wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Logikos

    Jinsi Mpigania Uhuru, Wafanyabiashara wawili, DJ na Mmiliki Bar walivyofanikisha mwaliko wa Bob Marley nchini Zimbabwe kwenye Hafla ya Uhuru 1980

    Ilichukua mzalendo, mpigania uhuru asiye na woga na katibu mkuu wa Zanu-PF kuandaa sherehe za uhuru wa Zimbabwe. Kwa msaada wa wafanyabiashara wawili, mmiliki wa baa na mtangazaji wa redio waliweza kupanga njia ya mwaliko wa Robert Nesta (Bob) Marley. Mkongwe wa kitaifa Cde Edgar Zivanai “Two...
  2. MamaSamia2025

    Ninawasihi wafanyabiashara wenzangu kuacha kuwaongelea vibaya wafanyakazi wanapoacha kazi

    Mtu mmoja ambaye ni family friend na Koffi Olomide aliniambia kuwa Mzee Koffi kwenye mkataba wake wa kazi kaweka kipengele cha kutoongeleana vibaya baada ya mkataba kufikia tamati au kuvunjwa. Hii ilitokana na tukio la mwishoni mwa miaka ya 90 pale wanamuziki wake wote walivyomtoroka kabla ya...
  3. Mwanongwa

    DOKEZO Baadhi ya Wafanyabiashara Mbeya acheni kuajiri Watoto kwenye biashara zenu, wasaidieni wapate elimu

    Ajira kwa Watoto limekuwa tatizo sugu sana hapa nchini, tukiachana na wadada wa kazi ambao asilimia kubwa wanakuwa ni wale ambao wameacha shule au ndiyo wametoka kuhitimu elimu ya Msingi, kuna hawa Wafanyabiashara wanaomiliki maduka kwenye masoko mbalimbali hapa nchini wamekuwa na utaratibu wa...
  4. Mwanongwa

    KERO Baadhi ya Wafanyabiashara Soko la Soweto na Uyole (Mbeya) wanauza Samaki walioharibika kwa makusudi

    Habari Wana jukwaa la JamiiForums, leo nimekuja na jambo hili linalowahusu hawa Wafanyabiashara wa Samaki katika masoko ya Soweto na Uyole jijini Mbeya. Baadhi ya hao watu hawajali kabisa afya za watu, maana wamekuwa na utaratibu wa kuuza Samaki ambao tayari wameharibika na hawafai kwa...
  5. N

    Kwa wafanyabiashara wanaolipa TRA

    Mambo vp wadau?. Hivi kama umeenda TRA kufanya makadirio na waka sema utumie mashine ya EFD wakati hata uwezo WA kununua hyo mashine huna inatikiwa ufanyaje wakuu
  6. GoldDhahabu

    Kama China na Dubai zingesimamisha uzalishaji, ni wapi pangekuwa kimbilio la wafanyabiashara wa Tanzania?

    Nalenga kupanua wigo wa kufikiri! Ni wapi bidhaa za bei rahisi zinapatikana tofauti na China & Dubai? Vipi Thailand? Nasikia Pakistan nako kuna bidhaa bora na za bei rahisi hata kuzidi Dubai na China! Kuna mwenye uzoefu wa hizo nchi? 🙏🙏🙏
  7. davismwaisemba

    Naomba kufahamu changamoto katika usafirishaji kwa wafanyabiashara

    Habari wana JamiiForums, Mimi ni mtaalam wa kuunda software za simu na kompyuta. Natamani kutengeneza mfumo wa logisitics/delivery ambayo itagusa kila mfanyabiashara ambaye biashara yake inafanya delivery ndani na nje ya mkoa husika. Sijaona mifumo inayogusa maeneo hayo moja kwa moja...
  8. Manfried

    MBOWE , wewe ni mfanyabiashara na kawaida ya wafanyabiashara huwa wanatafuta favor kutoka serikalini , hivyo ni ngumu wewe kuitoa ccm madarakani.

    Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako. Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi. Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
  9. A

    KERO Maafisa biashara Ilala wanashurutusha wafanyabiashara kulipa fine kwa kutumia nguvu

    Hii imenitokea Niliandikiwa fine ya laki 3 Nikaomba control number Ila niliwaomba niwalipe siku inayofata wakakataa na kunilazimisha nilipe siku hiyohiyo. Baadae wakanipakia Kwa Bajaj peke yangu na kunipeleka stakishari police huku njian nikipewa vitisho na kuwekwa ndani usiku kucha bila utetezi...
  10. G

    Kariakoo ukiondoa Wakinga, Wachaga na wenye asili ya nchi za nje, panabaki patupu

    Ukitaka kupunguza tatizo la msongamano Kariakoo ondoa wakinga, wachaga na watanzania wenye asili za kihindi, kiarabu, kisomali, kichina, n.k.. hawa ni almost asilimia 70 ya biashara za Kariakoo Wanaobaki kwa mbali labda ni waha na wapemba kwa makadirikio ni asilimia 20 wanaobaki asilimia 10...
  11. Mindyou

