wafariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    Historia Ngumu: Wagombea Urais 5, Rais mmoja, wamefariki ndani ya miaka 8 Tanzania

    Candidate Running mate Party Anna Elisha Mghwira[42] Hamad Mussa Yussuf Alliance for Change and Transparency (ACT) Edward Lowassa[42] Juma Duni Haji Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Fahmi Nassoro Dovutwa[42] Hamadi Mohammed Ibrahimu United People's Democratic Party (UPDP)...
  2. Kingsmann

    Dar es Salaam: Vijana wawili wafariki mikononi mwa polisi

    Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha...
  3. JanguKamaJangu

    Watu watatu wa Familia moja wafariki katika ajali ya gari Pwani

    Watu watatu wamefariki na wengine kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyohusisha lori na gari ndogo aina ya Toyota Alphard iliyotokea katika Kijiji cha Mbwembwe, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi mkoani humo Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa amepata...
  4. Chachu Ombara

    Wanne wafariki dunia ajali ya Hiace

    Watu wanne wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya gari dogo la abiria aina ya hiece lenye usajili namba T339 DBV lililokuwa lilitoka Izibya kwenda Bukoba mjini mkoani Kagera kupata ajali eneo la Kyetema. Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera ACP Brasius Chatanda amesema kuwa ajali...
  5. Suley2019

    Misri: 32 Wafariki na 63 wajeruhiwa kwenye ajali

    Watu 32 wamefariki na wengine 63 kujeruhiwa leo, katika ajali iliyohusisha basi la abiria na magari kadhaa kugongana na baadhi kuwaka moto katika mkoa wa Beheira nchini Misri kwenye barabara ya Cairo-Alexandria, kilomita 131 kaskazini mwa mji mkuu Cairo. Ripoti zianaeleza wengi waliofariki vifo...
  6. BARD AI

    Shinyanga: Mkulima, Mfugaji wafariki kwa Kupigwa na Radi wakati wakisuluhishwa

    WATU wawili wakazi wa Kitongoji cha Salawe A, Kijiji cha Salawe, Kata ya Ubagwe, Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi nyumbani kwa mwenyekiti akiwasuluhisha mgogoro uliokuwa ukiwakabili. Tukio hilo limetokea nyumbani kwa Mwenyekiti...
  7. FRANCIS DA DON

    Watu 20,000 wafariki kwa mafuriko Libya

    Nimeona hii video sehemu https://youtu.be/w8_VVgoy5B8?si=nLe2iq-MmbJ7hU30 --- The mayor of the eastern Libya port city of Derna estimates between 18,000 and 20,000 people have died in the catastrophic flooding. Abdulmenam Al-Ghaithi told al-Arabiya TV his estimate was based on the number of...
  8. EINSTEIN112

    TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

    #BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
  9. Suley2019

    Malaysia: Watu takribani 10 wafariki baada ya ndege kuanguka kwenye barabara kuu

    Picha 1: Eneo ambalo ndege imeanguka Watu takriban 10 wamepoteza maisha baada ya ndege ya kukodisha kuanguka kwenye barabara kuu kaskazini mwa Kuala Lumpur siku ya Alhamisi. Ndege hiyo, iliyokuwa na abiria sita na wafanyakazi wawili wa ndege, iliondoka kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  10. JanguKamaJangu

    India: Watu 49 wafariki kutokana na mafuriko

    Watu 9 kati ya waliopoteza maisha wameangukiwa na majengo huku zaidi ya watu 10 wakiwa hawajulikani walipo kutokana na mvua kubwa iliyosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi. Mafuriko hayo yamesomva magari, kubomoa majengo na kuharibu madaraja katika Majimbo ya Kaskazini ya Himalaya ya...
  11. BARD AI

    Watu 24 wafariki katika ajali ya barabarani Morocco

    Basi dogo lililokuwa limewabeba watu waliokuwa wakienda sokoni nchini Morocco limetumbukia kwenye korongo leo Jumapili, na kuua watu 24 katika mojawapo ya ajali mbaya zaidi za barabarani katika nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika, maafisa walisema. Abiria hao walikuwa wakisafiri kwa njia ya...
  12. B

    Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

    Watu wanne wamefariki dunia baada ya gari aina ya Toyota Prado walilokuwa wamepanda kugongana uso kwa uso na gari ya mzigo aina ya Scania majira ya saa nane usiku katika eneo la Mapatano, Kata ya Mbwewe, Halmashauri ya Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Waliofariki katika ajali hiyo ni...
  13. Nyendo

    Mwanza: Watu 6 wafariki kwa kugongwa na gari wakifanya mazoezi

    Watu 6 wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari binafsi, ambalo limewagonga wananchi waliokuwa wakifanya mazoezi kandokando ya barabara eneo la Sabasaba Ilemela Mwanza leo Julai 22, 2023 majira ya asubuhi. ===== Taarifa za awali ni kwamba Watu 6 wamefariki...
  14. Chachu Ombara

    Watu 16 wafariki katika ajali ya gari walipokuwa wakirejea kutoka msibani

    Ajali ya barabarani iliyohusisha lori na daladala kwenye barabara kuu ya Kagadi-Kyenjojo katika halmashauri ya mji wa Nyanseke-Muhorro, wilayani Kagadi. Ajali hiyo pia imewaacha wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya, ambao wote wanaripotiwa kuwa walikuwa wakirejea kutoka mazishi. Kaimu afisa wa...
  15. BARD AI

    Songwe: Ajali ya Malori 2, Bajaji na Bodaboda yaua Watu 5 Momba

    Watu watano wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea katika eneo la Mpakani Wilaya ya Momba mkoani Songwe. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa njia ya simu leo Jumatano Juni 5, 2023; Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Theopista Mallya amethibitisha kutokea ajali hiyo...
  16. JanguKamaJangu

    India: Zaidi ya Watu 300 wapoteza maisha katika ajali ya treni

    INDIA: WATU ZAIDI YA 300 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA TRENI Taarifa za awali zinaeleza idadi ya waliopoteza maisha ni 288 huku wengine 850 wakijeruhiwa katika hiyo iliyotokea Jimbo la #Odisha, lakini kumekuwa na ongezeko la idadi ya waliofariki kwa kuwa zoezi la kutoa miili iliyonasa kwenye...
  17. Roving Journalist

    Simiyu: Watoto wawili wafariki kwa kula mboga yenye sumu, saba wanusurika kifo

    Watoto wawili wa Familia ya Tandula Ngasa, katika Kijiji Cha Mwakiloba Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamepoteza maisha na wengine saba kunusurika kifo baada ya kudaiwa kula chakula chenye sumu. Akiwa kwenye mkutano wa Jukwa la tatu la Ushirika Mkoa wa Simiyu ambapo alikuwa mgeni rasmi, Mkuu...
  18. B

    Simiyu: Watoto watatu wafariki dunia Simiyu

    Watoto watatu wa Shule ya Msingi Itubukilo B, Kijiji cha Pugu, Kata ya Itubukilo Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu, wamefariki dunia Aprili 25, 2023 baada ya mkokoteni waliokuwa wakisafiria kusombwa maji ukiwa unavutwa na ng’ombe. Waliofariki ni Maleki Legi (16), Isaka Njile (14) na Wille Njile...
  19. JanguKamaJangu

    Libya: Abiria 55 wafariki baada ya boti kuzama

    Boti hiyo iliyokuwa imebeba wahamiaji wakielekea Barani Ulaya imezama katika Pwani ya Libya ilikuwa na abiria 60. Watu watano wamesalimika akiwemo mtoto raia wa Syria, huku Wanausalama wakiwa na kazi ya kuopoa miwili kutoka kwenye bahari. Libya imekuwa ikitumika kama njia kuvuka kwenda Ulaya...
  20. BARD AI

    Majeruhi watano ajali ya bajaji na IST wafariki dunia

    Majeruhi watano kati ya sita wa ajali iliyohusisha bodaboda, bajaji na gari dogo aina ya IST wamefariki dunia leo wakati wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa. Majeruhi hao walipata ajali jana Aprili 25, 2023 katika eneo la TRM, Kihesa Kilolo, Manispaa ya Iringa...
Back
Top Bottom