wahadhiri wa dini ya kiislamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa dini ya kiislamu: Padri kitima alipaswa kumwambia waziri mkuu au tume ya uchunguzi kuhusu 'wahuni' kukataa majeruhi wasitibiwe

    Wahadhiri wa dini ya Kiislamu leo wametoa tamko zito kuhusu matukio yaliyohusiana na matibabu ya majeruhi na usimamizi wa kesi za vurugu. Katika tamko lao, walianza kwa kujibu hoja iliyotolewa juu ya tuhuma za Polisi kukataa majeruhi wasitibiwe na badala yake kupelekwa baadhi yao mochwari...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa dini ya kiislamu: Rais Samia anapingwa kwa uzanzibari wake na uislamu wake, hakuna kipindi watu walitekwa kama cha Magufuli

    Wahadhiri wa dini ya Kiislamu nchini wamesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akipingwa kutokana na asili yake ya Uzanzibari, jinsia yake ya kike, pamoja na dini yake ya Kiislamu. Wameeleza kuwa baadhi ya watu kutoka Bara wamekuwa wakitoa lawama zisizo za msingi na kuhusisha changamoto...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa dini ya kiislamu: Magufuli alipora fedha za watu kwenye bank TEC mlikuwa wapi?, Mzanzibari ana haki ya kuitawala Tanganyika

    Katika mkutano wao leo, wameeleza kuwa wakati aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, alipodaiwa kupora fedha za watu kwenye mabenki mbalimbali, TEC ilikuwa wapi? Wameuliza pia kwa nini wakati dini nyingine zinasisitiza amani, ninyi mlikuwa wapi? Aidha, wamesisitiza kuwa Mzanzibari ana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…