Tafadhali naomba msaada wa maelezo ya kutambua endapo chanjo niliyo nunua bado ina ubora au imepoteza ubora kwa kuharibika au kuchakachuliwa.
Kwa mujibu wa maelezo ya wagunduzi chuo Cha SUA chanjo hiyo imewekwa rangi maalumu kama indicator ya kuonaesha ubora au usalama wa chanjo.
Wanasema...
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti ameiagiza Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Kufanya tathmini ya mashamba ya Serikali ya mifugo yaliyokodishwa kwa wawekezaji na wakiwabaini waliokodisha mashamba hayo kwa wafugaji kutoka nje ya nchi wavunje Mikataba na kufuta umilikishaji wa...
Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, ameonya vikali wale wote waliovamia maeneo ya wananchi na yale ya Serikali katika Kata ya Mamire, akiwataka kuyarejesha mara moja kabla hajachukua hatua kali.
Kaganda ameweka wazi kuwa Serikali haitavumilia vitendo vya uporaji wa ardhi...
Salaam watanzania.
Nimeona niwajuze watanzania na vyombo vinavyolinda mipaka ya nchi hii kubwa na Tukufu.
Kwa miaka zaidi ya minne nimekuwa nikitembelea mikoa tajwa,mambo niliyoona ni haya ;
1) Makundi makubwa ya ng'ombe toka nchi jilani huingia na kutoka nchini Tanzania kila baada ya kipindi...
Januari 24, 2025, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Tax (Mb) amefanya ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kimila wa jamii ya Kimasai, Viongozi wa Vijiji na Madiwani, katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya...
Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku hasa kuku wa nyama,
Nina uzoefu wa kutosha wa kazi hii kwa miaka mitano sasa..
Kwa yoyote anayehitaji kijana anitafute WhatsApp kwa namba hii 0788109052.
NAMTUMBO -RUVUMA
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mimi ni mkazi wa mjini Songea ila mzaliwa wa wilaya ya Namtumbo katika kijiji cha Songambele.
Kutoka na maisha ya mjini na changamoto zake nikaamua kuja kijijini kwa ajili ya kilimo cha mahindi ili mambo yaende sawa...
Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha (MVIWAARUSHA), Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia, zenye lengo la kutambua na kusherehekea uandishi wa habari uliotukuka kwenye masuala muhimu yanayohusiana na kilimo endelevu...
Hawa wafugaji ni vinara wa kutangaza amani kwa wakulima kwa zaidi ya miaka 35 sasa ila maajabu yalioje wanaficha mapanga na vitu vya ncha kali kwenye makoti yao.
Wafugaji hawajali lolote kuhusu wakulima hawa,tena wameenda mbali zaidi hata kufichua mapanga yao bila kuhofia lolote kwa wakulima...
#HABARI:
https://www.facebook.com/itvtz/videos/1591165991754927/
Baadhi ya wafugaji jamii wa Wamang'ati pamoja na Wasukuma wanaoishi katika Kitongoji cha Nangorokoro, wilayani Liwale, mkoani Lindi, wamesema hawatamzika mfugaji mwenzao Nyerere Mekaba mwenye umri wa miaka 17 anayedaiwa kuuawa na...
Kampuni ya Helios Towers, Yakabidhi Darasa la Maabara ya Tehama na Compyuta 26 kwa Shule ya Sekondari ya Endevesi, ambayo ni ya watoto wa wafugaji, Eneo la Oljoro Arusha.
Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, kwa ushirikiano na taasisi ya...
Maisha yamebadilika sio tena kama enzi zetu ukimaliza degree ajira unachagua.
Kwa hapa tulipo nazidi kujionea vijana wengi sana wanamaliza vyuo wakiwa vijana wadogo wenye 23 hadi 25 lakini wanakuja kujipata wakiwa 30s, hapo kati stress zinawatafuna na kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya zile ndoto...
Utangulizi: Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania ni nchi ya pili katika bara la Afrika kwa kuwa na idadi kubwa ya mifugo ikitanguliwa na Ethiopia,Hata hivyo pamoja na wingi huo wa mifugo lakini ufugaji wake mwingi umekuwa wa kienyeji, Sifa inakuwa kuwa na mifugo mingi lakini ufugaji huo siyo wa...
Baadhi ya wanafunzi kutoka jamii ya kimasai, Wilaya ya Ngorongoro wanaosomeshwa na Baraza la wafugaji chini ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wanadai kumekuwepo na kusuasua kwa malipo ya ada na mahitaji mengine kwa wanufaika waliopo kwenye vyuo mbalimbali nchini.
Hayo yameelezwa leo...
Waziri Kivuli wa Mifugo na Uvuvi, Ndugu Selemani Misango, amesema bajeti iliyotengwa kwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi haiwezi kukidhi matakwa na matatizo ya Sekta hiyo nchini na kwamba ACT Wazalendo haioni ni kwa nini Sekta hizo mbili zisitowe mchango mkubwa kwenye Pato la Taifa.
Amesema...
Kuna nyuzi na mabandiko kadhaa ya masuala ya ufugaji hapa Jukwaani.
Na kwa wingi wa maelezo ya wafugaji hapa jukwaani na kwenye mitandao mingine nauona umuhimu wa kuwa na Chama cha wafugaji nchini ili wasemewe mahitaji Yao na mapendekezo Yao hasa katika kuimarisha umoja na Amani baina Yao na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.