Sisi Wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi tunaomba uongozi wetu wa Manispaa uchukue hatua za haraka kuwaondoa wajasiriamali wanaoweka bidhaa pembezoni mwa Barabara ya Mpanda Hotel kwenda Kigoma kwa kuwa ni hatari kwa usalama wao na wale wanaotumia Vyombo vya Moto
Wananchi wa hapa...
N:B: Waajiriwa wa serikalini
Nakupa mfano mdogo tu, Nenda mitaa inayosifika kuwa na watu wanaoishi maisha standard, mfano kwa Iringa Nenda Gangi Longa, Mbeya nenda Forest, Dar nenda Mbezi, utarudi hapa na data kwamba almost 75% ya wanaoishi ni waajirwa, Hao 25 % waliobaki wanaweza kuwa...
Zoezi la kujiandikisha limeishia Sasa ni mwendo wa kuhakiki taarifa zako kama ziko sawa.
Leo ndugu zangu nimekuja na jambo hili kutoka Kwa hawa watumishi wa Dampo kuu Jiji la Mbeya lililopo kata ya Nsalaga.
Hawa watumishi wamekuwa siyo waadirifu kabisa katika majukumu Yao,wanakoelekea watakuja...
RC TELACK AWAKARIBISHA WAFANYABIASHARA KUSHIRIKI UFUNGUZI WA GULIO LA BIDHAA ZA USINDIKAJI.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amewataka wafanyabiashara na wajasiliamali Mkoani Lindi kujitokeza kwa wingi kushiriki Ufunguzi wa Gulio la bidhaa za Usindikaji na Ushonaji linalotarajia...
Licha ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam kubainisha wazi tija ambazo zinatokana na uwepo wa Soko la Bwawani, lakini katika hali ya kusikitisha soko hilo limeanza kuwa makumbusho hata kabla ya miaka 5.
Kwenye soko hilo maeneo ya biashara ni matupu hakuna...
Habarini,
Ni ngumu sana kwa waganyabiashara wadogo kununua EFD mashine kwa bei ya zaidi ya 500,000 ambapo ikiuzwa 100,000 ni wazi TRA watakusanya kodi nyingi kwani watumiaji wa mashine hizo wataongezeka zaidi.
Pia bado TRA wanaweza kuwakopesha wafanyabiasha mashine hizo na kuwakata taratibu...
Punguzeni jazba, waelemisheni wafanyabiashara watalipa kwa upendo, kulazimisha na kutishana kumepitwa na wakati,
Leo nimekuta hiyo kesi kwenye duka moja kariakoo, mdai service levy analazimisha mfanyabiashara afunge duka au alipe, wakati mfanyabiashara anaomba muda wa wiki mbili ndio alipe...
Nikikumbuka miaka ya nyuma kuanzia kwa Kikwete na Magufuli hali ni tofauti na sasa. Watu hawana tena shahuku ya kujipanga barabarani kushuhudia msafara kama enzi zilizo pita hapo nyuma kidogo kwa sasa Rais anapita lakini ni kama kapita Alikiba tu ingawa hawakosekani raia wa kushangaa barabarani...
Mhadhara - 38:
Baada ya kumaliza matembezi yangu kwa takribani wiki mbili kule jijini Mbeya. Leo nimefika Dar es salaam hivyo naomba niwashauri wafanyabiashara (wawekezaji) wakubwa wa kule Mbeya.
Wafanyabiashara wa Mbeya aamkeni;-
Mfanyabiashara wa Mbeya anafanya uwekezaji wa zaidi ya shilingi...
Kunawafanyabiashara ambao wanauza vyakula na vinywaji ndani ya treni ya SGR ambao hawatoi risiti ya EFD kama sheria inavyotaka. Wafanyabiashara hawa hawalipi Withholding Tax kwa kukosa kodi ya pango, pia hawana Hati ya Mlipakodi TRA(TIN) kama ambavyo wenzao wa mitaani walivyonavyo ambavyo...
Ilianza Stendi ya Dodoma na Sasa ni Soko la Ndugai limegeuka kuwa makazi ya popo baada ya wafanyabiashara kulitelekeza Kwa sababu hakuna biashara eneo lilopojengwa.
Nawakumbisha tuu huu nimuendelezp wa miradi hasara ambayo ilijengwa na kuasisiwa Kwa kukurupuka.mfani masoko Hadi stendi za...
Katika biashara ya migahawa mingi huwa naona rundo la wafanyakazi ukilinganisha na ukubwa wa mgahawa.
Kuna mgahawa nimeona una viti 40 na wafanyakazi kama 30 hivi, kuna migahawa midogo midogo ya mtaani mingi ambayo haiwezi hata kukaa zaidi ya watu 5 lakini wafanyakazi wako 5!
Ninachojiuliza...
Wafanyabiashara Ngara Watakiwa Kurasmisha Biashara Zao Ili Kupunguza Mzigo wa Kodi Kwao
Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe (Mb) amewataka Wafanya biashara wilayani Ngara Mkoani Kagera Kurasmisha Biashara zao ili kupunguza mzingo wa kodi kwao
Mhe. Kigahe ameyasema...
Kwa wanawake wote wajasiriamali wafanyabiashara na wengine walojipata ,mwanaume yeyote akija kukufata kukutongoza ukamuelewa ukaona kabisa maisha yako yanakwenda kubadilika kupitia huyo mwanaume, ukaona kabisa huyu ni mwanaume wa ndoto zako, ukaona unayo ahidiwa ni mengiii na makubwaa. Naomba...
Hali ilivyo eneo la Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita asubuhi ya leo Alhamisi Septemba 12, 2024 ambapo hadi sasa wafanyabiashara hawajafungua maduka yao wakidai kuhofia kukamatwa na polisi.
Mzizi wa hofu hiyo ni vurugu zilitokea jana baina ya wananchi na polisi na kusababisha watu wawili...
Habarini niende kwenye mada moja kwa moja uzi huu ni kwa ajili ya wafanyabiashara walionza kwa mitaji midogo na mpaka sasa wamefanikiwa naomba mtupe ilikuaje abc za aina za biashara mlizoanza nazo mpaka mkafanikiwa changamoto zake pamoja na ushauri kwa wale wanaotaka kuanza biashara wafanye kipi...
wengi wao huishi ifuatavyo:
Ofisini jumatatu hadi jumamosi kuondoka majumbani alfajiri kurudi usiku, kukosa muda wa kuspend na familia
likizo pekee ni Christmas, Pasaka au Idi
wakiumwa biashara zinayumba, hospitalini hawana bima wanakamuliwa pesa nyingi
Marejesho ya mikopo kwa benki
Faini za...
ZIARA YA MAFUNZO BUNGENI YA WAFANYABIASHARA WA NGARA YAWA NEEMA KWA BIASHARA ZA KANDA YA ZIWA.
04/09/2024, BUNGENI DODOMA
Baadhi ya wafanyabiashara wapatao 60 kutoka Jimbo la Ngara wametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kujifunza uendeshaji wa shughuri za Bunge, kuongea na...
Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul amesema kiwango cha adhabu kilichopendekezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ushindani wa Mwaka 2024, kwa wafanyabiashara watakaoshindwa kuweka wazi bei za bidhaa wanazouza, kiendane na ukubwa wa biashara husika.
Muswada huo...
Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.