wafanyakazi wa shirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wafanyakazi wa TANESCO kupitia mkataba wa STE tumeondolewa kazini bila utaratibu huku michango yetu ya NSSF ikiwa haijawasilishwa

    Sisi tulikuwa wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), katika Mradi wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP) Rufiji, tukiwa tumeajiriwa kwa mkataba kupitia STE. Tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kuondolewa kazini bila kupewa taarifa (notice) kama ilivyoainishwa kwenye...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TANESCO, sisi Wafanyakazi wa S.T.E Boresheni Mikataba yetu au tupeni Mikataba ya Kudumu

    SHIRIKA LA UMEME TANESCO SISI WAFANYAKAZI WA S.T.E BORESHENI MIKATABA YETU AU TUPENI MIKATABA YA KUDUMU. Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika la tanesco kuna mikataba ya aina tatu:- 1. mkataba wa kudumu company namba 2. Mkataba temporary...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Shirika linalohudumia wenye Maambukizi ya UKIMWI, Mbozi (Songwe) hatujalipwa mishahara

    Mimi ni moja wa Wafanyakazi tulioajiriwa na Shirika lililopo Mkoa wa Songwe, Halmashauri ya Mbozi ili kuwahudumia watu wanaoishi na maambukizi ya UKIMWI, hatujalipwa mshahara wetu kwa miezi mitaty kwa Mwaka 2025. Mganga Mkuu wa Halmshauri pamoja na ofisi yake wamekuwa wakitutishia kutufukuza...
Back
Top Bottom