wafungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Naibu Waziri Sagini awataka wafungwa kumuomba Mungu ili wakitoka wakute wenza wao wako salama

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama. Akizungumza na...
  2. Ritz

    Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. BREAKING: ISRAEL YAWAACHA MATEKA 39 WA PALESTINA KWA WATEKAJI WA ISRAELI HUKO GAZA. Israel imewaachilia mateka Wapalestina 39, wanawake 24 na watoto 15. Hamas kukabiliana na mateka 13 wa Israel. Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu litasimamia uhamisho huo katika jela ya...
  3. JanguKamaJangu

    Wafungwa waliomaliza kutumikia vifungo vyao kutumia ujuzi waliupata Gerezani kujitegemea

    Serikali imewataka wafungwa watakaomaliza kutumikia vifungo vyao gerezani kutumia ujuzi waliopata kujitengenezea kipato ili kuepuka kujiingiza tena katika uhalifu. Maagizo hayo yametolewa Novemba 20, 2023 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb) Mhe. Jumanne Sagini wakati alipokuwa...
  4. Ritz

    Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

    Wanaukumbi. Maafisa wa Hamas 'wanakaribia kufikia makubaliano ya mapatano' na Israel na kundi hilo limetoa majibu yake kwa wapatanishi wa Qatar, Ismail Haniyeh alisema katika taarifa. Taarifa hiyo haikutoa maelezo zaidi, lakini afisa wa Hamas aliiambia Televisheni ya Al Jazeera kwamba...
  5. JanguKamaJangu

    Nigeria: Wafungwa 4,068 walioshindwa kulipa faini waachiwa huru

    Serikali ya Nigeria imetangaza kuwaachia huru zaidi ya Wafungwa 4000 walioshindwa kulipa faini mbalimbali ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano gerezani Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nigeria, Olubunmi Tunji-Ojo amesema jumla ya Wafungwa kabla ya msamaha huo ni 80,804 katika magereza 253. Hivi...
  6. Ritz

    HABARI HII: Taarifa za Mabadilishano ya Wafungwa wa Hamas ya Israel na Marekani

    Wanaukumbi. It is important to note that there is an alleged Israeli media blackout surrounding the exact details of the exchange. However, some sources are publishing indications that suggest there is an alignment on a potential prisoner exchange, and it is getting closer: - Netanyahu's...
  7. Ritz

    Hamas wamesema lazima tubadilishane mateka na wafungwa wa Kipalestina

    Wanaukumbi Mkuu wa Hamas anasema mkataba wa kubadilishana lazima uhusishe wafungwa wote wa Palestina katika magereza ya Israeli. Inasema inawashikilia mateka zaidi ya 200 wa Israeli Gaza wakiwemo askari na raia CHANZO; ALJAZERA
  8. Konseli Mkuu Andrew

    Serikali inakiuka Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wafungwa

    Salaam wakuu. Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inatamka kama ifuatavyo; "Kila mtu anayo haki ya kujielimisha, na kila raia atakuwa huru kutafuta elimu katika fani anayopenda hadi kufikia upeo wowote kulingana na stahili na uwezo wake" Hali ni tofauti...
  9. Superbug

    Wafungwa wanaachiwaje jela? Na wakitoka wanaendaje uraiani?

    Hivi wafungwa wanaomaliza vifungo vyao huwa wanaachiwaje? Je wanapewa nauli? Na hela ya kuanzia maisha? Au wanafunguliwa mlango na kuambiwa haya nenda uko huru? Wenye uzoefu na HILI watusaidie! Hasa wale waliofungwa vifungo virefu.
  10. Lidafo

    SoC03 Jinsi jeshi la Magereza na Jamii kwa ujumla zinavyopelekea wafungwa kurudia uhalifu pindi wanapomaliza vifungo vyao

    Tatizo la wahalifu waliohukumiwa wanapomaliza vifungo na kurudi mitaani kisha kuendelea na uhalifu ni moja ya changamoto katika jamii zetu pamoja na kazi nzuri inayofanywa na jeshi la magereza ya kuwarekebisha wafungwa waliohukumiwa ili watoke wakiwa raia wema lakini bado jukumu hili...
  11. FIKRA NASAHA

    SoC03 Wafungwa kabla ya kutoka gerezani waandaliwe kisaikolojia

    Ni Kupunguza Wimbi la Kurejea Kwenye Uhalifu Kila Mwaka, Tunaposheherekea Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania), Ambaye Pia ni Amiri Jeshi Mkuu, Hutoa Msamaha wa Wafungwa, Kwa Idadi Inayopendekezwa na Magereza, Nchi Nzima Ikiwa Pia...
  12. GUSA ACHIA BAHASHA GOLI

    Wanasayansi wa hypersonic wafungwa 🤣

    Walimdanganya putin hypersonic hazitunguliki wala hazionekani kwenye rada Jisomeeni wenyewe nimecheka sana 🤣 Kile kindunje kazi ipo
  13. GoPPiii.

