wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chaliifrancisco

    Tupime Pombe na Madawa ya Kulevya kwa Wafanyakazi Taasisi za Serikali na Bunge

    Mimi kama Mtanzania mwenye nia nzuri na malengo na hii nchi japo nimetamani kuikimbia na nimepata nafasi kadhaa ila nikaamua kubaki naomba kupendekeza ofisi za serikali na bunge zianze kupima pombe na madawa ya kulevya. Hii itasaidia kuondoa wafanyakazi na wabunge ambao wanafanya maamuzi ya...
  2. ACT Wazalendo

    Mwanaisha Mndeme: TUCTA Inawauza Wafanyakazi, Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu

    TUCTA Inawauza Wafanyakazi: Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu. Utangulizi: Hivi karibuni, yametokea maamuzi makubwa kuhusu hatima ya wafanyakazi nchini, tangu Mei Mosi, kuanzia ongezeko la kima cha chini cha mshahara, ukomo wa umri wa wategemezi wa Bima ya Taifa ya Afya na...
  3. S

    Mtazamo: Baada ya mishahara na posho za wafanyakazi kuongezwa, sitashangaa kuona mishahara na posho za wabunge nazo zikiongezwa

    Wakati mishahara na posho za watumishi wa umma zikiongezwa, akili yangu inaniambia wakati wowote sasa au baade kidogo, tutanza kuona au kusikia habari ya wabunge kuogezewa posho na mishahara.. Hoja inaweza kuanzishwa na wabunge wenyewe au serikali yenyewe ndio ikfanya hivyo na hii itakuwa ni...
  4. Mpwayungu Village

    Dada angu anafanya kazi kwa wahindi, ananyanyaswa na kushikwa sehemu za siri

    Samahani kwa kutokusalimia. Nipo katika tafakuri nzito yenye sonono ndani ya moyo wangu, binafsi nikionaga mwafrika ananyanyasika ndani ya nchi yake moyo wangu huwa unalipuka na kukosa amani kabisa. Kama mna kumbukumbu kuna siku niliwahi kutoa thread kulaani na kulalamika kwa nilichokikuta...
  5. K

    Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

    Nimepita hapo, nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari. Chukua tahadhari.
  6. B

    Alichofanya Rais Samia kwa wafanyakazi ni zaidi ya kuupiga mwingi

    ALICHOFANYA RAIS SAMIA KWA WAFANYAKAZI NI ZAIDI YA KUUPIGA MWINGI. Na Bwanku M Bwanku. Leo Jumatatu Mei 16, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua kiundani hatua ya Serikali ya Rais Samia kukata kiu iliyosubiliwa kwa hamu kubwa na Wafanyakazi kwa miaka 6 kwa kuongeza...
  7. S

    Tuwe wakweli, Rais Samia ameleta matumaini. Aliyepita aliwachukia wanasiasa, wafanyabiashara, wafanyakazi na wakulima

    Mpk sasa naweza kusema kuwa Rais Samia ana roho nzuri na ana nia njema na taifa hili. Mtangulizi wake alikuwa na mwelekeo wa kuwadidimiza (kuwafukarisha) wafanyabiashara. Alitamka hadharani kuwa matajiri wataishi kama mashetani. Ndipo akaanza kiwazushia tuhuma mbalimbali na kuanza kufunga...
  8. Kichuguu

    Silaha za Masafa Marefu Zinazomilikiwa na JWTZ

    Nin wasiwasi sana na silaha za masafa marefu tulizo nazo ndani ya majeshi yetu ya ulinzi. Miaka ya 2000 kuna zile zilizokuwa zinalipuka zenyewe kule Mbagala. Na ninavyokumbuka Tanzania tuliwahi kununua vifaru vingi na Gun Howitzers nyingi sana wakati wa utawala wa Nyerere kutokea Urusi. Silaha...
  9. M

    Wafanyakazi wa Watanzania hata wasipoongezewa Mishahara, 85% yao ni wabadhirifu na hawakuwahi kuwa na 100% ya Ufanisi kazini

    Kuna hasara kubwa sana kwa Watanzania kutokana na Wafanyakazi kutopandishwa mishahara, maana hawatofanyakazi kwa ufanisi na wataanza kutafuta vipato vya ziada ili kujikimu. Taarifa: Godbless_lema Na usichokijua tu ni kwamba Wafanyakazi wa Kitanzania ( hasa wa Public Sector ) walishanusa Siku...
  10. Linguistic

    Mkeo anavyomegwa na Wafanyakazi wenzao ofisini

    Mazee Tuelewe kwamba One thing everybody is capable of cheating . Kwa Maana KAmBa What u see happening in the office and at the workplace with ur female colleagues is what happens at ur wives' workplace Mzee Baba. . Hii picha inaleta ujumbe sahihi niliousema hapo Juu, Huku maofisini Watu...
  11. M

