    Wanaume mliowahi kudate wadada wanaoosha nywele saluni za kiume, nipeni uzoefu

    Hello, Wazee kuna saluni moja nilienda hapa mjini, dah kuna mtoto nlimwona nkapagawa, ni mzuri haswa, mfupi kiasi, rangi nzuri, chura iliochomoza yenye shepu nzuri, mlaini, miguu yenye shepu nzuri ilionona, nkajisemea kwa uzuri huu hastahili kufanya kazi kama hii. Wakuu nipeni tips, ikitokea...
  4. Execute

    Sababu rahisi zilizofanya nikaacha kuwaoa hawa wadada wazuri kwa muonekano

    Simu yake imeharibika halafu akasema atarekebisha juujuu ili akambambikie mtu mwingine. Nikamuacha mara moja. Mwingine namuuliza kitu gani unachokipenda maishani akanijibu yeye anataka avae na kupendeza. Nikaona huyu akili hana. Nikasonga mbele. Ladies, wanaume tunapotaka kuoa tunakuwa...
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Kuondoa lawama sasa kila mtu abaki na mali zake. Wadada mubaki na mali zenu na wakaka tubaki na mali zetu.

    Kila kukicha kundi moja linalaumu kundi jingine. Eeeehh mara hivi mara vile. Dawa ni kila mmoja abaki na kitu chake anachoona ni cha thamani. Mapenzi zama hizi hayana faida . Mambo ya kugeuzana ATM machine hapana. Ni biashara ya upande mmoja.
  6. Unique Flower

    Wadada wa humu niacheni

    Yaani mtu ni mzee amekosa wakukumbushia mabifu yenu sasa mnakuja kunitafuta, niacheni. Nimechoka na kama mtu anadai nawazibiia rizikii sijaja kuwafuata madanga yenu. Msinichoshe si jf tu ndio mnaihangaikia. Mnahangaika na mimi tu. Sibadili ID na nitabakia na ID yangu na mtakereka sana na ID...
  7. Selemani Sele

    Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa

    Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa. Story inaanza nimeamka Jumamosi flani mapema nikaenda jumuiya na nikafanya majukumu binafsi, Nikaamua niende Sinza kunyoa sitataja saluni kuingia nikanyoa fresh. Sasa...
  8. Rayvanny wa jamiiForums

    Hivi wadada kama ukiambiwa uchague mmoja kati ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au mwanaume mwenye hela?

    Hivi wadada bora kupata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au kupata mwanaume mwenye hela? Hebu funguka unachagua nini? #nyumayapazia
  9. Rayvanny wa jamiiForums

    Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

    Katika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo. Sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi.
  10. Rayvanny wa jamiiForums

    Swali kwa wadada, hivi mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela?

    Hebu sema ukweli wako, hivi wadada mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela? #nyumayapazia
  11. M

    Tabia ya wadada kuvaa tishet au blauz na kuacha maziwa yamening'inia ina maana gani?

    Yaani hii tabia iliyoibuka ya wadada kuacha maziwa yananing'inia, inatuweka wanaume mahala pagumu sana. Mimi nadhani kwa upande wangu makalio yalikuwa hayanisumbui sana lakini hili suala la boobs wamenidaka.
  12. LIKUD

    Mwanaume kabla haujaoa, tembelea kwanza Newala. Mwenzenu Tayari nipo Newala toka juzi usiku wa manane

    Majuzi niliandika Uzi humu nikisema nataka kufanya utalii wa ndani mikoa ya kusini then nikaomba suggestion nianze na Newala au Songea? Mdau mmoja akasema niende Songea sintojuta. Mwingine akaniambia kama nawataka wamakonde haina haja ya kwenda Newala bora niende Masasi kwa sababu Masasi...
  13. BANENI TOM

    Msaada: Kila nikimnyonyesha mwanangu nafika mshindo. Hali hii ni kwa Wanawake wote?

    Hello guys, mnaendeleaje? Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kujimalizia mwenyewe hasa pale nilipokuwa nikimynyonyesha mwanangu na hata sasa nikiwa nimempaka usiku wakati akiwa amelala. Iko hivi; Wakati namnyonyesha mwanangu Jesse wakati akiwa mdogo, huwa kuna kale ka-feeling mtoto kunyonya...
  14. Hance Mtanashati

    Nasimama upande wa Keshas namtetea hana makosa hata kama kweli anawalala hao wadada

    Katika vitu ninavyoviona vya ajabu basi ni tuhuma zinazomkabili Keshas. Keshas huduma zake kwa ujumla ni gharama sana, kupunguza tu tumbo tu peke yake ni laki 9 lakini cha ajabu kila kukicha wateja wanazidi kumiminika kwake kuanzia wateja wa kawaida mpaka wale V.I.P mfano mmojawapo ni Zari the...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

    Kwema Wakuu! Taikon huambiliki, Taikon ni mbishi sana. Taikon sijui unamfumo dume. Taikon much know. Taikon unadharau na kuwachukia Wanawake. Oooh! Taikon kutwa kucha kuwakandia wanawake. Alafu unakuwa aggressive kama mwendawazimu. Taikon kapime magonjwa ya Akili. Sawa yote NIMEKUBALI...
  16. FRANCIS DA DON

    Dharura! Kuna mlipuko mkubwa wa wadada kuota sharubu ma ndevu

    Kumetokea mlipuko wa ghafla sana wa wanawake kuota sharubu kwenye mashavu na ndevu jijini Dar. Hali hii tuliizoea kwa wamama waliosogea umri, hasa 50’s na kuendela. Ila sasa inatokea kwa wadada wadogo tu. Wizara ya afya, mmeanza kuchanganyia wadada homoni za testerone kwenye vidonge vya uzazi...
  17. Restless Hustler

    Wadada wasomi ni wasumbufu alafu Wana mchango mdogo Sana kwenye mahusiano/ndoa

    Kuoa ni sawa na kutoa sadaka. Unachukua jukumu la kulea jitu lenye meno 32 huku likikupa stress na dharau za kipumbavu. Kwa upande wangu, Ni wakati Sasa wa kuwajaribu wale wa vijijini na wasio wasomi. Nina nia ya kuanzisha mahusiano yenye hatima ya kuoana lakini bado Kuna Tatizo kwa wasomi wajinga
  18. U

    Why wadada wanajichubua sana, hasa Hawa waofanya biashara mbaya mitandaoni

    Siku hizi maadili yamevunjika kiasi kwamba sijui vijana wanaelekea wapi, Kuna wimbi la biashara za miili Kwa mabinti wa kike na jinsia nyingine zinazofanyika mitandaoni, hasa mitandao ya telegram , wasap, na web za hovyo ambazo serikali imefungia lakini watu bado wanatumia VPN. Hii imeenda...
  19. Balqior

    Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

    Hasahasa maeneo ya Arusha Mjini, usipokua makini unaweza gongwa na bajaji kwa kushangaa wanawake. Wanawake wengi huku Arusha wana makalio makubwa yenye shepu nzuri balaaa, miguu ya bia ilionona daah, huwa saa nyingine nakutana na pisi, naishia tu kuguna kwa tamaa!
  20. M

    Wanawake kupenda wanaume wenye pesa kumefanya wanaume wajitambue na kuacha uvivu, pongezi kwenu

    Rejean kichwa cha habari hapo juu. Ipo wazi sasa hivi mwanaume kama huna hela mapenzi yatakusumbua sana, yaani kuna aina ya wanawake hutowapata regardless ya muonekana wako, family background, n.k. Hii imepelekea wanaume wengi kuchacharika kuitafuta pesa, hata zile jamii/makabila yenye...
Back
Top Bottom