Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbambali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo mbambali ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi.
Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za...
Mfanyabiashara unaweza kupata taarifa ya viwango vya kubadili fedha kupitia simu yako, una-google, kutembelea mabenki n.k lakini cha muhimu zingatia utofauti wa kiwango cha kubadilishia fedha hiyo, Wafanyabiashara wengi mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka anakuwa haelewi kwa sababu hajui...
Habari za leo wakuu
Mimi ni kijana mkazi wa Dar es salaam. Nimekuwa nikiwasaidia wafanyabiashara waliopo mbali na Dar es salaam katika kuwanunulia bidhaa kwenye maduka ya jumla yaliopo hapa Dar. Hivyo haimlazimu mtu kusafiri kutoka mikoa ya mbali kuja Dar kufunga mzigo, ambapo utakuta faida...
Kituo cha magari madogo ya abiria Kilichopo kilombero jijini Arusha maarufu kama stand ya Kilombero kimezidiwa na wingi wa shughuli nyingi za kiuchumi hususani biashara tofauti na Lengo kuu la kituo hicho cha daladala.
Kituo hicho ndio kitovu cha daladala karibu zote zinazoelekea sehemu...
Unaamua kufanya biashara mtandaoni halafu huweki bei, lengo lako ni nini?
Inakera sana unakuta ukurasa umejaa watu wanauliza bei halafu hazijibiwi au wakijibu ni jibu la 'njoo DM' au 'piga namba hiyo hapo' ama 'kwa maelezo zaidi njoo WhatsApp'.
Kwani mkiweka bei kila mtu akaona mnapungukiwa...
Kuna mada niliongolea kuhusu wachina wanaweza kukutajirisha naona ikapokelewa kufumbwa na watu wasio taka mjue mwanga unachomokea wapi.
Watu wengi hususani hapa bongo si rahisi mtu kukupa code kuhusu biashara za bara la asia zilivyo ili kuendelea kuwa mteja wake usisanuke.
Wachina wamejikuta...
Maandamano yametokea Mitaa ya Dubois, Gikomba na Nyamakima Jijini Nairobi wahusika wakidai uwekezaji unaofanywa na Wafanyabiashara raia wa China kuuza vitu kwa bei ya chini ni hatari kwa biashara ya wazawa.
Wakiwa na mabango yenye ujumbe tofauti ikiwemo kudai 'Kuna uvamizi wa Wachina', wamefika...
Na. Jonathan Kalunga
Wafanyabiashara wa ferri watakiwa kuepuka kufanya biashara pembezoni mwa barabara, mpaka pale watakapo tafutiwa maeneo mazuri kwa ajili ya shughuli zao.
Katazo hilo limetolewa na Diwani wa Kata ya Kigamboni Dotto Msawa, alipowahutubia wafanyabiashara hao Mara baada ya...
Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini wamedai kuna uonevu mkubwa wanafanyiwa na uongozi wa Halmashari ya Ubungo kwa kuwalazimisha kusaini mkataba ambayo hawajairidhia.
Baadhi ya Wafanyabiashara wamesema viongozi wa Halmashauri hiyo wakiongozana na Askari Polisi, Mgambo na Mwanasheria...
Wafanyabiasha ni watu mhumu katika kukuza uchumi wa taifa .lakini pia ni watu hatari wakitaka kukuhujumu kama hutawasikikiza ,kuwashirikisha mipango ya maendeleo .mfano kama Kuna matajiri Wana basi Yao harafu wewe unataka kujenga reli lazima watapambana na wewe kuona hufanikiwi kiurahisi...
Chakula na Mahindi ya msaada yanagawiwa vijijini huko na sio mjini, mjini haijawahi tokea mahindi ya msaada yakagawiwa, na huko vijijini ni wakulima ndio wanalia njaa kali sana. Sasa Bashe anasemaje kuona wakulima wake ndio sasa hivi wanagaiwa mahindi ya msaada?
Bashe ujue anazania wanao teseka...
Ndugu zangu watanzania,
Huo Ni ushauri wangu kwa serikali ya Rais Samia kuhakikisha kuwa inawapa kipaombele wafanyabiashara wakubwa wa kitanzania katika kila aina ya fursa ya kibiashara,Tenda katika miradi ya serikali na maeneo mengine makubwa makubwa yanayogharimu kiasi kikubwa Cha fedha...
Ni wazi kwamba toka Tanzania ipate uhuru, Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr Geor Davie wa Ngurumo ya Upako na Msemaji Mkuu wa Serikali na Ufalme wa Mungu hapa Duniani ndie mtu maarufu kuwahi kutokea katika mkoa wa Arusha.
Umaarufu na ushawishi wa Nabii Mkuu umefanya sasa hata wanasiasa wa mkoa wa Arusha...
Naomba niwape ushauri wale wote wafanyabiashara hasa ambao wana biashara mpya kuhusu maswala ya kodi.
Watu wengi wameshangaa kuona Diamond wa wasafi media ana lalamikia TRA hili ni swala la kawaidia kwa wale wasio na uzoefu wa kulipa kodi na kuendesha kampuni.
Mawazo yangu ni marahisi sana...
Mlifikiri ni siri sasa vimeanza kuibuka hadharani!
Kitakachofuatia ni watu kuondoa fedha zao Benki kama ilivyokuwa kwa Magufuli, soon mtapata majibu yenu kwenye uchumi!
Huu uhuni nina uhakika MWIGULU yumo ndani yake maana ndiye anayeongoza Genge la kumdanganya mama ili aanguke waseme hawezi...
Kila mwaka wakati wa sikukuu hasa za mwisho wa mwaka LATRA huongeza usimamizi kwa mabasi ya kusafirisha abiria ikihusisha usimamizi wa nauli halali. Hiki kipandi ni cha chini ya wiki tatu kati ya wiki 52 za mwaka mzima.
Nje ya nyakati za sikukuu hasa za mwisho wa mwaka wasafirishaji hufanya...
Mimi sitoongea sana, kwakua kilichotokea kinajulikana na tumeona.
Mtuhumiwa lazima Alindwe, kitendo cha Askari wako wajinga wajinga kujichukulia sheria mkononi, kupiga picha hao Wanawake na kuanza kuwasambaza mitandaoni kwa Sura, Majina, na Kabila, ni kitendo cha ajabuu , cha kudhalilisha na...
Ndugu zangu, Rais Samia Ni zaidi ya kiongozi, Ni zaidi ya Mwanasiasa,Ni zaidi ya mwanadiplomasia,Ni zaidi ya jasusi wa kiuchumi,Ni zaidi ya komandoo wa Vita ya kiuchumi, Rais Mama Samia Ni mchanganyiko wa hivyo vyote,Ni mjumuiko wa hayo yote, Ni muunganiko wa hayo yote, Ndani yake utayaona hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.