wafungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chance ndoto

    Ombi la kuruhusu wafungwa kuongea kwa simu wakiwa Gerezani

    Waheshimiwa , Mamlaka husika, Naomba muhusike na kichwa cha habari hapo juu. Waswahili Tunasema sisi sote, ni wafungwa watarajiwa. Napenda kutoa maombi yangu kwa heshima kubwa kuhusu suala la ruhusa kwa wafungwa kuzungumza kwa simu wakiwa magerezani. Ninaamini kwamba kuruhusu wafungwa...
  2. Roving Journalist

    Arusha: Watuhumiwa wa Ubakaji na ulawiti wafungwa Maisha Jela, 280 vifungo mbalimbali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari, 2025 hadi Februari 2025 lilifanya operesheni dhidi ya uhalifu na wahalifu na kufanikiwa kukamata watuhumiwa mbalimbali na kuwafikishwa Mahakamani. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna...
  3. MBOKA NA NGAI

    Wafungwa watoroka Gereza huko Bukavu

    Miongoni wakiwa ni wale waliohukumiwa kifo juzi, baada ya M23 kuingia mjini Bukavu, walinzi wa gereza la Bukavu waliondoka zao na kuwaacha wafungwa, ambao pia waliona isiwe tabu, wakarudi kwanza uraiani. Wakati huo, jeshi la serikali liliamuwa kusambaza silaha mjini, na kila raia aliejisikia...
  4. Roving Journalist

    Bashungwa: Wafungwa kuanza kupewa ujuzi gerezani na vyeti vinavyotambuliwa na VETA

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelitaka Jeshi la Magereza kusimamia kikamilifu mpango wa kuwapa ujuzi na mafunzo ya ufundi stadi Wafungwa wanapokuwa Gerezani na watakaohitimu mafunzo kutunukiwa vyeti vinavyotambuliwa na VETA wakati wanapomaliza vifungo vyao ili kuwajengea...
  5. Echolima1

    Hamas wasalimu amri kuhusu kusitisha mkataba wa kubadirishana wafungwa

    Magaidi wa Hamas Wiki hii walitangaza kwa mbwembwe nyingi kuwa Jumamosi haitawaachia mateka wa Israel kwa sababu mbalimbali ilizozisema kisha Trump katangaza kiama kwa magaidi hao na mwisho Waziri Mkuu wa Israel yeye Ali Waambie magaidi hao kuwa atafungulia lango la kuzimu kwa magaidi hao na hak...
  6. T

    Wafungwa 182 wapoteza maisha Gereza la Goma

    Usiku wa tarehe 26 kuamkia 27 January 2025,gereza la Munzenze huko Goma, lililokuwa na wafungwa 4,475, badhi ya majengo yalichomwa moto na wafungwa, waliokuwa wakifanya jitihada za kujinasua, kutokana habari iliyokuwa imeenea mji kuwa kundi la M23 linakaribia kuuteka, na huku walikuwa wakisikia...
  7. J

    Tanzania na Somalia zasaini mikataba ushirikiano wa ulinzi na usalama na kubadilishana wafungwa

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Somalia zimesaini Mikataba miwili ya makubaliano ya kushirikiana na katika masuala ya Ulinzi ma Usalama na kubadilishana Wafungwa. Mikataba hiyo imesainiwa leo Januari 29, 2025, Jijini Dar es Salaam, upande wa Tanzania na...
  8. Ritz

    Mateka wa Israel Arbel Yahud; ataachiliwa huru Ijumaa ijayo, huku Israel ikiwaachilia wafungwa 30 wanaotumikia vifungo vya maisha

    Wanaukumbi. ⚡️JUST IN: An agreement has been reached regarding the Israeli prisoner Arbel Yahud; she will be released next Friday, while Israel will release 30 prisoners serving life sentences.—Hebrew Maariv Newspaper. =============== ⚡️Makubaliano yamefikiwa kuhusu mfungwa wa Israel Arbel...
  9. Ritz

    Hamas: Ndani ya mfumo wa kubadilishana wafungwa, Brigedi za Al-Qassam ziliamua kuwaachilia huru wanajeshi wa kike 4 kesho Jumamosi, 01-25-2025

    Wanaukumbi. Hamas: Within the framework of the prisoner exchange, the Al-Qassam Brigades decided to release the following female soldiers tomorrow, Saturday, 01-25-2025: 1-Soldier Karina Arif 2-Soldier Danielle Gilboa 3-Soldier Ne'ma Levy 4- Private Leri Elbag Hebrew Media: The list of names...
  10. B

