wahanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Father of All

    Nawashauri wahanga wa janga la Kariakoo waishitaki serikali badala ya kupongeza

    Kazi ya kwanza ya serikali ni kulinda uhai wa wananchi. Pili ni kulinda mali zao. Ibara ya 14 ya katiba ambayo ndiyo sheria mama inasema "kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii hifadhi ya maisha yake, kwa mujibu wa sheria." Ni kwa mujibu wa sheria tu uhai wa mtanzania unaweza...
  2. S

    Kama jengo la Kariakoo ni miongoni ya yaliyosemwa kujengwa kinyume cha kanuni na Tume ya Lowassa, serikali ishitakiwe ili ifidie wahanga mabilioni!

    Kamati iliyoteuliwa mwaka 2006 na Waziri Mkuu wa wakati huo Edward Lowassa, ilibaini kuwa majengo 147 kati ya 505 yaliyokaguliwa jijini hayakuwa nyaraka na vibali sahihi vya ujenzi. Yalijengwa kiholela na bila viwango na kuwa hatarishi kwa uhai wa watu. Mnamo mwaka 2008, Waziri Mkuu, Mizengo...
  3. Influenza

    Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

    Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20, amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa...
  4. M

    Je wahanga wa ajali ya kuangukiwa na ghorofa la kariakoo watalipwa fidia?

    Nimeona taarifa nyingi za pole ila sijasikia tamko lolote kuhusu fidia watakazolipwa wahanga wa ajali hiyo.
  5. S

    Hii ni njia nyingine nzuri ya uokoaji kariakoo, kwa wale wahanga wanaopiga simu.

    Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi. Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao. Tumieni simu au computer zenu...
  6. B

    70% ya wahanga Gaza na Lebanon kunakosemekana kuuwawa magaidi, ni wanawake na watoto. Yawezekana maana ya neno gaidi haijulikani!

    Imekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari vyenye kuegemea magharibi kuhusu magaidi na ugaidi; wengine tukashadadia. Kwamba Israel inapambana na magaidi, na kutokea Oct. 7, 2023 takwimu ndiyo hizi: Bila shaka ndiyo maana kina Mandela, Gaddafi, Saddam, Castro, nk waliitwa magaidi. Kama ilivyo...
  7. Mystery

    Je, vitendo vya kutekana na baadhi ya Wahanga kuuawa ni mkakati wa CCM kutaka kuua upinzani nchini ili usiwepo kabisa?

    Kwa mujibu wa Katiba ya nchi hii, uwepo wa vyama vya kisiasa hapa nchini ni halali na vinapaswa kuendelea kulelewa Ili vikue, Kwa lengo la kutaka kuendelea kuleta maendeleo nchini. Uwepo wa vyama vya upinzani nchini ni muhimu sana Kwa kuwa serikali inabidi ipokee mawazo mbadala Kwa lengo la...
  8. B

    Palestina ni wahanga, Iran na Israel hawachekani, ila Marekani wapewe maua yao

    Ni bahati mbaya kuwa mashariki ya kati mpalestina ni mhanga wa udhwalimu. Kwamba yalimkuta tokea 1947 huko, kumbe ana uchaguzi upi mwingine? Kwa hakika Gen Z wamepata funzo: "Haki hupiganiwa kwa wivu mkubwa hata kama ni kwa kupoteza kila kitu yakiwamo maisha." Kwamba vita ni rasilimali ziwe...
  9. Roving Journalist

    Mbunge Sillo akabidhi magunia 10 ya mahidi wahanga wa Mafuriko Manyara

    Mbunge wa Jimbo la Babati na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo ametoa magunia 10 ya mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha Manyara. Akizungumza mara baada ya kukabidhi chakula hicho Mei 19, 2024 katika Ziara Maalum ya Kikazi ya kutembelea na...
  10. Ndagullachrles

    Profesa Ndakidemi awakimbilia wahanga wa mafuriko Moshi

    MBUNGE NDAKIDEMI AWAKIMBILIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KATIKA KATA ZA MABOGINI NA ARUSHA CHINI. Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi ametoa pole kwa Wananchi wa Kata za Mabogini na Arusha Chini ambao nyumba na mazao yao yameathirika kwa mafuriko yaliyotokea katika Kata hizo...
  11. Ndagullachrles

