wafugaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada maelezo ya kutambua Chanjo ya kuku ya TATU MOJA kama imepoteza ubora.

    Tafadhali naomba msaada wa maelezo ya kutambua endapo chanjo niliyo nunua bado ina ubora au imepoteza ubora kwa kuharibika au kuchakachuliwa. Kwa mujibu wa maelezo ya wagunduzi chuo Cha SUA chanjo hiyo imewekwa rangi maalumu kama indicator ya kuonaesha ubora au usalama wa chanjo. Wanasema...
  2. Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi aagiza kufuta umilikishaji wa mashamba yanayokodishwa kwa wafugaji kutoka nje ya nchi

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti ameiagiza Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Kufanya tathmini ya mashamba ya Serikali ya mifugo yaliyokodishwa kwa wawekezaji na wakiwabaini waliokodisha mashamba hayo kwa wafugaji kutoka nje ya nchi wavunje Mikataba na kufuta umilikishaji wa...
  3. DC Babati: Uvamizi maeneo ya serikali, Sitaki kumkuta mtu kwenye eneo la Serikali

    Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, ameonya vikali wale wote waliovamia maeneo ya wananchi na yale ya Serikali katika Kata ya Mamire, akiwataka kuyarejesha mara moja kabla hajachukua hatua kali. Kaganda ameweka wazi kuwa Serikali haitavumilia vitendo vya uporaji wa ardhi...
  4. Mapoli na misitu yetu ilindwe dhidi ya wafugaji wa kigeni

    Salaam watanzania. Nimeona niwajuze watanzania na vyombo vinavyolinda mipaka ya nchi hii kubwa na Tukufu. Kwa miaka zaidi ya minne nimekuwa nikitembelea mikoa tajwa,mambo niliyoona ni haya ; 1) Makundi makubwa ya ng'ombe toka nchi jilani huingia na kutoka nchini Tanzania kila baada ya kipindi...
  5. Waziri wa Ulinzi na JKT afanya ziara Wilayani Monduli kuzungumza na viongozi wa jamii ya wafugaji

    Januari 24, 2025, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Tax (Mb) amefanya ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kimila wa jamii ya Kimasai, Viongozi wa Vijiji na Madiwani, katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya...
  6. Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku wa kisasa.

    Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku hasa kuku wa nyama, Nina uzoefu wa kutosha wa kazi hii kwa miaka mitano sasa.. Kwa yoyote anayehitaji kijana anitafute WhatsApp kwa namba hii 0788109052.
  7. Mwenyekiti wa kijiji na serikali yake wahitajika kituo cha polisi kwa kosa la kuwahoji wafugaji walioingia kijijini bila utaratibu wa kisheria

    NAMTUMBO -RUVUMA Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mimi ni mkazi wa mjini Songea ila mzaliwa wa wilaya ya Namtumbo katika kijiji cha Songambele. Kutoka na maisha ya mjini na changamoto zake nikaamua kuja kijijini kwa ajili ya kilimo cha mahindi ili mambo yaende sawa...
  8. Msaada wa mawazo, mwenyekiti wa kijiji na halmashauri yake yatakiwa polisi kwa kosa la kwenda kuhoji wafugaji.

    Nimehamishia jukwa la siasa
  9. Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha, Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia

    Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha (MVIWAARUSHA), Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia, zenye lengo la kutambua na kusherehekea uandishi wa habari uliotukuka kwenye masuala muhimu yanayohusiana na kilimo endelevu...
  10. Wafugaji kwanini mnatangaza amani kwa wakulima huku mmeficha mapanga, fimbo na visu kwenye makoti?

