wafariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    Ruaka, Kiambu: Wawili wafariki baada ya jengo la ghorofa 5 kuporomoka

    Watu wawili wamefariki huku mmoja akiokolewa baada ya jengo la ghorofa tano kuanguka eneo la Ruaka kaunti ya Kiambu mapema Alhamisi asubuhi. Jengo hilo liliporomoka saa 3:30 asubuhi na kuporomoka kwenye jengo lililokuwa karibu walimokuwa wamelala wapangaji. Juhudi za uokoaji zinaendelea kwa...
  2. BARD AI

    Ludewa: Watoto wawili wateketea kwa moto kwenye banda la kuku

    Watoto wawili Meshack Ndimbwa (6) na Agrey Mgimba (2) wamefariki dunia na mmoja kulazwa baada ya kuungua na moto wakiwa wanacheza kwenye banda la kuku kijiji cha Lugarawa Wilayani Ludewa mkoani Njombe. Akizungumza na Mwananchi leo Oktoba 31, Mwenyekiti wa kijiji cha Lugarawa amesema tukio...
  3. BARD AI

    Congo DR: Watu 11 wafariki kwa kukanyagana kwenye tamasha la Fally Ipupa

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo amesema mkanyagano ulisababisha vifo vya watazamaji tisa na maafisa wawili wa polisi wakati wa tamasha lhilo kwenye uwanja mkubwa zaidi wa michezo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Watu wengi sana walikuwa wameruhusiwa kuingia katika...
  4. BARD AI

    Korea Kusini: Watu 151 wafariki kwenye sherehe za Halloween

    Shirika la Zimamoto jijini Seoul limesema idadi kubwa ya waliopoteza ni vijana waliokuwa wakigombea njia kwenye uchochoro mdogo na kusababisha kundi kubwa la watu kuwakanyaga Zaidi ya watu 100 pia wanaripotiwa kujeruhiwa kwenye tukio hilo lililowakutanisha watu takriban 100,000 ikiwa ni...
  5. BARD AI

    Tabora: Diwani na mkewe wafariki kwa ajali

    Diwani wa Kata ya Kalola Wilayani Uyui (Tabora ), Sauji Daud na mkewe, Magdalena Richard wamefariki dunia katika ajali ya gari usiku wa kuamkia leo Jumanne Oktoba 25, 2022. Akizungumza na Mwananchi leo, Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo, Said Ntahondi amesema, diwani huyo na mkewe...
  6. BARD AI

    Iringa: Watoto wawili wafariki nyumba ikiungua moto

    Watoto Rehema Masanga wa miaka 7 na Amos Masanga mwenye miaka 5 wamekutwa wakiwa wamekumbatiana baada kushindwa kujiokoa kutokana na kufungiwa ndani na mama yao. Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mafifi, Rabi Mgata amesema chanzo cha moto ni mshumaa ulioshika Godoro na kuunguza nyumba wakati...
  7. JanguKamaJangu

    Nigeria: Zaidi ya watu 500 wafariki kutokana na mafuriko

    Mamlaka zimesema idadi hiyo imefikiwa kutokana na mafuriko makubwa kutokea kwa wiki kadhaa hivi karibuni, watu 1,500 wakijeruhiwa na wengine milioni 1.4 wakihama makazi yao. Tangu Julai 2022 taifa hilo limeandamwa na mafuriko sehemu mbalimbali ikiwemo Jiji la Abuja kutokana na mvua nyingi...
  8. JanguKamaJangu

    Indonesia: Watu 129 wafariki uwanjani baada ya mechi ya soka kuvurugika

    Moja ya tukio baya katika mchezo wa soka limetokea baada ya askari Polisi kurusha mabomu ya machoni kwa mashabiki hali iliyosababisha mkanyakago na watu zaidi ya 180 wakijeruhiwa baada ya timu ya Arema FC kupoteza mchezo dhidi ya Persebaya Surabaya. Baada ya mchezo huo machafuko yalianza na...
  9. DreezyD98

    Wafariki wakimgombania mwanamke

    Mtwara. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamtafuta Hadija Msamati kwa mahojiano akidaiwa kuhusika katika vifo vya wanaume wawili. Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa, Septemba 30, 2022, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema watu wawili wamefairiki dunia...
  10. BARD AI

    Waliotaka kuiba kwenye ofisi za Betting Dar wafariki dunia

    Vijana wawili waliodaiwa kuvamia ofisi ya michezo ya kubahatisha (Premier bet) eneo la Mwenge ITV na kutaka kupora fedha wamefariki kutokana na kipigo walichokipata kutoka kwa wananchi. Septemba 27, 2022, saa 3:30 asubuhi vijana hao walifika katika ofisi hiyo kama wateja wanaohitaji huduma na...
  11. Sildenafil Citrate

