Hawa ndio viongozi wa kuivusha Tanzania!
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, akisonga na kula ugali wa wafungwa katika Gereza la Isupilo, Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa, alipolitembelea gereza hilo katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa taasisi zake mkoani humo.
Wafungwa ni watu wanaotumikia vifungo mbali mbali katika magereza zilizopo nchini Tanzania kote.
Wafungwa hawa wana ujuzi tofauti tofauti kwa kusomea ama kwa kujifunza mtaani, wengine ni engineers, nurses, wahasibu, doctors, mafundi kama fundi bomba, fundi nyumba, fundi kupaua, na wengine wana...
Mpaka hapo shughuli inakwenda vizuri, uhusiano unazidi kuboreka, mama kaonyesha mfano mwema badala ya kulia lia kuhusu Kenya na Wakenya, atafute namna ya kuwekana sawa. Japo namuelewa, yeye ana asili ya Zanzibar, Wazenji na Wakenya hatujawahi kuzinguana, hutupokea vizuri kwenye visiwa vyao vile...
Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi isiyo na dhamana ya mauaji .
Wako ndani kwa zaidi ya miezi sita kutokana na kesi ya uzushi ya mauaji...
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa Mahakama.
Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa...
Baba Askofu amesema amefurahishwa sana na ziara ya kibinadamu iliyojaa utu inayofanywa na viongozi wa Bavicha ya kutembelea Magereza za Tanzania kwa lengo la kuwasalimia na kuwapa moyo Wafungwa na Mahabusu waliowekwa selo kwa miezi mingi kwa tuhuma za uongo za kisiasa zilizoshinikizwa kinyama na...
Kwa mfumo wa siasa za Tanzania zilipofikia kila mtu ni mahabusu au mfungwa mtarajiwa isipokuwa kwa wale wenye kinga.
Naomba kwa nafasi zeni wekezeni kutengeneza mfumo wa kisheria unalazimisha vyombo vya dola visirundike watu mahabusu na gerezani bila ushahidi.
Wekezeni kutengeneza mfumo...
Mzuka wanajamvi!
Wakuu wa Magereza nchini Uingereza wamejiwa juu kwa ubadhirifu na kuchezea hela ya walipa kodi kwa kuwanunulia wafungwa TV za flat Screen.
Maboss hao wa Magereza waliwanunulia kila mfungwa jumla ya Tv 120,037 moja ikigharimu 96 pounds kati ya February 2017 hadi December 2020...
Jeshi la Magereza nchini limeokoa jumla ya Shilingi Bilioni 11, ikiwa ni gharama ya chakula cha wafungwa tangu lianze kujitegemea kwa chakula ikiwa ni maelekezo ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya kulitaka jeshi hilo litumie nguvu kazi ya wafungwa ilionao kuzalisha chakula.
Akizungumza leo...
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limewakamata wafungwa wanne wanaodaiwa kutoroka baada ya kumshambulia kwa mapanga na kumjeruhi mwilini mlinzi, Askari Magereza na kumpora silaha.
Wafungwa hao wanadaiwa kumpora bunduki aina ya Uzi-gun yenye namba TZPS 5570-062974 Sajeni Feedolin Madembwe...
Wapiganaji wenye silaha wamewaachilia huru wafungwa wasiopungua 900 kutoka jela mjini Beni, mashariki mwa Congo, katika shambulio la kupanga mapema Jumanne, ambalo meya wa mji huo amelilaumu kwa waasi wa ADF.
Zaidi ya wafungwa 900 wametoroka kutoka gereza la mji wa mashariki mwa Congo la...
Kwamba eti ukiwa unaendesha Gari, umebeba Watu/ Abiria na uko mwendo mkali sana ( bati kinoma ) kisha ukaona Mtu anakatisha mbele yako iwe kwa Miguu au akiwa katika Baiskeli au Pikipiki 'Sheria' inakuruhusu kuwa kuliko 'Kujihatarishia' Maisha yako na ya wale 'uliowabeba' basi 'uwagonge' na...
Msemaji wa gavana wa mkoa wa Nangarhar nchini Afghanistan anasema zaidi ya wafungwa 300 bado hawajulikani walipo baada ya shambulizi la kundi la kigaidi linalojiita dola la kiislamu katika gereza moja katika mji wa Jalalabad. Attaulah Khugyani amesema kuwa kati ya wafungwa 1,793, zaidi ya 1,025...
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu watanzania;
Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache tu (MTWARA PEKEE) ili kuweza kuenzi matendo mema, hekima...
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amelitolea ufafanuzi tukio la wafungwa kupandisha bendera za CCM huko Dodoma.
Polepole amesema kama ilivyo kwa JKT na JWTZ hata jeshi la magereza linafanya uzalishaji na CCM iliamua kuwaunga mkono kwa kununua Huduma ya nguvu kazi na risiti ya malipo ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.