wafariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Nigeria: Watu 31 wafariki wakati wa zoezi la kugawa vyakula kanisani

    Watu 31 wameripotiwa kufariki na wengine 7 kujeruhiwa wakati wa mkanyagano wa kugawa chakula kanisani Nchini Nigeria, ambapo shuhuda mmoja wa tukio alishuhudia mama mjamzito na watoto kadhaa wakiwa sehemu ya waliofariki, jana Mei 28, 2022. Msemaji wa Polisi, Grace Iringe-Koko anasema tukio la...
  2. JanguKamaJangu

    Burkina Faso: Wanajeshi 11 wafariki katika shambulio kwenye Kambi ya Jeshi

    Wanajeshi 11 wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio lililotokea Katika Kambi ya Jeshi Mashariki mwa Burkina Faso, lakini Jeshi lilijibu mapigo na kuwaua waasi 15 wakati wakitoroka baada ya kufanya shambulizi hilo. Kwa miaka sita taifa hilo limekuwa likisumbuliwa na mapigano...
  3. JanguKamaJangu

    Watu 27 wafariki kwa ajali ya moto India

    Watu 27 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya moto kutokea katika jengo lenye ghorofa nne Jijini Delhi Nchini India, Polisi wamesema kulikuwa na watu zaidi ya 70 katika jengo hilo Zaidi ya mashine 20 zilitumika kupambana kuuzima moto huo, ambapo watu wawili wanashikiliwa na mamlaka...
  4. JanguKamaJangu

    Arusha: Sita wafariki ajali ya Lori, Noah

    Watu sita wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa katika ajali ya gari baada ya Toyota Noah kugongana na Lori aina ya Scania katika eneo la Alkatani, Kata ya Sepeko, Tarafa ya Kisongo Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha usiku wa kuamkia leo Aprili 20, 2022. Ajali hiyo imetokea katika...
  5. JanguKamaJangu

    Dar: Wafariki baada ya kuangukiwa na kifusi Kigamboni leo Aprili 3, 2022

    Watu kadhaaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakiwa kwenye shughuli za machimbo ya mawe katika eneo la machimbo ya Kikikaka, Mji Mwema Kigamboni, Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa za awali shughuli za uokoaji zinaendelea. Kwa mujibu wa shuhuda aliyekuwepo eneo la...
  6. Tusker Bariiiidi

    Watano wafariki kwa ajali Bunju B usiku wa Jumamosi 26 Machi, 2022. Walikuwa wakitokea kwenye starehe

    Watano Wafariki kwa ajali Bunju B Usiku wa Jmosi wakitokea Juliana Pub wakaja kumalizia huku njia ya Moga kuna baa inaitwa Lava Lounge. Wakanywa tena hadi saa 10 wahudumu Waliwasihi sana walivyolewa hivyo wkalale logde ya huko huko msiendeshe lakini hawakuwasikiliza, Wakaondoka, ndio wakati...
  7. JanguKamaJangu

    Tanga: Ajali ya Fuso yaua sita wilayani Lushoto, wengine wajeruhiwa

    Watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T 239 AFB walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia kwenye korongo katika eneo la barabara ya Soni/Mombo wilayani Lushoto mkoani Tanga. RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema ajali hiyo...
  8. Chachu Ombara

    Watu watano wafariki dunia baada ya Lori kufeli breki kwenye mlima Mbalizi, Mbeya

    Watu watano wamefariki Dunia na wengine wanne kujeruhiwa mkoani Mbeya baada ya Lori la Mizigo kufeli breki kwenye mteremko wa Mlima Mbalizi na kuyagonga magari madogo matatu, Bajaji na watembea kwa mguu. ========================== Akizungumzia kuhusu taarifa hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  9. Chachu Ombara

    Bariadi: Watu 7 wafariki katika ajali iliyohusisha Bajaji na lori

    Watu 7 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kutokana na ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lenye namba za usajili T172 AUP, ambalo liligongana na Bajaj yenye namba za usajili MC 426 CFQ. Watu saba wamefariki dunia na wengine nane wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha Lori kugonga...
  10. Suley2019

    Kenya: Wasiojulikana wazidi kuua, miili ya wawili yapatikana, idadi ya waliouawa wafikia 29

    Miili miwili kati ya mitatu ya watu iliyopatikana juzi Ijumaa ilikutwa ikielea katika Mto Yala Nchini Kenya. Mmoja ulikutwa umetobolewa macho huku ukiwa umekunjwa na kitambaa katika mdomo, mwingine ukiwa umezungushiwa nailoni juu ya kichwa na kufunika uso. OCPD Charles Chacha wa Yala...
  11. JanguKamaJangu

