Wasitutishe, wasitubabaishe. Lazima kuwe na tozo na kodi mbalimbali. Haya ma vieti mnadhani ni mengi hivi sababu wajapan wanatupa bure?
Mnadhani yanatumia maji? Au yanatumia upepo? Burundi nadhani maisha ya kule ni rahisi zaidi kwa mujibu wa Mwigulu Nchemba.
Wanasiasa walio empty kichwani...
Wafanyabiashara wengi wanaingiza mizigo kwa njia ya magendo, wanazitunza stoo. Wanaweza kupitishia bandarini, njia zisizo rasmi za mipakani, au kwa majahazi. Hawalipi Kodi.
Sasa serikali imeamua kusajili stoo wanazotunzia ili waweze kujua zilipo, wakague na waonyeshwe risiti za jinsi mzigo...
Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, Muliro amesema: “Changamoto ya Kariakoo chanzo ni Bandarini kwenye kitengo cha Forodha, pale mifumo ya kodi si rafiki, ukitaja thamani ya kodi halisi hauwezi kutoa mzigo.
Kinachofuata unashirikiana na makamishna wa Forodha...
Naomba kukiri wazi kwamba mimi ni miongoni mwa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliogoma kufungua maduka yao (sababu zimeelezwa)
Ninaandika kwa ufupi sana kwamba Naomba sana kamati ya Wafanyabiashara hao kuhakikisha viongozi wao na wasemaji wao wanalindwa kwa udi na uvumba (nadhani naeleweka)...
Salaam Ndugu zanu,
Bunge linaendela muda huu, mgomo wa kariakoo unaendela muda huu lakini Spika analetewa hoja hii mezani anajifanya kama hajui kinachoendelea.
Kwamba Spika anashindwa kutazama hata vyombo vya habari kujua nini kinaendelea? Eti anadai anataka ajiridhishe kama ni kweli au la...
Habari wakuu nipo mtaa wa mchikichi huku kariakoo maduka hayajafunguliwa hadi muda huu kuna nini kwani?
Ngoja niangalie na mitaa mingine.
UPDATES...
Muonekano wa maduka mbalimbali katika soko la Kariakoo hadi saa 8.23 asubuhi huku kufungwa kwa maduka hayo kukihusishwa na uwepo wa mgomo wa...
Kuna tetesi ya mgomo wa wafanyabiashara eneo la Kariakoo.
Sababu za kuitisha mgomo;
1. Urasimu bandarini
2. Usajili wa stoo
3. Kamata kamata hovyo ya wateja kwa ukuguzi wa risiti
Wao wapo tayari kufanya biashara kwa uhuru na kulipa kodi bila mambo ya rushwa rushwa na maonezi.
Rai kwa...
WAZIRI ASHATU KIJAJI AAHIDI KUTATUA KERO YA UTOZAJI USHURU KWA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOA WA MANYARA
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru wa Shilingi...
Akielezea hali ya mazingira yalivyo katika Juma Idris Chombo ambaye ni Makamu Mwenyekiti Soko la Mabibo Dar es Salaam anaelezea:
Makusanyo ya Tozo tunayokusanya hapa ni shilingi miamia, tunakusanya kwa ajili ya huduma tu kama vile usafi na ulinzi, kwa kiwango hicho hatuwezi kujenga soko la...
Baadhi ya Wafanyabiashara wa Soko la Tegeta Nyuki, Dar es Salaam wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya soko hilo hilo kwa kusema asilimia kubwa inachangia huduma kuwa mbovu hasa wakati wa mvua.
Nurdin Abdul, Mfanyabiashara wa sokoni hapo amesema “Changamoto katika soko letu ni matope, mazingira...
Wakuu natoa huduma zifuatazo:
1. Natengeneza website za aina zote, blog n.k
2.Natoa huduma za E-comerce, App za kihasibu kama vile quickboks,microsoft 360 na software nyingine za kihasibu au za mahesabu kwa wafanyabiashara na wamiliki wa makampuni.
3. Pia natoa huduma nyingine zote...
Mwaka huu kazi kazi. Tukiwa kwenye majonzi ya kodi ya nyumba hasa kwa wale wanaoishi kwenye maghorofa, TRA inawataka wafanyabiashara kusajili store zenu.
Hii ni Habari njema kwa Wafanyabiashara wanaosubiri vizimba na Flemu Sokoni Kariakoo.
Msimamizi wa Ukarabati Mh Kaijage amesema kuna ongezeko kubwa la vizimba na Flemu baada ya ukarabati mkubwa unaofanyika.
Alikuwa akimweleza Mwenyekiti wa Bodi Hawa Ghasia.
Source: ITV Habari
=====
Update...
Heri ya Pasaka!
Eneo nilipo kuna wafanyabishara 5 wanauza nyama ya nguruwe kilo 1 wanauza elfu 12, ilo eneo mimi ni mgeni nina miezi 4 tu Ila punde baada ya kufungua banda langu nilikuwa nauza bei sawa na wenzangu sh 12k lakini nilikuwa siuzi kabisa naweza kukaa mpaka siku 4 siuzi kabisa...
Utamaduni wa kujaza wasomi na walimu wa vyuo kwenye bodi za mashirika hayana tija. Kwenye bodi hizi mtaalamu sana sana awe mmoja na walionaki wawe watu ambao wanajua na kutumia reli mfano wafanyabiashara wa mizigo inayoenda nchi za nje, wataalamu wa kodi lakini watoke kwenye kampuni binafsi na...
Kila uchwao ni kilio cha maisha magumu ambacho hutoka kwa mnyonge kwenda kwa mtawala. Dhamana ya kilio hiki anayo mtawala ambaye ana matakwa ya kutatua ama kutokuitatua changamoto husika kutokana na uwepo wa rasilimali za kutosha au maamuzi binafsi.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Ripoti ya CAG itaendelea kuwa Stori zisizo na funzo lolote Kwa Sababu wezi wamegundua kwamba ukiwa na pesa hakuna wakukuchukulia hatua.
Wanasiasa wote walioiba na waliobambikiwa kesi wapo uraia na wananchi wanampongoza awamu ya sita Kwa kuwaachia matajiri; lakini tujiulize NI maskini gani...
Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya ulipaji kodi nchini hasa kwa wafanyabiashara wadogo, wafanyabiashara wengi wanagharamia fedha nyingi na kupoteza muda mwingi katika zoezi zima la kulipa Kodi.
Mathalani mlipa kodi anasafiri umbali mrefu sana kwenda kukadiriwa kodi na kupewa control number...
Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji?
===
Nape akiwa Clouds FM amesema
"Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu machozi na amefanya kazi ya kurudisha furaha na tabasamu kwenye maisha ya watu. "Wale wanasiasa...
Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZNBC), Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezitaka Wizara na wadau wa sekta mbalimbali zinazofanya biashara wakutane kila miezi mitatu kujadiliana kuhusu changamoto na kuzipatia ufumbuzi.
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.