    Maadhimisho uhuru wa Angola: Rais wa Angola atoa msamaha kwa makumi ya wafungwa, akiwemo mtoto wa mtangulizi wake

    Rais wa Angola atoa msamaha kwa makumi ya wafungwa, akiwemo mtoto wa mtangulizi wake 27 Desemba 2024 Picha maktaba:. João Lourenço, rais wa Angola. Picha ya faili: Cia Pak/ONU José Filomeno Dos Santos, mtoto wa rais wa zamani wa Angola aliyefungwa jela kwa udanganyifu, amesamehewa na kiongozi...
  11. Daby

    Msumbiji: Zaidi ya Wafungwa elfu 6 watoroka gerezani na silaha.

    Waandamanaji wamefanikiwa kuwafungulia wafungwa zaidi ya 6 000 na wametoroka na bunduki. Maandamano yalianza Jana baada ya mahakama kutangaza ushindi wa Chama tawala. Source: SABC
  12. Waufukweni

    Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1548

    MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA: Katika kuadhimisha sherehe hiyo, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan leo Disemba 09, 2024 ametoa msamaha kwa wafungwa 1548, ambapo wafungwa 22 kati yao wanaachiliwa huru tarehe 9 Disemba, 2024, na 1526 wanabaki...
  13. MakinikiA

    Waharifu wamepungua nchini Russia baada ya wafungwa kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kepelekwa Ukraine

    Habari za uhakika na kupendeza uharifu sasa umepungua na waharifu wamegeuka kuwa watakatifu. ni baada ya waharifu kufikishwa mahakamani na kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kupelekwa Ukraine tena front line . Tutarajie vita ikiisha Ukraine Russia patakuwa paradiso.
  14. Ghost MVP

    Kwanini Wafungwa Wanapewa Huduma Muhimu lakini Watoto wa Mtaani hawapewi

    Kwanini Wafungwa Wanapewa Chakula, Maji na Malazi, lakini Watoto wa Mtaani, ombaomba, na wenye Ulemavu mabarabarani, hawawezi kufanyiwa utaratibu wa kuwahudumia kama wanavyohidumiwa Wafungwa. Na wakajiajiri katika miradi kama ilivyo kwa wafungwa ambayo itawasaidia kujipatia pesa na mahitajinyao...
  15. Eli Cohen

    Wafungwa wanatakiwa kufosiwa kuangalia mechi za Man Utd kama sehemu ya adhabu yao 😂

    Tumemshinda brentford ila bado sana tunasusua.
  16. U

    Serikali ya Iran yawanyonga hadharani wafungwa 92 ndani ya siku 17, ni wastani wa wafungwa 5 kila siku, watetezi haki za binadamu walaani

    Wadau hamjamboni nyote? Hiyo ndiyo Hali halisi huko Iran Kila siku wafungwa 5 wananyongwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iran executes 92 prisoners in 17 days, rights groups say 2 hours ago Share At least 92 prisoners have been executed in Iran since the start of October, averaging...
  17. Roving Journalist

    Serikali yakabidhi gari la kubebea wagonjwa, litatoa huduma kwa wafungwa na mahabusu

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu leo amezindua na kukabidhi jumla ya magari 11 huku gari moja likiwa ni Gari la Kubebea Wagonjwa ambapo pia gari hilo litataoa huduma kwa wafungwa na mahabusu katika gereza la Ukonga na Magereza ya karibu. Katibu Mkuu amezindua na...
  18. Crocodiletooth

    Serikali yetu haioni ni hekima kuwatumia wafungwa kama vibarua wa Wakandarasi katika kuwapunguzia mzigo?

    Katika kandarasi nyingi wafanyakazi wasio rasmi /temporary worker aka vibarua, huigarimu kampuni almost 7-10, ya fedha za mradi although bajeti hii huwa imeainishwa ndani ya mkataba, tunashuhudia mataifa kama China hufanya haya, huwa kama ni sehemu ya wafungwa katika kufundishwa kazi mbalimbali...
  19. Webabu

    Waandamanaji wa Israeli waandamana kupinga 'haki ya kubaka' wafungwa wa Palestina

    Taifa la kiyahudi kila siku zinavyokwenda linazidi kujipambanua rangi zake zilizokuwa zimejificha mwanzoni mwa vita kati yake na wapalestina. Wako mawaziri ambao wameandamana na wafuasi wao wakaitaka waruhusiwe kufanya ibada ndani ya msikiti mtakatifu wa Aqsa jambo ambalo halikutajwa hapo...
Back
Top Bottom