Mfanyabiashara maarufu mjini Moshi, Ibrahim Shayo 'ibra Line', ameguswa na mafuriko yaliyosababisha athari kubwa kwa wananchi wa Kata za mji mpya na Msaranga na kuahidi kuwasaidia vifaa mbalimbali ikiwamo mashuka na magodoro.
Usiku wa kuamkia Leo mvua kubwa iliyonyesha imeziacha familia nyingi...