Mpango wa Umoja wa Ulaya wa kuanzisha vituo vya wahamiaji nje ya mipaka yake umeingia hatua mpya huku Rwanda ikitajwa kuwa eneo linalopewa nafasi kubwa ya kuwa mwenyeji wa kituo cha kwanza cha aina hiyo.
Mpango huo ni sehemu ya msimamo mkali zaidi wa baadhi ya serikali za Ulaya kuhusu uhamiaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.