KERO Responded TANESCO, sisi Wafanyakazi wa S.T.E Boresheni Mikataba yetu au tupeni Mikataba ya Kudumu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
SHIRIKA LA UMEME TANESCO SISI WAFANYAKAZI WA S.T.E BORESHENI MIKATABA YETU AU TUPENI MIKATABA YA KUDUMU.

Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika la tanesco kuna mikataba ya aina tatu:-
1. mkataba wa kudumu company namba
2. Mkataba temporary mwaka ni mmoja
3. Mkataba wa kazi maalumu maalumu. S.T.E mwezi mmoja.

Sisi S.T.E Tunafanya kazi kwa kubwa sana kulibeba shirika la tanesco lakini tunaonekana hatuna dhamani.

Wakati wafanyakazi wa S.T.E ndio wanafanya sana na ndio wapo wengi kwenye shirika lakini awapewi Ajira za kudumu.

S.T.E wengi mafundi, madereva wengine wapo ofisini kila idara unakuta mtu amejiriwa zaidi ya miaka kumi ofisini apewi ajira ya kudumu.

Mkataba wa S.T.E unajiriwa kwa mwezi Malipo yake yanatakiwa ulipwe kwa siku kiasi cha shiling elfu 20 Hapo iyo hela nauli utoe nauli bado kula bado ujaumwa hiyo hiyo hela.

Hatuna overtime Siku umeingia sikukuu kazini ila supervisor yeye analipwa akingia iyo siku.

Siku nyingine mpo site mnafanya kazi mpo na supervisor mda wakazi umeisha masaa nane amuwezi kuondoka mkacha kazi mta fanyakazi mpaka mnamaliza mkitoka hapo supervisor yeye anaenda kuandika overtime yake analipwa ila sisi hatulipi.

Hatuna bima ya afya ukizingatia kazi tunazofanya ni hatari ukipata ajari utajitibia mwenyewe unajiuliza shirika kubwa linashindwa kuwalinda wafanyakazi wake kuwakatia bima za afya.

Hatuna mafao

Kuna wafanyakazi wa S.T.E wana miaka zaidi ya mitano awapewi mikataba ya ajira ya kudumu.

Manager wa mkoa wa temeke ananyanyasa wafanyakazi amekuwa Mungu mtu toka ameamia mkoa wa Temeke sisi wafanyakazi wa S.T.E  Tunateseka sana kwenye malipo yetu hatulipwi kwa wakati,alikuja akakuta tunalipwa kila baada ya siku 10 akabadilisha akasema tulipwe kwa mwezi.

Malipo yanachelewa na hatulipwi kwa wakati.

Ufafanuzi wa TANESCO bofya hapa ~ TANESCO yaomba radhi kwa kuchelewa kujibu, yasema kulikuwa na changamoto ya Mtandao
 
Wenzenu wa vikundi wanapata 150 000 nawanateseka na miradi maporini wewe unapata laki6 unapiga kelele 😒😒

Minashauri ili kazi ziende kwa haraka na wananchii wapate huduma kwa wakati naona muwekwe kwenye vikundi hii itachachochea utendaji kazi 🙏🙏
 
Duh!!!! Ndio maana vishoka ni mafundi kutoka Tanesco. Sasa nimeelewa
 
SHIRIKA LA UMEME TANESCO SISI WAFANYAKAZI WA S.T.E BORESHENI MIKATABA YETU AU TUPENI MIKATABA YA KUDUMU.

Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika la tanesco kuna mikataba ya aina tatu:-
1. mkataba wa kudumu company namba
2. Mkataba temporary mwaka ni mmoja
3. Mkataba wa kazi maalumu maalumu. S.T.E mwezi mmoja.

Sisi S.T.E Tunafanya kazi kwa kubwa sana kulibeba shirika la tanesco lakini tunaonekana hatuna dhamani.

Wakati wafanyakazi wa S.T.E ndio wanafanya sana na ndio wapo wengi kwenye shirika lakini awapewi Ajira za kudumu.

S.T.E wengi mafundi, madereva wengine wapo ofisini kila idara unakuta mtu amejiriwa zaidi ya miaka kumi ofisini apewi ajira ya kudumu.

Mkataba wa S.T.E unajiriwa kwa mwezi Malipo yake yanatakiwa ulipwe kwa siku kiasi cha shiling elfu 20 Hapo iyo hela nauli utoe nauli bado kula bado ujaumwa hiyo hiyo hela.

Hatuna overtime Siku umeingia sikukuu kazini ila supervisor yeye analipwa akingia iyo siku.

Siku nyingine mpo site mnafanya kazi mpo na supervisor mda wakazi umeisha masaa nane amuwezi kuondoka mkacha kazi mta fanyakazi mpaka mnamaliza mkitoka hapo supervisor yeye anaenda kuandika overtime yake analipwa ila sisi hatulipi.

Hatuna bima ya afya ukizingatia kazi tunazofanya ni hatari ukipata ajari utajitibia mwenyewe unajiuliza shirika kubwa linashindwa kuwalinda wafanyakazi wake kuwakatia bima za afya.

Hatuna mafao

Kuna wafanyakazi wa S.T.E wana miaka zaidi ya mitano awapewi mikataba ya ajira ya kudumu.

Manager wa mkoa wa temeke ananyanyasa wafanyakazi amekuwa Mungu mtu toka ameamia mkoa wa Temeke sisi wafanyakazi wa S.T.E  Tunateseka sana kwenye malipo yetu hatulipwi kwa wakati,alikuja akakuta tunalipwa kila baada ya siku 10 akabadilisha akasema tulipwe kwa mwezi.

Malipo yanachelewa na hatulipwi kwa wakati.
Habari, Ndugu Mteja.

Kwanza, tunaomba radhi kwa kuchelewa kukujibu kuhusu suala hili. Tulikumbana na changamoto ya muda kwenye akaunti yetu, lakini kwa sasa huduma zimerejea katika hali ya kawaida.

Pole sana kwa changamoto uliyopitia. Kutokana na muda uliopita tangu ulipowasilisha suala hili, tungependa kufahamu kama tayari lilifanyiwa kazi na ukapata ufumbuzi.

Iwapo changamoto hiyo bado inaendelea au hujapata msaada unaohitajika, tafadhali tujulishe ili tuanze ufuatiliaji kwa msaada stahiki.

Asante na karibu sana. ^GK
 
Sasa ndio umejibu nini hapo?
 
Sasa ndio umejibu nini hapo?
Tunauliza ilitujue kama hi changamoto ilipata ufumbuzi kwasababu ni post ya muda kidogo. Kwahiyo, tunaitaji kufahamu kwanza kama ipo katika mchakato. ^GK
 
Huyo ni mteja au mfanyakazi wenu ndio kaleta malalamiko ya maslahi, mbona unajibu kama ana shida ya umeme, eti semaji?😁
 
Habari,
Asante kwa kuwasiliana nasi, tafadhali tumepokea malalamiko hayo na kuyawasilisha katika idara husika kwa ajili ya utekelezaji zaidi.^HN
 
Kwan ofisi za Tanesco siku izi zimehamia jamii forum

Una malalamiko fuata taratibu za ofisi jinsi ya kufikisha malalamiko yako sehemu husika sio kuleta JF
 
Back
Top Bottom