Watu 16 wamefariki Dunia na wengine 36 hawajulikani walipo kutokana na mafuriko yaliyotokea katika Jimbo la Qinghai, China.
Mvua ya ghafla iliyonyesha imesababisha maporomoko ya ardhi ambayo yalifanya mto ujae maji.
Mafuriko hayo yameathiri eneo lenye idadi zaidi yaa Watu 6,000 na zaidi ya...
Watu 41 wanadaiwa kuuawa na wengine 55 kujeruhiwa baada ya moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme kuzuka katika kanisa la Abu Sifin Coptic katika mji wa Giza, Cairo
Mamlaka zimesema kuwa moto ulizuka wakati waumini 5,000 wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya ibada ya Jumapili , na kusababisha...
Ajali mbaya iliyo husisha gari dogo aina ya Raum imetokea wilayani Mkalama katika mkoa wa Singida.
Chanzo cha ajali ni mwendo kasi.
Mzee Kinana nilikwambia kupitia uzi fulani hapa, kazi iendelee.
========
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum...
Ni usiku (saa nne) wa kuamkia leo Agosti 9, 2022.
Gari ndogo IST inatokea Kahama, inaelekea Tinde. ikaparamia trekta lililokua mbele limejaza kuni halafu halina taa za nyuma wala reflector. Watu watatu wakafa kwenye IST!
Dereva wa Trekta akakimbia!
Wakati uokoaji unaendelea, ikaja Hiace iko...
Wakimbizi 17 wa Haiti wamefariki Dunia baada ya mashua waliyokuwa wakiitumia kuzama kwenye maji huku wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo.
Walikuwa njiani kuelekea Miami Nchini Marekani kupitia Bahamas, sababu ya kukimbia Nchi yao zikitajwa kuwa ni umasikini na vurugu za wahalifu.
Kikosi...
Hali ya Joto kali imeendelea barani Ulaya ambapo inakadiriwa watu 1,063 wamefariki kutokana na hali hiyo kati ya Julai 7-18, 2022.
Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Ureno ambapo Nchi kiwango cha juu cha Joto kilifikia Nyuzi Joto 47C kikiwa ni cha juu zaidi Nchini humo kuwahi...
Miili 20 imeopolewa na na takriban watu 30 hawajulikani walipo baada ya mashua iliyokuwa imebeba zaidi ya watu 100 wa ukoo mmoja kupinduka kwenye mto katikati mwa Pakistan.
Boti hiyo iliyojaa mizigo ilikuwa ikielekea katika harusi ya kifamilia ilipopinduka katika Mto Indus katika wilaya ya...
Chanzo cha habari gazeti la the The Citizen la leo Machi 30, 2021.
Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza.
Hongereni Polisi kwa kutoa ukweli ingawa mmechelewa mlikuwa mnasoma upepo.
Watu kadhaa wameripotiwa kufariki Dunia Kaskazini Mashariki Nchini Uganda kutokana na kukabiliwa na njaa licha ya kuwa idadi kamili haijatajwa.
Zaidi ya watu laki tano katika maeneo ya Karamoja wanakabilikiwa na hali ngumu ya kimaisha ikiwemo njaa.
Moja ya sababu kubwa ya njaa ni ukame...
Wachimbaji wadogo watatu wamefariki dunia na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo wakati wa kichimba madini ya dhahabu katika machimbo ya Nyamatagata wilayani Geita mkoani Geita.
Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Julai 15, 2022, Mkuu wa Wilaya ya Geita, Wilson...
Watu watatu wa familia moja akiwemo mtoto mdogo, wakazi wa Kata ya Terat katika Jiji la Arusha wamepoteza maisha papo hapo kwa ajali baada ya kugongwa na gari wakitoka hospitalini wakiwa wamepakizana kwenye pikipiki.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea mapema leo Julai 13, 2022, majira ya saa...
Wizara ya Afya imesema kufikia Julai 12, 2022 kulikuwa na Wagonjwa 13, na 3 kati yao wamefariki dunia
Wenye dalili za Homa, Kuvuja Damu puani kuumwa kichwa na mwili kuchoka wanaendelea kutafutwa
Sampuli za awali zilizopimwa katika maabara ya Taifa zimeonesha majibu hasi (negative) kwa ugonjwa...
Watoto saba wameuawa katika mlipuko uliotokea katika eneo la Margba, kijiji cha Tone Prefecture, kaskazini mwa nchi hiyo, ambalo limekuwa katika hali ya hatari tangu Juni mwaka jana.
Katika taarifa, jeshi la Togo lilisema mlipuko ambao chanzo chake hakijajulikana ulisababisha vifo vya watoto...
Idadi ya waliofariki katika ajali ya boti katika mji wa biashara wa Nigeria Lagos imeongezeka na kufikia 15 huku miili zaidi ikiopolewa, maafisa wa dharura wamesema Jumapili.
“Kulikuwa abiria 16 ndani ya boti wakati ajali ilipotokea Ijumaa usiku,” Ibrahim Farinloye wa idara ya kitaifa ya...
Afisa wa Wilaya ya Konso, Kusini mwa Nchi hiyo amethibitisha vifo vya takriban Watoto 13 kutokana na njaa huku ukame na migogoro ikiendelea kuathiri eneo hilo
Afisa huyo amesema kuwa idadi ya Watoto wenye utapiamlo katika Wilaya hiyo inaongezeka, ambapo zaidi ya 240 kati yao wamelazwa...
Wahamiaji 14 wamefariki Dunia baada ya boti waliyokuwa wakiitumia kushika moto katika Jimbo la Kasamance Nchini Senegal.
Safari yao ilikuwa ni kuelekea Ulaya kupitia Visiwa vya Kanari vya Hispania.
Meya wa Mji wa Kafountine jimboni hapo, David Diatta amesema wamefanikiwa kupata mili 14 baada...
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.1, kwa kipimo cha richa, limetikisa maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo na kudaiwa kusababisha vifo 130 nchini humo, mamlaka ya kudhibiti majanga nchini humo zimesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka
Inaelezwa kuwa, tetemeko hilo lilipiga takriban kilomita 44...
Afrika imeripotiwa kuwa na Maambukizi 1,597 ya Virusi vya MonkeyPox tangu kuanza kwa mwaka 2022, ikielezwa Watu 66 wamefariki dunia
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa (CDC) Afrika, Ahmed Ogwell Ouma amesema Ugonjwa huo bado haujadhibitiwa Afrika. Amefafanua, "Msimamo...
Wanafunzi watatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wamefariki Dunia na wengine watano wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Juni 4, 2022 jioni katika moja ya barabara zilizopo chuoni hapo.
Ofisa Uhusiano wa chuo hicho, Beatrice Baltazar amesema ajali hiyo imetokea jana Juni 4, 2022 saa...
Mapigano kati ya wachimba madini wadogo, yaliyodumu ndani ya juma moja kaskazini mwa Chad yamesababisha takriban watu 100 kupoteza maisha na 40 kujeruhiwa, na kupelekea machimbo hayo kufungwa kwa muda usiojulikana
Inaelezwa kuwa mgogoro huo ulianza kama mzozo wa kawaida kati ya watu wawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.