    CCM mnapongeza wafanyakazi kuongezwa mishahara kwani imeongezwa tayari? Acheni siasa za kitapeli

    Wewe mwenezi wa CCM taifa unajitambua kweli? Mishahara haijaongezwa maana bado kuna majadiliano wewe unaleta uongo.
  12. J

    RC Kafulila: Rais Samia Suluhu ametoa TZS 2.3Trilioni kwaajili ya Wafanyakazi

    MAELEKEZO 8 YA RC KAFULILA KWENYE MEI MOSI SIMIYU, ILIYOFANYIKA KIMKOA WILAYANI MEATU LEO 01|05|2022 1. Tanzania ni miongoni mwa nchi chache duniani ambazo zina sheria zinazolinda haki ya mfanyakazi kwa kiasi kikubwa ndio maana mchakato wa kumfukuza kazi mtumishi ni mgumu sana. Hata hivyo...
  13. L

    Siku ya Wafanyakazi Duniani: Hakuna kitu kigumu wakati bidii ipo

    China ina misemo mingi kuhusu bidii, kama vile "ipatikane kwa tamaa, ifanikiwe kwa bidii" "Maisha ni bidii, mtu hakosi akiwa na bidii" “taaluma katika bidii sio mchezo”n.k. Na miongoni mwao mstari wa shairi lililotungwa na hayati mwenyekiti Mao Zedong "hakuna chochote kigumu duniani, iwapo uko...
  14. Sky Eclat

    Wasomi wafanye utafiti wa madhara ya kutopandishwa mishahara kwa wafanyakazi, lobbyist wanaweza kutusaidia

    Ili mfanya kazi afanye kazi inayoleta matunda anahitaji kula vizuri, kuwa na afya njema, alale vizuri na pia afya yake ya akili iwe njema. Kwa wengi laki tatu mshahara wa kima echo chini tunafahamu una changamoto hasa kuishi mijini ambako unalipia kodi ya nyumba, unahitaji usafiri wa...
  15. M

    Tanzania ingekuwa na 'Serious Opposition' hili la Wafanyakazi kufanywa Mazuzu wa kutopandishuwa Mishahara ingekuwa ndiyo Turufu yao kuingia Ikulu

    Yaani Matapeli ( wa Vyeti Feki ) wanapewa Vipaumbele kisha Wafanyakazi kila mwaka wanafanywa tu Mazuzu na bahati nzuri hata na Wao wamekubali kuwa Mazuzu kwa Gharama za Kuwaweka Wanasiasa Waigiza Filamu Madarakani. Kuna Bomu Kubwa tumeshalitengeneza ndani ya Watendaji wa Serikalini kutokana na...
  16. M

    South Afrika: Wafanyakazi wamemfurusha nduki Rais Ramaphosa asihutubie. Wanadai hajali watu wa chini

    ANC president Cyril Ramaphosa has abandoned Cosatu’s May Day celebrations at the Royal Bafokeng Stadium in the North West. Cosatu’s main May Day celebrations descended into chaos after a scuffle broke out at the Stadium. #WorkersDay2022 Cosatu’s May Day celebrations descended into chaos...
  17. P

    Watumishi wa Halmashauri wana mishahara duni

    Kama kuna kitu nime-note kwenye mabango ya Mei Mosi ni kuwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, yaani Halmashauri n.k., wana hali mbaya sana. Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, Wizarani, PSSSF, TASAC, TPA wao wapo busy na...
  18. CK Allan

    Kama hujapenda wafanyakazi kuongezewa mishahara nenda kule ukazikwe nae

    Pamoja na wafanyakazi kula msoto kwa miaka 7... Narudia Tena miaka SABA! Bado Kuna watu wamenuna mama kutangaza JAMBO lake kwa wafanyakazi... Basi kama Kuna mtu amekasirika aende kule lile kaburi Lina nafasi tu mnaweza kutosha wote... asante mama.
  19. S

    Afadhali Rais Samia kaukwepa mtego wa kutangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi. Hongera mama!

    Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei. Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri. Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei 1. Upungufu wa mafuta 2. Tangazo la...
  20. J

    Rais Samia aahidi kupandisha mishahara watumishi wa serikali

    === Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 01|05|2022 ambayo ni siku ya "Mei Mosi " Rais wetu ametangaza neema kwa wafanyakazi wa Serikali anayoiongoza, Mtakumbuka ni miaka sita sasa Wafanyakazi wa Serikali ya Tanzania hawakupandishwa mishahara significantly, Tunakumbuka, Rais Samia alipokuwa...
Back
Top Bottom