Kampuni ya Vodafone imetangaza mpango wa kupunguza nafasi 11,000 za kazi katika ofisi zake tofauti duniani kama moja ya juhudi za kurejesha utendaji wake kifedha kwenye hali nzuri. Hatua hii imechukuliwa baada ya kampuni hiyo kukabiliwa na changamoto za ushindani katika sekta ya mawasiliano...
WAFANYAKAZI WA TRA FUNGUENI MADUKA KARIAKOO NANYI MLIPE KODI HIZI
Mimi mfanyabiashara nacomply,ukiniita nakuja,nadaiwa Milioni 100 nimelipa yote bado Milioni 3 mnanifungia mashine,basi fungueni nyinyi maduka mlipe na hizi kodi zote,
1. Kodi ya mzigo unapoingia bandarini.
2. Kodi ya mapato...
Pamoja na kwamba tuna mifumo mibaya ya uendeshaji wa Nchi bado tatizo kubwa la Tanzania ni Watanzani wenyewe.
Yaani Mtanzania mwenye level ya elimu angalau Form Four au Diploma ama tuseme hata Degree bado hawezi ku link maisha yake na siasa, uchumi, Sheria, biashara, kilimo. Yeye anaona mambo...
Miongoni mwa masuala yanayowafanya wafanyakazi kushindwa kuuelewa umuhimu wa vyama vya wafanyakazi ni pamoja na kauli tata za viongozi wa vyama vya wafanyakazi hususani wanapouulizwa maswali yanayowasumbua wafanyakazi wengi.
Katibu alipoulizwa kuhusu kikokotoo jibu alilolitoa kwa kweli ni swali...
Wafanyakazi wa kigeni kutosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi katika ujenzi wa barabara ya Itoni – Lusitu kipande cha 1 cha mradi wa barabara: Kwa kiwango cha zege
Nilibaini kuwa wafanyakazi tisa waliokuwa wanafanya kazi ya Mradi wa ujenzi wa Barabara ya Itoni - Lusitu kipande cha 1...
Km mtakavyokumbuka tarehe moja mwezi huu wa 5 ilikuwa sikukuu ya wafanyakazi duniani yaani mei mosi. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndiye aliyekuwa mgeni rasmi.
Wakati wa hutba zake aliwaahidi wafanyakazi wa sekta ya umma mambo mengi mazuri ikiwamo annual increment yaani nyongeza za...
"Kuweka rekodi", "nguvu kubwa”, "imani”... Haya ni baadhi ya maneno yaliyotumiwa sana na vyombo vya habari vya nchi mbalimbali wakati wa kuripoti mapumziko ya Siku ya Wafanyakazi Duniani hapa China yaliyomalizika hivi karibuni.
Takwimu zinaonyesha kuwa wakati wa mapumziko ya siku tano...
POSTA ILIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI
Shirika la Posta Tanzania limeshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, ambapo kitaifa yamefanyika Mkoani Morogoro.
Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu inayosema "Mishahara Bora na Ajira za Staha ni Nguzo kwa Maendeleo ya...
Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate kufuatia Sikukuu ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro amempongeza Rais Samia kwa kutoa hotuba iliyozidi kuleta matumaini mazuri kwa wafanyakazi wote nchini.
Mhe...
Toka nmepata kujitambua kila mwaka naona katika siku ya wafanyakazi dunia walumu hua ndo vimbelembele sana kuliko wafanyakazi wa kada nyingine mpaka ikafika wakati najiuliza hivi mei mosi ni siku ya walimu au nikwa wafanyakazi wote.
Ushauri kwa walimu waliopo field na sisi watarajiwa tuache...
Rais Samia akiwa katika Sherehe za Siku ya Wafanyakazi mkoani Morogoro amebainisha kuwa nyongeza za mishahara za mwaka ambazo kwa muda mrefu zilikuwa zimesitishwa, zimerudishwa mwaka huu
Amesema “Wafanyakazi wote mwaka huu, mbali na Kupanda Madaraja, na mambo mengine, kuna nyongeza za mishahara...
gerson msigwa
mishahara
muda mrefu
mwaka
nyongeza
nyongeza ya mishahara
rais
rais samia
samia
samia hassan suluhu
tanzania
utaratibu
wafanyakazi
zuhura yunus
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe za Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) leo tarehe 01 Mei, 2023 mkoani Morogoro.
Rais amewasili uwanjani akiambatana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson pamoja na Viongozi wengine wa...
Kama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji.
Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts halafu wanapita mbele ya mhe rais wakikimbizwa kama kuku wa mgeni ama mbwa mwizi.
Watu wazima...
Mufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge.
Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA...
Habari wana uchumi wa JF!
Kama somo linavyosema hapo juu..
Kwa mara ya kwanza tangu Kenya ijinyakulie Uhuru 1963 , serikali imeshindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wa umma na wabunge.
Kufikia sasa wafanyakazi wa umma hawajui ni lini watalipwa mishahara yao hali ambayo ilianza mwezi Disemba na...
Tahadhali naomba kujua ni Nini hatma ya wafanyakazi ambao kutokana na sababu (za awamu iliyopita) walikaa Miaka 9 Bila kupanda daraja achilia mbali nyongeza ya mshahara!
Kwa Mfano wale ambao waliajiriwa Mwaka 2014. Walikuja kupanda daraja mwaka 2021. Imagine!
Je Nini hatma Yao? Je Kuna namna...
Kituo hicho cha Sudan Animal Rescue Centre (SARC) kinachofuga Simba 25 pia kina wanyama wengine wakiwemo gazelles, ngamia, nyani na fisi, kipo karibu na Jiji la #Khartoum ambapo kuna vita ya kugombea madaraka inaendelea.
Simba mmoja anakula kilogramu 5 hadi 10 za nyama kwa siku jambo ambalo...
Habari za leo ndugu wakuu! Nawasalimu kwa jina la JMT. Baada ya salamu naomba niingie kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha.
Wakati siku ya wafanyakazi duniani ikikaribia, naomba niweke wazi kero za wafanyakazi, hasa wa sekta ya umma, ambazo Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.