wafariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    Arusha: Wanne wadaiwa kufariki dunia baada ya Noah kusombwa na maji ikijaribu kuvuka barabara iliyofunikwa na maji

    Hii ni ile noah iliyozama ilikuwa na watu sita wawili wamepona, watatu wamepatikana wamefariki, mtoto mmoja hajaonekana sijui kapelekwa na maji hadi wapi ======= Watu wanne wamepoteza Maisha na wengine wawili kunusurika kufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya NOAH T 499 DMY kusombwa...
  2. B

    Dar: Baba adaiwa kuwapa sumu watoto wake watatu

    Dar: Karim Shabani mwenyeji wa Chanika jijini Dar es Salaam, anadaiwa kuwaua watoto wake wawili kwa kuwapa sumu aliyoiweka kwenye juisi, baada ya kutuhumu mtoto wa mwisho aliyezaliwa na mkewe sio wake na hafanani naye. Juma Mohammed ambaye ni msemaji wa familia ya marehemu, amesema Karim...
  3. B

    Iringa: Wanne wadaiwa kufariki Dunia mgodini kwa kufukiwa na kifusi

    Watu wanne ambao ni wachimba madini, wamefariki kwa kufukiwa na kifusi cha mchanga katika eneo la machimbo ya madini ya dhahabu yaliyopo Kijiji cha Igomaa wilayani Mufindi mkoani Iringa, huku wengine watatu wakijeruhiwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, ACP Allan Bukumbi, amethibitisha kutokea...
  4. BARD AI

    Ajali yaua Wanandoa Dodoma, kichanga wao anusurika

    Watu wawili mke na mume wamefariki dunia kwenye ajali iliyohusisha gari ndogo na treni katika makutano ya reli, Kata ya Tambukareli, Dodoma. Akizungumzia marehemu hao Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Ibenzi Ernest amesema walipokea mwili wa mwanamke Furaha Rashid huku...
  5. Nyendo

    DR Congo: Watu sita wafariki Dunia na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya boti kuzama Ziwa Kivu

    Takriban watu sita wamefariki dunia, na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya boti kuzama katika upepo mkali Ziwa Kivu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Boti hiyo ilikuwa imesheheni wafanyabiashara na bidhaa zao zikitoka Mugote katika mkoa wa Kivu Kusini kuelekea Goma, mji...
  6. JanguKamaJangu

    Mexico: Watu 40 wafariki kwa moto katika kituo cha Wahamiaji

    Watu waandamana nje ya kituo cha wahamiaji cha Mexico baada ya moto kuzuka katika kituo hicho, Machi 28, 2023 Takriban watu 40 wamefariki na wengine 29 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika kituo cha wahamiaji cha Mexico kwenye mpaka na Marekani. Kituo hicho katika Mji wa Mexico wa Ciudad...
  7. chongoe

    Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

    Mpaka muda huu watu sita wamefariki dunia baada ya kula nyama ya kasa kisiwani Mafia wakiwemo watoto wawili ambao ni ndugu huku baba yao na mama yao wakiwa wapo hospitali hapa Mafia wamelazwa. Taarifa zinakuja sababu bado huduma inaendelea watu ni wengi waliokula taarifa inakuja ishazikawa...
  8. Replica

    Askari polisi wafariki ajalini Msoga

    Ajali imetokea leo alfajiri katika eneo la Mavi ya Ng'ombe kwenye Kijiji cha Mboga, Kata ya Msoga baada ya gari iliyokuwa imebeba maafisa wa polisi aina ya Toyata Crester yenye namba za usajili T.323 BAL iliyokuwa ikiendeshwa na Mkaguzi msaidizi wa Polisi, Ndwanga Dastani (28) aliyekuwa akitokea...
  9. JanguKamaJangu

    Italia: Wahamiaji 59 wafariki baada ya boti kuzama baharini

    Watoto 12 ni miongoni mwa waliopoteza maisha katika ajali hiyo huku watu wengine kadhaa wakiwa hawajulikani walipo ikiaminika ilibeba zaidi ya abiria 150. Watu 80 wamesalimika na baadhi yao wanasema meli ilikuwa inakaribia Pwani ya Crotone eneo la Calabria. Meli hiyo iliyotengenezwa kwa mbao...
  10. BARD AI

    Mikoa 20 yabainika kuwa na Wagonjwa wa Surua, Watoto 12 Wafariki

    Kwa mujibu taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu mwenendo wa Ugonjwa Surua na Rubela nchini Tanzania kuanzia Julai 2022 hadi Februari 2023 jumla ya Mikao 20 imebaika kuwa na Wagonjwa. Mikoa ya Ukanda wa Pwani imetajwa kuongoza kwa idadi ya Wagonjwa ambapo hadi sasa takwimu za jumla mikoa hiyo ina...
  11. Sildenafil Citrate

