Wahadhiri wa dini ya Kiislamu leo wametoa tamko zito kuhusu matukio yaliyohusiana na matibabu ya majeruhi na usimamizi wa kesi za vurugu. Katika tamko lao, walianza kwa kujibu hoja iliyotolewa juu ya tuhuma za Polisi kukataa majeruhi wasitibiwe na badala yake kupelekwa baadhi yao mochwari...
Wahadhiri wa dini ya Kiislamu nchini wamesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akipingwa kutokana na asili yake ya Uzanzibari, jinsia yake ya kike, pamoja na dini yake ya Kiislamu. Wameeleza kuwa baadhi ya watu kutoka Bara wamekuwa wakitoa lawama zisizo za msingi na kuhusisha changamoto...
Katika mkutano wao leo, wameeleza kuwa wakati aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, alipodaiwa kupora fedha za watu kwenye mabenki mbalimbali, TEC ilikuwa wapi? Wameuliza pia kwa nini wakati dini nyingine zinasisitiza amani, ninyi mlikuwa wapi? Aidha, wamesisitiza kuwa Mzanzibari ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.