Kuna dhana inayosambaa kuwa asali ni salama zaidi kuliko sukari kwa sababu eti ni ya asili especially kwa watu wenye ugonjwa wa kisukari.
Lakini je, kuwa na asili ya asali kunamaanisha kuwa haina madhara kwa kiwango cha sukari kwenye damu?
Tanzania imetajwa miongoni mwa nchi Tano za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wazima wenye ugonjwa wa kisukari.
Idadi inayokadiriwa ya watu wenye umri wa miaka 20 hadi 79 wanaoishi na kisukari nchini Tanzania imefikia milioni 2.9 mwaka 2024, kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Kisukari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.