    Hawa wafugaji ni vinara wa kutangaza amani kwa wakulima kwa zaidi ya miaka 35 sasa ila maajabu yalioje wanaficha mapanga na vitu vya ncha kali kwenye makoti yao. Wafugaji hawajali lolote kuhusu wakulima hawa,tena wameenda mbali zaidi hata kufichua mapanga yao bila kuhofia lolote kwa wakulima...
  11. Wafugaji wagomea mazishi ya mwenzao anayedaiwa kuuawa na Polisi

    #HABARI: https://www.facebook.com/itvtz/videos/1591165991754927/ Baadhi ya wafugaji jamii wa Wamang'ati pamoja na Wasukuma wanaoishi katika Kitongoji cha Nangorokoro, wilayani Liwale, mkoani Lindi, wamesema hawatamzika mfugaji mwenzao Nyerere Mekaba mwenye umri wa miaka 17 anayedaiwa kuuawa na...
  12. Tetesi: UGOMVI WA WAFUGAJI NA WAKULIMA

    Kuna tetesi za Mkulima wa mswiswi Mbarali kuuawa Kikatili na Wafugaji, kisha wakulima nao kuua Ngombe wengi Kikatili kulipiza kisasi.
  13. Helios Towers, kwa Ushirikiano na Camara, Yakabidhi Maabara ya Tehama Shule ya Sekondari ya Jamii ya Wafugaji ya Endevesi, Oljoro, Arusha.

    Kampuni ya Helios Towers, Yakabidhi Darasa la Maabara ya Tehama na Compyuta 26 kwa Shule ya Sekondari ya Endevesi, ambayo ni ya watoto wa wafugaji, Eneo la Oljoro Arusha. Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, kwa ushirikiano na taasisi ya...
  14. Jamii za wafugaji hampo juunya sheria

    Mara kadhaa mnajichukulia sheria mkononi. Ikibidi paundwe mkoa maalum wa Kipolisi ikijumuisha Karatu, Longido, Kiteto, Monduli, Ngorongoro na Chemba.
  15. G

    Vijana wa vyuoni, mjifunza na mjichanganye na bodaboda, mama ntilie, kinyozi, dalali, wafugaji, n.k. Just in case ! nanyi walezi na wazazi muwasihi.

    Maisha yamebadilika sio tena kama enzi zetu ukimaliza degree ajira unachagua. Kwa hapa tulipo nazidi kujionea vijana wengi sana wanamaliza vyuo wakiwa vijana wadogo wenye 23 hadi 25 lakini wanakuja kujipata wakiwa 30s, hapo kati stress zinawatafuna na kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya zile ndoto...
  16. G

    Vijana wa vyuoni, mjifunza na mjichanganye na bodaboda, mama ntilie, kinyozi, dalali, wafugaji, n.k. Just in case ! walezi na wazazi muwasihi.

    MOVED >>
  17. R

    SoC04 Vyama Vya Ushirika kwa Wafugaji

    Utangulizi: Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania ni nchi ya pili katika bara la Afrika kwa kuwa na idadi kubwa ya mifugo ikitanguliwa na Ethiopia,Hata hivyo pamoja na wingi huo wa mifugo lakini ufugaji wake mwingi umekuwa wa kienyeji, Sifa inakuwa kuwa na mifugo mingi lakini ufugaji huo siyo wa...
  18. N

    Wanafunzi wa vyuo wanaosomeshwa na Baraza la wafugaji (Ngorongoro) wadai hawajilipiwa ada na mahitaji mengine

    Baadhi ya wanafunzi kutoka jamii ya kimasai, Wilaya ya Ngorongoro wanaosomeshwa na Baraza la wafugaji chini ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wanadai kumekuwepo na kusuasua kwa malipo ya ada na mahitaji mengine kwa wanufaika waliopo kwenye vyuo mbalimbali nchini. Hayo yameelezwa leo...
  19. Suleimani Misango: Bajeti imelenga kuwafukarisha wavuvi na Wafugaji nchini

    Waziri Kivuli wa Mifugo na Uvuvi, Ndugu Selemani Misango, amesema bajeti iliyotengwa kwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi haiwezi kukidhi matakwa na matatizo ya Sekta hiyo nchini na kwamba ACT Wazalendo haioni ni kwa nini Sekta hizo mbili zisitowe mchango mkubwa kwenye Pato la Taifa. Amesema...
  20. Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT)-Kipo?

    Kuna nyuzi na mabandiko kadhaa ya masuala ya ufugaji hapa Jukwaani. Na kwa wingi wa maelezo ya wafugaji hapa jukwaani na kwenye mitandao mingine nauona umuhimu wa kuwa na Chama cha wafugaji nchini ili wasemewe mahitaji Yao na mapendekezo Yao hasa katika kuimarisha umoja na Amani baina Yao na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…