    Wachimbaji madini wawili wafariki kwa kuangukiwa na kifusi Geita

    Wachimbaji wadogo wawili wa familia moja katika Kijiji cha Sabora wilayani Geita wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakichimba madini ya dhahabu. Wachimbaji hao Charles Nyamandodi na Benjamin Nyamandodi wanadaiwa kuingia kwenye shimo la uchimbaji lililoko kwenye leseni...
  12. Idugunde

    Watoto wanne wa familia moja wafariki kwa ajali ya moto

    Watoto wanne wa familia moja, wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Tukio hilo limetokea majira ya saa 6:30 usiku wa kuamkia leo Jumamosi Septemba 24,2022 katika makazi ya watu yaliyopo ndani ya eneo la mgodi wa Mwadui, wilayani Kishapu mkoani Shinyanga...
  13. JanguKamaJangu

    Somalia: Watoto 730 wafariki katika Vituo vya Lishe Januari - Julai 2022

    Mamia ya Watoto wamefariki Dunia katika Vituo vya Lishe Nchini Somalia kuanzia Januari hadi Julai 2022 na idadi inaweza kuongezeka kutokana na mazingira ya lishe kutokuwa mazuri. Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulikia Watoto na Wanawake (UNICEF) zimeeleza hivyo ikiwa ni baada...
  14. BigTall

    Zaidi ya Wanajeshi 200 wafariki Dunia wakiwa mazoezini Sudan Kusini

    Zaidi ya Wanajeshi 200 wamefariki Dunia wakati wa mazoezi wakiwa katika kambi 18 za Sudan Kusini kabla ya kuhitimu mafunzo Makamu wa Rais wa Kwanza, Riek Machar amesema sababu kubwa ni hali hewa,magonjwa kwani hakukuwa na dawa, njaa kwani chakula kilikuwa hakipatikani, ambapo waliofariki...
  15. JanguKamaJangu

    Zanzibar: Watoto 316 waugua surua, watatu wafariki dunia

    Watoto watatu wamefariki dunia na wengine 316 wamethibitika kuugua ugonjwa wa surua katika kipindi cha mwezi mmoja visiwani Zanzibar. Wilaya ya Magharibi B Unguja inaongoza ikiwa na vifo viwili na zaidi ya watoto 200 wamebainika kuwa na surua. Wilaya ya Magharibi A ina wagonjwa zaidi ya 70 na...
  16. Lady Whistledown

    Pakistan: Watu takriban 1,033 wafariki kwa mafuriko, 1,527 wajeruhiwa

    Mvua kubwa na mafuriko yamesababisha vifo vya takriban watu 1,033, wakiwemo watoto 348, na wengine 1,527 kujeruhiwa huku jumla ya watu milioni 33 wakiathiriwa na janga hilo tangu katikati ya mwezi Juni Mamlaka ya Kitaifa ya Kukabiliana na Majanga nchini humo (NDMA) imeongeza kuwa watu 119...
  17. JanguKamaJangu

    Watu 14 wafariki baada ya kudaiwa kunywa pombe, wengine wapo hoi

    Watu 14 wamefariki Dunia katika Mji wa Arua Nchini Uganda baada ya kudaiwa kunywa pombe inayodhaniwa kuwa na sumu. Baadhi ya watu wengine wapo hospitalini wakiwa na hali mbaya, Polisi wameeleza vifo saba vilitokea maeneo ya Mvara na Oluko na vingine saba vimetokea Madi Okollo, yote yakiw ani...
  18. BARD AI

    Watu 16 wafariki kwenye ajali ya Lori na Basi Urusi

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Urusi imesema takriban watu 16 wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya Lori kugongana na Basi dogo lililokuwa limesimama katika eneo la Ulyanovsk leo Jumapili Kwa mujibu wa mashahidi kuhusu chanzo cha ajali wamesema dereva wa Lori alishindwa kupunguza mwendo...
  19. BARD AI

    Watu 44 wafariki kwa Kipindupindu Malawi

    Wizara ya Afya nchini Malawi imesema hadi kufikia Agosti 16, 2022 Watu 44 walifariki dunia kutokana na Ugonjwa wa #Kipindupindu huku maambukizi yakifikia watu 1,073. Licha ya kampeni ya Chanjo ya nchi nzima iliyoanza mwezi Mei bado maambukizi yamezidi kuongezeka kufikia wilaya 10 kutoka nane...
  20. BARD AI

    Kabul: Watu 21 wafariki kwa mlipuko ndani ya Msikiti

    Msemaji wa Polisi kutoka Kabul, Kabul Khalid Zadran amesema watu 21 akiwemo Imamu wa Msikiti wamefariki dunia na wengine 33 kujeruhiwa baada kutokea Mlipuko mkubwa kwenye Msikiti uliokuwa na watu wengi. Ni wiki moja tangu wapiganaji wa Islamic State (IS) kumuua kiongozi wa kidini anayeunga...
Back
Top Bottom