Mahakama Nchini #GuineaBissau imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini kuwa Madaktari hao walihusika na matendo hayo dhidi ya M'Mah Sylla, aliyebakwa akiwa Hospitali na kuhamishiwa kutibiwa Nchini Tunisia mwaka 2021.
Waliohukumiwa ni Daniel na Patrice Lamah ambao wamepea kifungo cha miaka 15 jela na...
Nina uhakika hakuna mtanzania anapenda kuonewa, lakini hii tabia ya Kila mwaka CAG anaeleza mabilioni yanayopigwa na wahusika wanaendelea kutamba na v8 mabarabarani ni uonevu mkubwa.
Kuna watu wanasota sana magerezani kama kina sabaya na wezi wa dagaa na kuku au tv na redio hakuna haja ya...
Rais naomba nisianze Kwa kukupongeza Kwa kazi unazozifanya maana Mimi ni miongoni MWA watu wachache tunao amini yakuwa hakuna Rais wa nchi anae ingia ikulu Kwa ajili ya kucheza" mdundiko ngoma ya Ukae"
Mh Rais naomba nianze Kwa kweli kushukuru Mwenyezi Mungu anae tupa pumzi,na uhai mimi na wewe...
Mahakama Kuu nchini Ghana imetoa adhabu hiyo kwa Genge la Watu hao baada ya kuwakuta na hatia ya kuwaibia na kuwabaka baadhi ya Wafanyakazi wa Kujitolea wa #Uingereza huku wakiwa wamewaelekezea Bunduki.
Washtakiwa wamekiri mashtaka yote manne (Kula Njama, Wizi, Ubakaji na Kumiliki Bunduki bila...
Rais wa JMT, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan
Waziri wa kilimo, Mhe. Hussein Bashe
na wengine wanaohusika
Ninawapongeza sana viongozi wangu kwa kuwekea mkazo kilimo kiasi cha kilimo kuonekana ni ajira kwa vijana. Mipango na mikakati ya wizara ya kilimo inayobuniwa chini ya waziri Bashe inatoa...
JF SUMMARY
Tume ya Kuboresha Taasisi za Hakijinai Nchini itaanza ziara ya siku 12 katika Mikoa 13 kwa kutembelea Magereza Makuu 14 na Makazi ya Askari ili kupata maoni kutoka makundi mbalimbali wakiwamo Wananchi na Askari wa Vyeo vya chini.
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu #OthmanChande...
Taarifa iliyowasilishwa Bungeni kupitia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya #UKIMWI na kueleza kuwa Wafungwa na Mahabusu Tanzania wanapewa aina moja ya Chakula kila Siku.
Kutokana na hilo, Afya za #Wafungwa walioathirika na Virusi vya UKIMWI na wanaotumia Dawa za Kupunguza Makali ya Virusi...
Tukio limetokea Mji wa Ciudad Juarez baada ya watu wenye silaha kuvamia gereza wakiwa katika magari tofauti saa moja asubuhi na kuanza kushambulia. Waliofariki ni askari magereza 10 na wafungwa wanne huku 13 wakijeruhiwa.
Baadhi ya wafungwa walichoma moto vitu gerezani hapo na kupigana na...
Mahakama Kuu imesema kitendo cha maofisa wa magereza kuwalazimisha wafungwa kupima Virusi vya Ukimwi (VVU) bila ridhaa yao na kutangaza majibu ya vipimo vyao hadharani ni kinyume cha sheria.
Majaji, Elinaza Luvanda, Edwin Kakolaki na Sedekia Kisanya wamekubaliana na ombi la kikatiba...
Siku chache baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu kuwa mahabusu na wafungwa wa vifungo vya kawaida wana haki ya kupiga kura kuwachagua viongozi, Serikali imesema inaifanya tathmini kuona kama kuna hatua zaidi inazoweza kuzichukua kuhusiana na hukumu hiyo.
Kauli hiyo ya Serikali imetolewa na...
Kwenye sheria na mahakamani wanao msemo wa mahakama siyo mama yako. Dhana hii inaelekeza kuwa mahakama itakupa tu kile ulichoomba na kuthibitisha stahiki ya wewe kupewa.
Hivi karibuni imetolewa hukumu na mahakama yetu kufuatiwa kuombwa na mawakili kadhaa kuwa wafungwa wanayo stahiki ya kupiga...
Mahakama Kuu nchini imesema kuwa wafungwa wa makosa ya kawaida ya jinai wana haki ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu.
Mahakama hiyo imetamka haki hiyo baada ya kubatilisha kifungu cha 11(1) (c) cha Sheria ya Taifa Uchaguzi kinachoweka zuio kwa wafungwa wanaotumikia adhabu ya kunyongwa na...
Mechi ya jana ya fainali kati ya Argentina na Ufaransa pamoja na kutoa jibu ni nani atakayetwaa kombe la dunia mwaka huu, ilitoa jibu pia ni nani zaidi kati ya Messi na Christiano Ronaldo.
Nikiri kwamba mimi ni timu CR7 lakini nimenyoosha mikono!! Messi ni zaidi ya kuwa zaidi! Wenye vinasaba...
Nyota wa mchezo wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner amerejea nyumbani akitokea Urusi baada ya mabadiliko hayo huku Viktor Bout akirejea upande wa pili baada ya kuwa kifungoni kwa Miaka 12.
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Griner yupo salama na alikuwa njiani kurejea nyumbani akipitia...
Wakuu, salaam, kuna mambo nimewaza hapa kuhusu Idara zetu za Magereza. Binafsi sikutarajia kuona au kusikia Wanaotoka Gerezani wakihusika na matukio ya uhalifu mitaani kwa sababu naamini moja ya kazi ya Magereza ni kurekebisha tabia za wahalifu na kuwafanya kuwa watu wema baada ya kutoka...
Wauaji waliopatikana na hatia na wauzaji dawa za kulevya ambao wametoka gerezani hivi majuzi nchini Urusi wanakabiliwa na kuandikishwa kupigana nchini Ukraine chini ya mabadiliko ya sheria.
Rais Vladimir Putin aliifanyia marekebisho sheria ya kuwaita askari wa akiba na kuwajumuisha wanaume...
Mwanahabari Moses Dola amewasilisha ombi mbele ya Mahakama ya Sheria ya Milimani la kutaka amri ya kuwaruhusu Wafungwa kuhudhuria mazishi ya wapendwa wao
Katika Ombi hilo, Mwandishi huyo ambaye anatumikia kifungo gerezani amesema iwapo kutakuwa na Miongozo na Taratibu zinazoeleweka, basi...
Urusi inajaribu kila mbinu kuficha aibu inayotokana na mapigo wanayopata kutoka kwa kataifa kadogo saizi ya mkoa wao mmoja, inapanga kuwapa msamaha wafungwa watakaojitolea kwenda kufa Ukraine, pia walinzi wa kwenye mageti wenye uwezo wa kufyatua bunduki.
==================
WASHINGTON (Reuters)...
Rais Samia amelitaka jeshi la magereza kuwarekebisha tabia wahalifu walioko magerezani kwa kuwa sio wote walioko magereza ni wahalifu waliokubuhu.
Ambapo amesema, kushindwa kuwarekebisha tabia kunawafanya wahalifu watende makosa zaidi mara baada ya kurudi uraiani kwa kuwa wanakuwa hawana namna...
Urusi imeonesha dalili za kuwa tayari kwa mazungumzo ya kubadilishana wafungwa siku moja baada ya Mahakama ya Urusi kumuhukumu mchezaji wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner kifungo cha miaka tisa jela.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema wapo tayari kwa mazungumzo hayo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.