wahanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
  2. Erythrocyte

    Freeman Mbowe kufanya ziara Hanang yenye lengo la kutoa Rambirambi kwa Wahanga

    Taarifa iliyotolewa na Chama Chake hii hapa .
  3. sky soldier

    Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa

    Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, mzigo ilinibidi niufate mwenyewe. Nilipofika wenyeji wakanipeleka lodge nzuri, niliona ni ukarimu maana hata watu wa mkoa huo ukarimu sifa yao...
  4. sky soldier

    Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa

    Watu huwa wanasema mnyama hatari asie na huruma ni Mbwa mwitu na fisi lakini mimi niseme kwamba kuna wanadamu ni wanyama hatari kuliko kiumbe chochote Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, ni mali ambayo ilibidi niifuate. Nilipofika wenyeji wakanipeleka, niliona ni ukarimu maana...
  5. L

    Mapigano ya Sudan yaonyesha tena kuwa nchi za Afrika hazitakiwi kuwa wahanga wa umwamba wa Magharibi

    Mapigano nchini Sudan yamedumu kwa siku kadhaa, na kusababisha maelfu ya watu kupoteza maisha na kujeruhiwa. Licha ya wito wa kusimamisha vita wa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na mashirika mengine ya kimataifa na ya kikanda, hadi sasa, pande zinazopigana za jeshi na kikosi cha usaidizi wa...
  6. Wakusoma 12

    Raia wa Pakistan asiyejulikana anayeishi Marekani atoa msaada wa zaidi ya bilioni 60 kwa wahanga wa Tetemeko la Uturuki

    Wakuu haya ndiyo matendo makuu sasa, fanya mambo kisha unapotea. Mwanaume mmoja ametembelea ubalozi wa Uturuki nchini Marekani na kutoa msaada wa Dola za Kimarekani milioni 30 (zaidi ya bilion 60 za Kitanzani). Msaada huo ni kwa ajili ya huduma za kiutu kwa wahanga wa Tetemeko la Ardhi. Mtu...
  7. makilo

    Je, bima huwa inawafidia wahanga Hawa?

    Wakuu Kama kichwa Cha habari hapo juu. Naomba kujuzwa, majeruwi na familia za wapendwa waliofariki zinazotokea kwenye mabasi ya mikoani au haya ya humu mijini yenye bima kubwa huwa wanafidiwa? Huwa wakipata majeraa wanatibiwa kwa gharama za Nani? Mmiliki wa chombo serikali au watajua wenyewe...
  8. MamaSamia2025

    Kuheshimu katiba ni jukumu la kila raia. Malisa GJ na Joel Nanauka ni wahanga wa hili

    Ninaandika huu uzi nikiwa nimekwazwa sana na baadhi ya watanzania wenzetu wasiojali katiba inavyosema kuhusu uhuru wa watu wengine. Kumekuwa na uvunjaji mkubwa wa sheria kwa sisi wananchi wa kawaida na tukibanwa tunasingizia viongozi. Juzi kijana Joel Nanauka alipost kuomba kura za wajumbe...
  9. Lycaon pictus

    Treni za abiria hazina bima? Wahanga wa ajali ya Dodoma wanaweza idai serikali fidia?

    Nimesikia wahanga wa ajali ya Precision Air watalipwa fidia, pesa nyingi. Nimekumbuka ajali ya treni Dodoma miaka ishirini iliyopita. Hivi treni huwa inakata bima? Wahanga wa ajali ile wanaweza dai fidia?
  10. Dr Rutagwerera Sr

    Serikali iwalipe fidia familia za wahanga ajali ya ndege Bukoba

    Kuna haja ya Serikali kuzilipa fidia familia za wahanga wote wa ajali ya ndege kutokana na uzembe uliosababishwa na kukosa uweledi kwenye uokoaji. Suala la uokoaji ni dhima ya serikali, wala haikupaswa kuwa shughuli ya wavuvi. Nashauri familia za wahanga waungane na kufungua kesi dhidi ya...
  11. Mwl Athumani Ramadhani

    Mngeomba msaada kwa CDF, angewapa makomando, wangeonyesha uwezo wao na kuokoa wahanga wa ajali ya ndege

    Nampa pole Waziri MKUU na Rais KWA fedheha na aibu tulioipata kama Taifa kwenye hii ajali ya ndege, mengi yameandikwa lakini NIMEONA niwape mbadala kwa siku za mbeleni kama yakitokea kama Hayo tulioyaona! Naamini kama Waziri MKUU angemuomba CDF amsaidie kwenye hili nadhani tungeshuhudia...
  12. BARD AI

    Wahanga wa 'Plea Bargain' waomba Jaji Biswalo asimamishwe kupisha uchunguzi

    Ni baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuthibitisha kuwa ofisi yake imeanza uchunguzi wa jambo hilo na ripoti yake itatoka March 2023. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Ofisi ya CAG imeanza kuwahoji waathirika wa utaratibu huo kuanzia ngazi ya Kata, huku kukiwa na madai...
  13. B

    Hatimaye Polisi ni malaika, wahanga nao wamesahau?