    Ibra Line kusaidia wahanga wa mafuriko Moshi

    Mfanyabiashara maarufu mjini Moshi, Ibrahim Shayo 'ibra Line', ameguswa na mafuriko yaliyosababisha athari kubwa kwa wananchi wa Kata za mji mpya na Msaranga na kuahidi kuwasaidia vifaa mbalimbali ikiwamo mashuka na magodoro. Usiku wa kuamkia Leo mvua kubwa iliyonyesha imeziacha familia nyingi...
  12. JanguKamaJangu

    TASAC yatoa taarifa kuwa Wahanga 17 wameshaokolewa katika ajali ya kuzama kwa Meli ya MV Maman Benita

    Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) linatoa taarifa kwa Umma kuhusu tukio la kuzama kwa meli iitwayo MV Maman Benita iliyotokea katika Ziwa Tanganyika. Meli hiyo iliyosajiliwa chini ya bendera ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, inamilikiwa na kampuni ya Kikongo, iitwayo Établissement...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Twaha Mpembenwe afika Kibiti kutoa pole, Rais Samia Suluhu Hassan kutuma misaada ya kibinadamu kusaaidia wahanga wa mafuriko

    Mbunge Twaha Mpembenwe Afika Kibiti Kutoa Pole, Rais Samia Suluhu Hassan Kutuma Misaada ya Kibinadamu Kusaaidia Wahanga wa Mafuriko Mbunge wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani, Mhe. Twaha Ally Mpembenwe amefanya ziara ya kuwatembelea wananchi wa Kata, Vijiji, vitongoji na mitaa katika Wilaya ya...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Vijana wanakufa kwa ajali za bodaboda kila siku. Serikali haina taarifa au kwakuwa wahanga ni familia za kimaskini?

    Sina mambo mengi Hali ni ngumu, kila siku unasikia misiba huku na kule. Nazungumzia hii misiba ya bodaboda, serikali iko kimya kama hamna kinachoendelea. Je, serikali haina taarifa ya misiba hii ya bodaboda au haijali kwakuwa wahanga ni familia maskini?
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Maryam Azan Mwinyi: Serikali Imejipangaje Kuwasaidia Wahanga Wanaopata Ujauzito Kutokana na Matukio ya Ukatili wa Kijinsia (Ubakaji na Udhalili

    Mbunge Maryam Azan Mwinyi: Serikali Imejipangaje Kuwasaidia Wahanga Wanaopata Ujauzito Kutokana na Matukio ya Ukatili wa Kijinsia (Ubakaji na Udhalilishaji) Serikali imesema imeandaa mipango na mikakati ya kuwasaidia waathirika na manusura wa vitendo vya ukatili ili kuhakikisha wanapatiwa...
  16. A

    DOKEZO Malipo ya watumishi wa afya Hanang kwa waliosaidia wahanga kuna upigaji mkubwa

    Watumishi wa afya Hanang tumesainishwa karatasi za malipo ambazo hazioneshi kiasi tutakacholipwa matokeo yake wengine wamelipwa half per diem na wengine wamelipwa kwa extra duties na wengine mkurugenzi amegoma kutulipa lakini wote tumesaini karatasi za malipo kwa kazi hiyo moja ila malipo...
  17. Roving Journalist

    Rais Samia: Walioathirika na mafuriko Hanang ni Waathirika sio Wahanga

    Lugha adhimu ya Kiswahili, Rais Samia Suluhu Hassan akielezea tofauti ya Waathirika na Wahanga kwa kilichotokea Wilayani Hanang Mkoani Manyara. Amesema hayo baada ya watu wengi kutumia neno “Wahanga” wa mafuriko badala ya “Waathirika”.
  18. The Palm Beach

    Kumbe serikali kupitia jeshi la polisi waliwazuia CHADEMA kama chama kuingia Katesh - Hanang kufariji wahanga wa maafa na kutoa misaada?

    Anaandika Malisa G.J toka FB page yake Baada ya msafara wa Mbowe kuzuiwa na jeshi la polisi kwenda wilayani Hanan'g kwenye eneo lililokumbwa na maafa, Mbowe alilaumu kitendo hicho kuwa si cha kiiungwana na kinawagawa watanzania kwani wahanga wa Hanan'g wanahitaji faraja ya watu wote. Mbowe...
  19. Roving Journalist

    Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  20. Faana

    Msaada wa Bunge kwa Wahanga wa Mafuriko Hanang

    Nimesikia katika kipindi cha Nipashe Radio One kuwa Bunge limetoa kilo 3000 za mchele na unga pamoja na kilo 15 za sukari na kiloo ? za mbegu, je idadi ya wahanga imefikia wangapi hivi sasa?
Back
Top Bottom