Wageni Airport (ICAO: FZNS) is an airport serving the city of Beni, in the North Kivu Province of the Democratic Republic of the Congo. The airport is in the northeast section of the city.
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetoa taarifa kwa umma juu ya uwepo wa tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi.
==
TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO YA KIUFUNDI KATIKA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA VIBALI VYA KAZI KWA...
Hellow Africa
Dah ninaishi na wife huu mwaka wa nne sasa ila kero kubwa wageni hawakauki hapa nyumbani ndugu zake wanaingia na kutoka kiasi kwamba mtu huwezi kuweka akiba yako.
Juzi kaja mgonjwa wa vidonda vya tumbo Jumapili huwa tuna kawaida ya kupika pilau yeye tukampikia ndizi lakini wapi...
Kutokana na wimbi la ushoga na usagaji nchini kusambaa kwa kasi kupitia taasisi za elimu na ustawi wa jamii kwa maana ya vituo vya kulelea watoto hasa vinavyomilikiwa na wawwkezaji wa kigeni, natoa rai serikali ipitie mitaala na mbinu za ufundishaji , vifaa vya ufundishaji, matumizi ya vifaa...
Hi,
Tabia zako zinatosha kukuelezea wewe ni mtu wa aina gani. Imagine mgeni anafukuafukua msosi kama yuko mgodini kutafuta nyama, lengo lake ni nini au anataka wenyeji tule pilau kavu?
Binadamu wengine jau kweli, hawa ndio wale ndugu akifa wanakuja kung'ang'ania mali ambazo hawajui hata...
Wasaidizi wako wanakudanganya kwa sababu wanafaidika na “kitu kidogo” Usidanganywe na hao wanaokushauri kuhusu utoaji vibali vya wageni.
Kwanza kazi nyingi humu nchini zinaweza kufanywa na wazawa. Kuna umuhimu wa kua na limit ya wageni ambao kampuni inaruhusiwa kuwaingiza humu nchini...
Last time nilisema Tarakea na Manyovu wanatumia Madaftari kutoa huduma za kuingia na kutoka nchini nikashauri wafanye marekebisho vituo hivi vifanye kazi kama vituo vingine kuleta hadhi Kwa wanaovuka mpaka.
Naomba kumkumbusha Dkt. Makakala kwamba bado Hali hii ipo vile vile pamoja na ushauri...
Kwa wale wasio ufahamu huo Mji; kwa ufupi tu uko ndani ya Mkoa wa Iringa (Kilomita chache kutoka Iringa mjini kama unaelekea Mbeya, Njombe au Ruvuma), uko ndani ya Wilaya ya Mufindi, na ni mji maarufu kwa biashara ya mbao na pia nguzo! Maana uko jirani na kiwanda maarufu cha Sao Hill.
Kwa kweli...
Kwenye maeneo yote yenye maendeleo aidha kwenye familia au jamii au walipokaa watu kwenye tafrija tunakutana na vyakula vifuatavyo;
1. Wali
2. Pilau
3. Viazi (chips)
4. Nyama
5. Ndizi nk
Ugali umetengwa nakufanywa siyo chakula chakuliwa na watu maalumu. Sijajua tatizo ni chakula cha masikini au...
Ni rai kwa wanausalama na kwa wapenda Amani wote!
Tumekuwa na Amani na utulivu kwa muda kitambo sasa licha ya mazuwio ya kisiasa, lakini nchi yetu imekuwa na Amani na shwari
Hivi majuzi mpendwa wetu na jemedari wa nchi yetu mh Rais Samia aliondoa zuio la kufanya mikutano ya kisiasa na ili...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko kubwa la omba omba katikati ya jiji la Arusha, kulinganisha na miaka miwili iliyopita.
Miongoni mwa omba omba hao ni wazee, vipofu, viziwi walemvu wa miguu na mikono Watoto, na baadhi yao wanaojifanyisha ni walemavu.
Hali hiyo imekuwa kero sehemu...
Kwanza niwe muwazi ( nikiri ) kuwa GENTAMYCINE napenda sana Paka na ninae Mmoja namfuga na ukitaka Ugombane nami mguse ndipo utajua kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa hauna Kolabo.
Hata hivyo sipendi Paka ambao Wanafugwa na wenye Nyumba ila hawana Adabu pindi Nyumba husika ikitembelewa...
Uongozi wa Yanga SC na wana Yanga SC msione Aibu Kutangaza kuwa mnapanga kuachana na Mtukutu Bernard Morrison ili kubaki na Wachezaji 12 Wanaotakiwa.
Na taarifa za ndani kabisa kutoka kwa Wanyetishaji wangu wanasema kuwa hata Kocha Mkuu wenu Nabi hamtaki Morrison japo baadhi ya Viongozi mnataka...
Aridhi ya Tanzania inaenda kuhodhiwa na Wageni hasa Wakenya & Warwanda.Idadi ya Wakenya wanahamia Tanzania inaongezeka maradufu.Mwezi uliopita nilisafiri kwenda Msibani Tarime wakati narudi kuelekea Mwanza mida ya SAA 1 kutokea Tarime-wakati tunafika katika daraja la MTO Mara mpakani mwa Wilaya...
Baada ya kufunga Mipaka yake kwa miaka mitatu ili kupambana na Maambukizi ya #UVIKO19, China itafungua tena Nchi kwa wenye Visa ya Ukaazi, Masomo na wanaotaka kutembelea familia.
Pia, Taarifa iliyotolewa na Mamlaka imesema wageni watalazimika kufanya kipimo cha kubaini hali zao (PCR) lakini...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa zoezi la kuingiza maji kwenye Bwawa la Julius Nyerere Disemba 22, 2022 badala ya Novemba 2021 iliyokuwa awali.
Mheshimiwa Rais pamoja na hatua hiyo muhimu bado kuna mambo ya msingi sana ambayo Waziri wako wa Umeme hajayaweka wazi...
Hiki ndo kipindi changu pendwa cha TV kwenye BBC Lifestyle channel 174.
Mnakutanishwa watu wanne, tano au sita ambao hamjuani, mnatembeleana kila cku nyumba ya kwanza hadi wa mwisho halaf mshindi anapatika siku ya mwisho anashinda pesa, kaz yenu kupika chakula na kuwapa watu good time nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.