Akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa Jijini Arusha, amesema takwimu zinaonesha zaidi ya 90% Ajali za Barabarani husababishwa na makosa ya kibinadamu ikiwemo mwendokasi, kutovaa mikanda na kupita gari lingine bila tahadhari.
Amesema, "Uendeshaji wa Vyombo...
Ripoti ya jeshi la polisi nchini inaonesha ongezeko la asilimia 25.95 la ukatili dhidi ya watoto. Katika mwaka 2021 visa 7388 viliripotiwa kote nchini tofauti na mwaka 2015 ambapo matukio 5,803 yaliripotiwa.
Tatizo la watoto wengi hasa wa kiume kulawitiwa limekua kubwa pasipo kutajwa sababu...
Jamani, kumetokea utitiri wa kampuni za bima za magari nyingi sana nchini kiasi kwamba na makanjanja wamepetia humo humo.
Makampuni haya ni mepesi sana kupokea hela kutoka kwetu wateja...lakini mteja lilikukuta la kukukuta la ajali ya gari wanaingia mitini kwa speed ya 5G. Wakitoa vijisingizio...
Umoja wa Mataifa(UN) umeripoti kuwa ukosefu wa elimu huwafanya watu wengi waingie katika utumwa unaotokana na biashara ya binadamu
Wahanga wa Biashara ya binadamu wametakiwa sana ili kuonesha namna ya kukomesha biashara hiyo haramu
Aidha #COVID19 imetajwa kuwa na uwezekano wa kuongeza matukio...
"Nitoe wito kwa wale wanaowapokea kwenye masoko, kwamba utaratibu ni ule ule wale ambao wametoka Kariakoo, wakiratibiwa wakifika maeneo hayo hakuna kulipa ushuru kwa miezi miwili, na hicho ndio kifuta machozi kwa wale walioathirika"
- RC Dar es Salaam, Amos Makalla
Ndugu Laurean Bwanakunu alikuwa ni DG wa Bohari ya Dawa - MSD tangu Julai/August, 2015 pamoja na kuwa ujio wake uliacha maswali mengi sana, nafikiri siri ya ujio wa Bwanakunu Bohari ya Dawa anaijua zaidi aliyekuwa Waziri wa Afya kipindi hicho na aliyekuwa Mbunge wa Rufiji ndugu Seif Rashid...
Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara.
Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama...
John Munisi ni miongoni mwa Wahanga wa kwanza kabisa wa utawala wa Marehemu John Magufuli kufanya misa ya shukrani kwa lengo la kumtukuza Mungu kwa ajili ya Matendo Makuu aliyomtendea.
John Munisi ni Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai ambaye alitengenezewa kesi ya Ubakaji ya kumjaza mimba...
Huu ni wendawazimu. Ingekuwa hivi kule Magerezani kusingekuwa na wafungwa hata mmoja. Wote wangekuwa wameomba msamaha na wakasamehewa.
Wanasiasa wezi huwa wanaamini wao si Watanzania wa kawaida. Huamini wao ni watu special so wanahitaji special treatment. Huku ni kuwatusi Watanzania.
Kauli za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.