    Interview kwa Wafungwa.

    Salam salam. Kuna filamu za nje (Ulaya na Amerika) zenye maudhui ya wafungwa zingine zikijikita katika kuwahoji wafungwa, yaani maisha waliyoishi kabla, makosa waliyoyafanya,hukumu walizopewa,na maendeleo yao huko gerezani. Napenda kuuliza kama hili la kufanya mahojiano na wafungwa haswa...
  14. E

    SoC03 Magereza yasiwe sehemu ya kuua ndoto za wafungwa

    Kumekuwepo na changamoto ya wahalifu wengi (japo sio wote) kuongeza matukio ya kihalifu na tabia zisizo za kimaadili pindi wanapotoka magerezani baada ya kumaliza kutumikia vifungo vyao. Ambaye alikua havuti sigara anatoka anavuta sigara, aliyekua hanywi pombe anatoka anakunywa pombe, aliyekua...
  15. benzemah

    Rais Samia asamehe wafungwa 376 Maadhimisho ya miaka 59 yaMuungano

    Katika kuadhimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanzania Bara tarehe 26 Aprili, 2023 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Ibara 45(1)(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa 376. Kati ya wafungwa hao 376 watanufaika na...
  16. R

    Jeshi la Magereza lazindua sare mpya wa wafungwa wakike

    Jeshi la magereza nchini limezindua sare mpya ambazo zitaanza kutumika rasmi kuanzia leo Aprili 26, 2023 kwa wafungwa wakike wote wanaotumikia vifungo vyao gerezani. Akizindua sare hizo, Mkuu wa Jeshi la Magereza Nchini, CGP Mzee Ramadhan Nyamka amewataka wakuu wa magereza katika mikoa yote...
  17. S

    Sikukuu za kidini ndio ziwe siku za kutoa msamaha kwa wafungwa badala ya siku ya uhuru

    Huu ndio ushauri wangu kwasababu dini zote zinatambua na kuhuburi msamaha kwa wakosaji. Kwa msingi huo, kiongozi mwenye imani ya kidini, atakuwa sahihi zaidu kutoa msamaha kwa wafungwa katika sikukuu za kidini. Na jatika hili, sidhani kama kuna sheria inatamka kuwa misamaha hiyo itolewe...
  18. HERY HERNHO

    Urusi, Ukraine wabadilishana wafungwa wa kivita zaidi ya 200

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amethibitisha kuachiliwa kwa wafungwa wa kivita kama sehemu ya makubaliano kati ya Ukraine na Urusi. Makubaliano hayo yamefanikisha kiasi cha wanajeshi 200 waliokuwa wakishikiliwa katika pande zote za mzozo kurejeshwa kwenye mataifa yao. Rais Zelensky amesema...
  19. BARD AI

    DR-Congo: Wanajeshi 6 wafungwa jela maisha kwa kumuua Balozi wa Italia

    Hukumu imetolewa na Mahakama ya Kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) juu ya mauaji ya Balozi #LucaAttanasio mwaka wa 2021, licha ya ushahidi wa kesi kuendelea kuwa na utata. Hata hivyo, Mawakili wa Washtakiwa wametangaza kukata rufaa kupinga hukumu hiyo ambayo awali Waendesha...
  20. DodomaTZ

    Wafungwa waliomaliza vifungo vyao Gereza la Mkono (Morogoro) wadaiwa kukwama kurudi kwao licha ya kumaliza vifungo

    Raia wakigeni kutoka nchini Ethiopia waliomaliza vifungo vyao katika gereza la mkono wa Mara mkoani Morogoro wamekwama kurejea makwao baada ya kukosa msaada wa kusafirishwa. Mkuu wa gereza la Mkono wa Mara mkoani Morogoro, TADEO MGALLA amesema raia hao ambao walimaliza vifungo vyao tangu mwaka...
Back
Top Bottom