    Ajali Morogoro: Gari la abiria lagonga lori kwa nyuma, wawili wafariki dunia

    Watu wawili wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Toyota Coaster kuligonga kwa nyuma lori lililokuwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara kuu ya Dar es Salaam- Morogoro eneo la Oilcom Nanenane. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Fortunatus Muslimu...
  12. Idugunde

    Songwe: Basi la Kampuni ya Kilimanjaro Express lapata ajali, watu wanne wafariki dunia

    Bus la kampuni ya Kilimanjaro limepinduka asububuhi hii mkoani Songwe likitokea Tunduma kuelekea Jijini Dar es salaam ambapo taarifa za awali zinaeleza ajali hiyo imesababisha watu kadhaa kufariki na uwepo wa majeruhi, taarifa kamili zitakujia hivi punde. =================== Basi la Kampuni ya...
  13. Suley2019

    Wawili wafariki magari yakigongana na kuwaka moto Mbozi

    Picha: Eneo ambalo ajali imetokea Watu wawili wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili likiwamo lililobeba mafuta na kuwaka moto katika ajali iliyotokea maeneo ya Old Vwawa wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe. Ajali hiyo imetokea jana Machi 7, 2022 majira ya...
  14. John Haramba

    Ugonjwa wa Homa ya Manjano walipuka Kenya, watatu wafariki, 15 wagonjwa

    Kenya imetangaza mlipuko wa homa ya manjano baada ya watu watatu kufariki dunia na kubainika wengine 15 wanashukiwa kuambukizwa katika kaunti ya Isiolo, Kaskazini mwa nchi hiyo. Wizara ya Afya inasema imetuma jopo la wataalamu wa kushughulikia suala hilo kwa haraka. Wizara ilisema pia kuwa...
  15. John Haramba

    Watu saba wafariki kwa kupigwa na radi maeneo tofauti Mkoani Rukwa

    Watu saba wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika maeneo tofauti katika Wilaya za Nkasi na Sumbawanga mkoani Rukwa. Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nkandasi, Given Kisantola amesema tukio la kwanza lilitokea Februari 26 saa 9 alasiri Kijiji cha Nkandasi wilayani Nkasi. Watano waliokuwa...
  16. Analogia Malenga

    Watu 60 wafariki katika mlipuko wa mgodi wa dhahabu Burkina Faso

    Takriban watu 60 waliuawa siku ya Jumatatu katika mlipuko katika mgodi wa dhahabu katika kijiji karibu na Gaoua kusini-magharibi mwa Burkina Faso. Makumi ya watu zaidi walijeruhiwa, wakiwemo wanawake na watoto Ilitokea wakati vilipuzi vilivyohifadhiwa karibu na eneo la kuchimba dhahabu...
  17. John Haramba

    Watu 13 wafariki dunia kwa kuanguka kisimani wakiwa harusini

    Watu 13 akiwemo mtoto mmoja wamefariki dunia baada ya kuangukia ndani ya kisima wakati wa sherehe ya harusi Kaskazini mwa India, juzi Februari 16, 2022. Waliopoteza maisha asilimia kubwa ni wanawake na mtoto huyo ambapo walikuwa wamekaa juu ya kisima kilichokuwa kimezibwa kwa muda. Taarifa ya...
  18. JanguKamaJangu

    INASIKITISHA; Tuhuma nyingine nzito kwa Jeshi la Polisi, watuhumiwa wawili wafariki Morogoro na Tabora

    Tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuhusu kusababisha mauaji zimeendelea kushika kasi na leo hii Jumatatu Februari 14, 2022, Gazeti la Mwananchi limeibuka na tuhuma nyingine tena zinazohusu jeshi hilo. Mwananchi imeripoti juu ya matukio mawili ya kuuawa wa watuhumiwa,moja liamuhusu mmja wa vijana...
  19. Miss Zomboko

    Madagascar: Watu 6 wafariki huku 47,000 wakiyakimbia makazi yao kutokana na Kimbunga Batsirai

    Watu sita wamefariki nchini Madagascar baada ya Kimbunga Batsirai kupiga kisiwa hicho kilichopo kwenye bahari ya Hindi. Kisiwa cha Mananjary na miji ya karibu ya imekabiliwa na uharibifu mkubwa. Shirika la kudhibiti majanga nchini humo limeeleza kwamba zaidi ya watu wengine 47,000 wameyakimbia...
  20. Analogia Malenga

    #COVID19 Mawakili 65 wafariki kutokana na Corona

    Chama cha Mawakili wa Tanganyika(TLS) kimeripoti jumla ya wanasheria 65 kufariki kwa kipindi cha kuanzia Machi 2020 kutokana na janga la virusi vya Corona Mratibu wa TLS mkoani Njombe, Innocent Kibadu amesema COVID19 haiishii kuchukua Maisha ya watu bali pia huathiri uchumi wa wanafamilia wa...
Back
Top Bottom