Wageni Airport (ICAO: FZNS) is an airport serving the city of Beni, in the North Kivu Province of the Democratic Republic of the Congo. The airport is in the northeast section of the city.
Katika kuonyesha kuwa Klabu ya Namungo inaelewa Mchezo mzima wa Jezi Nyeusi za Timu Moja nayo imeweka wazi kuwa Jumatano itavaa Jezi zao Nyeusi na kama kuna Timu inataka Kuvaa Jezi Nyeusi za Mganga wao wa Kienyeji basi wawalipe Tsh Milioni 200.
Hata hivyo mpaka Mleta Uzi anaenda Mitamboni bado...
Nimejaribu kuhudhuria sherehe mbali mbali kwa miaka kadhaa; sherehe za mashule, vyuo, mambo ya ujenzi n.k
Na katika hizo sherehe nimeona tofauti kubwa kwa wale wageni rasmi, wanaopewa nafasi hizo.
Katika risala, huwa kuna kipengele cha kuelezea changamoto walizonazo, na zinazoitaji utatuzi...
Na mimi ngoja nisipepese macho. Wala nisifiche jina kwani ukweli haufichwi. Nijuavyo mimi kama niliyekuwepo kiwanja hapo na niliyeshiriki wakati malalamiko yanatolewa na wageni, ni kweli kikundi kipo kama kulivyo na kikundi cha wakata majani, madreva, na cha vijana wa kazi. Ila kikundi hiki cha...
Uwanja ndege wa AAKIA mwaka 2021 ulipokea wageni wa kimataifa 732,000 ukifuatiwa na JNIA uliopokea wageni 604,000 wa kimataifa, ikiwa ni tofauti ya wageni 128,000.
Ripoti ya takwimu za kitaifa (Tanzania in figures 2021) inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), inaonyesha kuwa uwanja huo...
Malkia Elizabeth II atafanyiwa mazishi ya kiserikali ambayo yatafanyika leo Septemba 19, 2022 katika eneo la Westminster Abbey, jijini London.
Mchana wa leo, Jeneza la Malkia Elizabeth II litasafiri hadi Windsor Castle kwa ibada ya mazishi na kisha atazikwa katika mazishi ya faragha.
Rais...
Nimepokea hivi karibuni voice note kutoka kwa Mtanzania anayeishi Afrika Kusini. Sauti hiyo ya Dudula Master ambaye ni mhamasishaji mkubwa wa Xhenophobia ametoa onyo dhidi ya wageni wote kuondoka Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 02 Septemba 2022 hadi Machi 2023.
Nchi zetu hususan Tanzania...
Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta.
Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za...
TANGAZO
!
Kozi ya kufundisha Kiswahili wageni
Asasi ya swahilispeaking.co.tz (Dar es Salaam, Tanzania), inayojishughulisha na ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni inatarajia kutoa mafunzo mafupi kwa mtu anayependa kujua namna ya kufundisha wageni. Ni asasi binafsi ya KISWAHILI kwa WAGENI, ni...
Wakazi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wameonesha kufurahia ujio wa wageni waliohamiawilayani humo kutokea Ngorongoro. Pamoja na kutaja faida kadhaa wameeleza pia kuwa, ujio wao umeanza kukuza Mnada wa Nderema kwamba utakuwa ni moja ya mnada kubwa Afrika Mashariki.
Tayari Serikali imeanza...
Kwenye mfumo wa kufanya malipo TANAPA (kwenye mbuga za wanyama) kumekuwa na maelekezo ya kujaza maelezo yote ya mgeni yaliyopo kwenye passport (Tarehe ya Kuzaliwa, jina kamili na passport number na utaifa)
Kutokana na mabadiliko ya tecknolojia, mtu akipata hayo maelezo, anao uwezo wa ku-temper...
Nimeona huo msururu wa hao waandamizi kutoka taasisi mbalimbali. Hao wote wanakula kodi zetu aloo.
Sasa nawaza wenzangu na mie ambao kati ya hao hamna hata ndugu mmoja hata wa mbalimbali mnajisikiaje eti.
Angalau sisi ambao wamo ndugu zetu tunajifariji kuwa angalau Kodi yetu inaliwa na wanetu...
Serikali imefanya marekebisho kwa sheria ya Benki kuu.
Kuruhusu watu nje ya nchi kununua treasury bonds.
Hii ni hatari kwa uchumi wetu.
We are officially sold out.
Wiki iliyopita, niliamua kutoka nje ya mji kidogo kwenda kujipumzisha.
Nilipofika huko, nikawa natafuta nyumba ya wageni iliyojificha, ili nipate utulivu wa kutafakari, maisha ya hapa duniani.
Kuulizia nafasi, zimejaa; nikaenda nyingine tena kama tatu, zimejaa; daah, nikatamani nirudi mjini...
Hii biashara ina faida sana, ukiwa na vyumba 10 kwa 20,000 chumba kimoja na vyote vikapata wateja, una uhakika wa 200,000 kwa siku. Nyumba hizi hustiri wengi wenye uwezo wa kati na wa chini. Wale wasio kudumu hoteli kuanzia 100,000 kwa siku.
Changamoto moja kubwa ni ustaarabu, watu wengi...
Ni wakati sasa kwa TFF kutoa adhabu kali kwa hawa washirikina. Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
Yaani tunaonekana Watanzania ni watu wa juju! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.
Unafanyaje ushirikina mbele ya makamera yote yale ukiwa nchi ya ugenini ?
Hiki kilichofanyik ni kinyume...
Nimeletewa kisa ndugu wa mume katembelea hii family ila baada ya siku chache tu anawanunia wenyeji wake, lakini pia nimeshaona na kusikia pia sehemu tofautitofauti. Naomba mnisaidie hivi hii hali ya kutokuelewana kati ya wenyeji na wageni hivi inasababishwa na nini.
a/Wewe umetembelea mahali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.