Wakuu naandika kwa masikitiko makubwa sana kwa kinachoendelea kwenye biashara nchini Tanzania. Huu uzi ni maalum wa kujisema na kujitaka kujisahihisha. Wengi wa wafanyabiashara kuanzia wadogo, wa kati na wakubwa wana uhaba mkubwa wa uaminifu na kuishia kuwa watu wa dhuluma. Hii ni tabia ya hovyo...
Wafanyabiashara wengi wanaoendesha biashara ya kuagiza mizigo kutoka nje ya nchi kwa kutumia fedha za wateja kama njia ya kufanikisha biashara hukumbana na changamoto kubwa katika eneo la uhasibu na ulipaji kodi. Changamoto hizi mara nyingi huishia kusababisha biashara nyingi kupata madeni...
Wengi wa wafanyabiashara wamegoma nchi nzima na moja ya ajenda yao ni ukaguzi wa risiti za EFD zisitishwe mara moja. Mimi ni mwananchi wa kawaida kabisa na asilimia 95 ya wafanyabiashara wa nchi hii hawatoi risiti halali.
Pale unaponunua bidhaa ukiomba risiti toka kwa mfanyabiashara ni mgogoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.