Karibu watu 4,500 wameugua kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia kuvuja kwa sumu kutoka kwa mgodi wa almasi katika nchi jirani ya Angola, waziri wa mazingira anasema.
Eve Bazaiba alisema watu 12 walikuwa wamefariki dunia. Alisema kuwa DR Congo itauliza fidia ya uharibifu...