    Watu 14 wafariki katika ajali mbaya ya barabarani Kenya

    Watu 14 wamethibitishwa kufariki huku wengine kumi na watatu wakijeruhiwa katika ajali mbaya eneo la Kakwamunyen kando ya barabara ya Lodwar-Kakuma Jumamosi usiku . Kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation, waliofariki ni wanawake wanane watu wazima watatu wa kiume na watoto watatu wa kiume...
  12. JanguKamaJangu

    Watu 1002 wafariki kwa Ugonjwa wa Kipindupindu Nchini Malawi

    Wizara ya Afya ya #Malawi imesema wanakabiliwa na uhaba wa chanjo na kuwa idadi ya watu kwa jumla walioambukizwa Kipindupindu tangu Mwaka 2022 mpaka Januari 24, 2023 ni 30,600. Novemba 2022 Nchi hiyo ilipokea dozi milioni tatu za chanjo ya Kipindupindu kutoka Umoja wa Mataifa (UN) lakini idadi...
  13. BARD AI

    Ajali nyingine yaua watano Kilimanjaro, wanne wajeruhiwa

    Watu watano wamefariki dunia papo hapo baada ya lori lililobeba katoni za maji ya kunywa kufeli mfumo wa breki katika eneo la mteremko barabara ya Mwika-Himo na kuigonga kwa nyuma gari dogo la abiria aina ya Toyota Noah lililokuwa likitokea Rombo kwenda Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro. Ajali hiyo...
  14. JanguKamaJangu

    Senegal: Mabasi yagongana, Watu 40 wafariki, 87 wajeruhiwa

    Ajali hiyo imehusisha mabasi mawili ambayo yamegongana katika Mji wa Kaffrine, ambapo Rais Macky Sall ametangaza siku tatu za maombolezo. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha ajali ni kupasuka kwa tairi kulikosababisha basi moja kuacha njia na kwenda kugongana na lingine uso kwa uso...
  15. Dalton elijah

    Uganda: Watu tisa wafariki huku wengine wakijeruhiwa kutokana na mkanyagano

    Watu tisa wamefariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa katika mkanyagano uliotokea jana usiku nje ya Mall ya Freedom City mjini Kampala wakati wa kukaribisha mwaka mpya.
  16. Sildenafil Citrate

    Watoto 18 wafariki baada ya kunywa dawa yenye sumu

    Takriban watoto 18 wamefariki dunia nchini Uzbekistan baada ya kunywa dawa iliyotengenezwa na mtengenezaji wa dawa wa India Marion Biotech, kulingana na Wizara ya Afya ya Uzbekistan. Wizara hiyo imesema watoto 18 kati ya 21 waliokuwa na ugonjwa wa kupumua waliotumia syrup ya Doc-1 Max papo hapo...
  17. Analogia Malenga

    Kenya: Watoto wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu

    Bomu lililolipuka Kaunti ya Baringo, imesababisha vifo vya watoto wawili na wengine wakijeruhiwa vibaya. Watoto hao walikuwa wakichunga mifugo yao na walikuwa wakichezea bomu hilo hadi lilipowalipukia. Wanakijiji wameitaka serikali ifanye uchunguzi wa mabomu mengine yaliyoachwa maeneo hayo ili...
  18. Nashengena

    Wanandoa wapya wafariki kwa ajali Iringa

    Hizi ajali zinazidi kumaliza watu. Ajali hiyo imetokea Iringa ambapo watu 3 wakiwemo wanandoa ambao wamefunga ndoa siku 4 zilizopita. ====== Noah na Agnes wamefikwa na mauti katika ajali hiyo ikiwa ni siku nne zimepita tangu walipofunga ndoa, Desemba 17, 2022 jijini Arusha. Kamanda wa...
  19. BARD AI

    Afrika Kusini: 9 wafariki kwa kusombwa na maji wakiwa kwenye Ubatizo, 8 hawajulikani walipo

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Huduma za Usimamizi wa Dharura kutoka Jiji la Johannesburg, waumini 16 kati 33 waliokolewa huku watu 8 wakiwa hawajapatikana hadi sasa Mchungaji aliyekuwa akiendesha Ibada ya Ubatizo huo ni kati ya waliokolewa kutoka eneo hilo pamoja na waumini wengine...
  20. BARD AI

    Mjamzito adaiwa kuwanywesha sumu wanawe wawili, wafariki dunia

    Watoto wawili wamefariki dunia na mmoja kunusurika kifo, baada ya mama yao mzazi kuwapa sumu ambayo ni dawa aina ya Tiktik ya kuoshea mifugo, kisha na yeye kunywa. Akizungumza leo Jumanne, Novemba 22,2022, Kamada wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Filemon Makungu amesema tukio hilo limetokea Novemba 20...
Back
Top Bottom