    Hiki ni kibwagizo kidogo tokea Tarime. Ni majuzi tumeona kipigo cha mbwa koko kwa mtuhumiwa aliyekuwa kwenye pingu. Haifahamiki kama polisi wahalifu wale kuna angalau walio bado korokoroni. Mtwara tuliyekuwa tukiambiwa jambazi kumbe ndiye aliyekuwa mhanga wa yale majambazi sugu yenyewe. Ya...
  14. Roving Journalist

    Polisi watakiwa kuwapa msaada wa kisaikolojia Watoto wahanga wa vitendo vya ukatili

    Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna, Mary Nzuki amewataka Askari Polisi wanaofanyakazi Dawati la Usalama Wetu kwanza kuwapa elimu ya afya ya akili na msaada wa kisaikolojia Watoto wahanga wa vitendo vya ukatili. Akifungua mafunzo ya siku saba ya...
  15. BAAJUN POET

    SoC02 Dhana ya ushoga na sintofahamu iliyopo juu ya wahanga wa ukatili wa kihisia, kijinsia, na kimaumbile Tanzania

    DHANA YA USHOGA NA SINTOFAHAMU ILIYOPO JUU YA WAHANGA WA UKATILI WA KIHISIA, KIJINSIA, NA KIMAUMBILE TANZANIA UTANGULIZI: Kuna vilio vingi chini ya hiki kivuli cha woga. Kuna mambo jamii inaogopa kuzungumza. Familia nyingi zinasubiri muujiza; hali ya kuwa ziko katika sintofahamu juu ya namna...
  16. N

    Hayati Magufuli alikuja kuharibu maisha ya vijana, Mimi ni mmoja wa wahanga

    Nasikitika sana! Mimi ni kijana mmoja wapo kati ya vijana wengi walioharibiwa maisha yao! Siku zote ukweli hujitenga na uongo, sisemi uongo utawala wote wa awamu ya tano nimehangaika sana. Nilihitimu chuo 2015 kada ya afya! Kutokana na uhaba wa ajira nilikaa sana kitaa nikifanya mishe mishe...
  17. Gama

    Raia wa Urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea

    Raia wa urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea sasa, awali waliaminishwa kuwa vita ina nia njema ya kuikomboa nchi dhidi ya wanazi na kuwa itachukua muda mfupi lakini sasa haijulikani itaisha lini FUATILIA HAPA As war drags on, weary Russians yearn for a return to normal life Robyn Dixon...
  18. N

    Watumishi wa Serikali daima ni wahanga wa wanasiasa

    Angalia Msukuma anavyowashambuliaga Wakurugenzi kule Jimboni kwake. Yaani Mwanasiasa yeyote akitaka kujitoa kwenye kutowajibika basi huanza kumshambulia Mtumishi wa Umma anayehusika na jambo Fulani. Musukuma kwa kupitia Kamati inayohusika na zabuni angeweza kuzuia kile alichodai ni matumizi...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Wahanga wa Moto wa soko la Karume wachangiwe pesa, ikiwa ni janga la bahati mbaya

    Wakuu Kwema! Ajira Hakuna! Tumetoka familia Masikini Sana. Nina rafiki zangu wengi waliokuwa wanauza uza mitumba Yao pale Karume. Mitaji Yao wameipata Kwa mbinde Jamani! Ndugu zangu wote tunajuana humu nchini, Sisi ni masikini Sana, tunatafuta pesa Kwa taabu na nguvu nyingi, hatuwezi sema ni...
  20. Erythrocyte

    Serikali ya Tanzania ilipora Maelfu ya mifugo ya nchi nyingine iliyokamatwa kwenye mapori ya mpakani. Wahanga walipwe fidia

    Unyama wa serikali ya awamu ya 5 ulijumuisha hadi wizi wa mifugo ya nchi jirani kwa kisingizio cha kuvuka mpaka. Mifugo kutoka Rwanda na Uganda ilitaifishwa baada ya kuvuka mpaka na kuingia kwenye mapori ya Tanzania, badala ya kurejeshwa zilikotoka viongozi wa Tanzania wakaamua kuzipora na bila...
Back
Top Bottom