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wampiga chini Mwenyekiti wao zamani. Wamchagua Severin Mushi kama kiongozi wao mpya

    Wakuu, Wafanyabiashara wa Kariakoo wamemchagua Mwenyekiti wao mpyA anayeitwa Severini Mushi aliyepata kura 229 akimshinda, Martin Mbwana aliyekuwa akitetea kiti hicho ambaye amepata kura 12. Soma pia: Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa Uchaguzi huo umefanyika Alhamisi Desemba 5...
  12. M

    KERO Serikali ifanye utaratibu wa kupunguza Kodi na Ushuru kutusaidia Wafanyabiashara wa Pemba

    Asilimia kubwa ya sisi Wafanyabiashara Kisiwani Pemba tunapata wakati mgumu kuhusu suala la kodi na ushuru mkubwa tunaotozwa katika Bandari ya Unguja pamoja na Bandari ya Pemba Hali hiyo imekuwa ikisababisha baadhi ya bidhaa kupanda bei tofauti na uhalisia kwa kuwa tunalazimika kufanya hivyo...
  13. B

    Battle kati ya wafanyakazi na wafanyabiashara Kwa awamu zote sita

    👉Kwa mujibu ya awamu ya kwanza naomba mnipe majibu Hali ilikuwa vipi kati ya wafanyabiashara na wafanyakazi watu wa enzi za ujamaa mtuambie 👉Awamu ya pili wafanyabiashara walikua juu kutokana na Ile sera ya "soko huria" mambo kadhaa wa kadha yalikuwa ni ruksa kwa wafanyakazi hali ilikua ngumu...
  14. chiembe

    Kuna watu wamekaa eneo la ajali Kariakoo wakiamini kwamba wanaweza "kuokota" Mauzo ya wafanyabiashara waliokuwa jengoni

    Haya ndio maneno, kwamba kuna watu wanauza mamia ya mamilioni na kwamba bado yako humo. Hii inachangia wingi wa watu hapo saiti. Jamani, tutumie digital payments, hata likitokea janga, fedha inabaki hewani tu
  15. Kalaga Baho Nongwa

    Nakupa chimbo la sendols za kiume, kwa wafanyabiashara tu

    Nawasalim kwa jina la jmt Kuna watu wanafanya biashara ya hivi viatu, mikoani, daresalaam, visiwani. Hivi viatu unavipata kwa mchina flani hivi anapatikana Narun'gombe na na Msimbazi pale hoteli ya Hong Kong. Bei zake ni za Katoni (24 pieces) na mizigo yake haikai sana. Kalaga baho.
  16. MamaSamia2025

    Serikali isiwachekee wafanyabiashara wa Kariakoo wanaovunja sheria kwa tamaa zao

    Kila kitu kwa sasa kipo uchi baada ya jengo kuanguka. Huu uhuni wa wafanyabiashara wengi wa Kkoo unastahili kudhibitiwa kisheria bila kuwaonea huruma. Hizi underground floors zimeibuka sana miaka ya karibuni kumbe ni uhuni wa watu wenye tamaa wasioridhika na vipato yao. Ninatia wito kwa...
  17. Career Mastery Hub

    Jinsi 'Made in China' ilivyowapoteza wafanyabiashara wengi Tanzania na Afrika

    Hebu tuchambue vipi "MADE IN CHINA" imeleta taharuki na dhana potofu hadi watu wanahangaika bila sababu na kupoteza pesa Nyingi. 🤔 1. Mfano mzuri ni ving’amuzi vya Azam TV! Ving’amuzi vya Azam vina lebo ya “Made in China,” lakini ukifika China hutavikuta madukani hata ukahangaika vipi, na...
  18. Yoyo Zhou

    Wafanyabiashara wa Zimbabwe watafuta fursa katika maonesho ya CIIE Shanghai

    Mdau wa biashara wa Zimbabwe amesema Maonesho ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya China CIIE yametoa jukwaa kwa kufungua fursa za kibiashara kwa sekta ya bidhaa za sanaa ya Zimbabwe. Maonesho hayo yaliyofanyika huko Shanghai, mashariki mwa China kuanzia Novemba 5 hadi 10, ni moja...
  19. KikulachoChako

    Wafanyabiashara Kariakoo wameiomba serikali iwaondoe raia kigeni (Wachina) wanaofanya umachinga

    Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja. Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa wakisimama nje ya maduka na...
  20. B

    Biashara mavyuoni zikifundishwa na wafanyabiashara, vijana/wahitimu hawatolalamika suala la kujiajiri?

    Nimekutana na discussion moja msomi mmoja anasema jamaa yake Ana masters in business Adminstration na Anakuomba amtufatie kazi jamaa akamuuliza mbona si utumie hiyo masters ku-develop ideas na kufanya "innovation mkuu" Jamaa ame-condemn na kutupia mzigo wa lawama moja kwa moja walimu wa...
Back
Top Bottom