L
Kila kitu kizuri nyuma yake kina ubaya
Tunza hekima ya wahenga uliyorithishwa kusaidia watu nasio kuwaaumiza wengine
Sheria ya uchawi inasema 👇👇
Fanya uwezavyo kwa kutumia uchawi ila usimdhuru mtu
🚶Tenda wema nenda zako 🚶
BRAZA CHOGO BICHWA KOMWE - Nikifa MkeWangu Asiolewe Tumwesige senior
Cornelius K. Ronoh
@itskipronoh
It’s confirmed: President Mama Samia Suluhu Hassan and Paul Kagame voted for Mahmoud Ali Youssouf. Interests come first, not neighborhood or friendship.
GENTAMYCINE siongezi kitu wala sipunguzi kitu ila Raila Odinga Yeye ajue tu kuwa Waafrika UNAFIKI ni TUNU...
Sauti ya wahenga inasema
ni bahati nzuri kutofagia nyumba ya zamani kabla ya kuondoka kuhamia nyumba mpya,kwani ukifanya ivyo yale mabalaa unayo pitia nyumba ya zamani unayaamishia nyumba mpya.
Pia usihame katika Nyumba nyingine na ufagio wa zamani,hii unaamishia nuksi na matatizo Kwenye...
habari.
Jukwaa hili ni kwaajili ya kukumbushana maisha ya zamani, zana zilizotumika zamani michezo na masomo ya zamani na mengineyo yote ili vizazi vijavyo viweze kujifunza.
Karibuni nyote.
WAHENGA WALIOBAHATIKA KUPIMWA UZITO KWA MIZANI HIYO? HAPO NI KISHAPU SHINYANGA. INAKUWA NI SIKU MAALUM YA KUPIMWA UZITO,ENEO KWA ENEO. MIZANI INAHAMISHWA.
Wazee wa zamani walikuwa wakitoka safari ya siku nyingi walikuwa Hawa fikii nyumbani hapana wanafikia vilabuniii
Kisha Wana mtuma Mtoto apeleke begi nyumbani ili mke ajue mumewe kafika
Kusudi mke aandae mazingira vizuli
Yani Kama mchepuko alisahau car wash, soks,viatu,au suluwali ndani mke...
Kwa Wahenga wenzangu ambao tulikua miaka 1990s wakati huo kuna ITV na ITV 2, Cheka na CTN kulikuwa na muigizaji wa kwanza hapa Bongo
Alikuwa akiigiza Ana kigugumizi na tumbo kubwa na pia kwa miaka hiyo alikuwa akiimba Taarabu
Huyu jamaa alifariki mapema akiwa kwenye ubora wake kama...
Hawa vijana wanaomaliza shule siku hizi wanatufanyia sisi tuonekane hatukuwa serious wakati tunasoma
Vijana wanafaulu hadi tunajiona sisi tulihurumiwa kupata vyuo 😂😂
Haya matokeo ya kidato cha sita yamenifanya nijiskie nilifeli
Niliambia hivi
★"Mwanangu katika maisha yako ya utuuzima ishi na mwenyeji wako kama mgeni,mgeni ajapo ishi naye kama mwenyeji tu ulokwepo naye kabla"
★ Nilipewa nafasi kufikiria kama ningepata hata kuelewa lakini haikuwa rahisi sana.
Ikatafsiriwa na wataalamu wakasema kuwa jambo hilo lipo...
Miaka ya 1990 mpaka mwanzoni mwa mwaka 2000 tulipata kusikia nyimbo tamu sana kutoka Ughaibuni, nyimbo kama "Hold On" ya mwamba Wilson Phillips, au "It Must Have Been Love" kutoka kwa bendi ya Roxette au Vogue ya Madonna. Lakini kuna nyimbo mbili ambazo utotoni tulipenda sana kusikiliza kiasi...
Naombeni ushauri, mke gani nichague!
Niangalie uzuri, mtaani wanijue?
Au anaeweza shughuli, kitandani nitulie.
Au alietulia tuli, pekeangu nitanue.
Ebu nipeni ushauri, leo hii nijue.
Nichukue mwenye tako au mwembamba anatosha.
Nichague mwenye cheko, anaeweza kunikosha.
Au nichukue mnoko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.