wahenga

  1. D

    Kipi kiliwafanya wahenga kutunga misemo kama hii "Asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu"

    Kuna wakati nashawishika kuamini hata bibilia huenda iliandikwa kwa utaratibu kama huu wa wahenga! Mfano misemo hii ingekuwa na majina ya wahenga ingeleta maana ileile ya kibiblia! Mhenga 1:1 Mtoto umuleavyo ndivyo akuavyo Mhenga 1:2 Asiyesikia la mkuu huvunjika guu Mhenga 1:3 Asiyefunzwa na...
  2. Fumo Liyongo

    SoC01 Ndoto za Mchana za Wahenga

    [CHANZO: Pinterest] Wasifu wa mhenga wa kigeni Kabla hawajazaliwa wazee wa wazee wetu, katika shamba moja mbali sana kutoka kijijini kwetu, alizaliwa mtoto. Kabla hujaweka maneno katika aya zangu, huyu si yule mtoto wa vitabuni, aliyezaliwa katika zizi la ng’ombe na kuletewa zawadi nyingi na...
  3. B

    #COVID19 Ushawishi wa chanjo ya Covid na kauli ya wahenga "kibaya chajitembeza"

    Tunapoona Marekani wakitoa hamasa kufikia kulipa dola mia moja sawa na laki mbili na ishirini plus ya Tanzania kwa mtu kuchanjwa inafanya nijihoji kwanini wao ulimwengu wa Kwanza wanadhani watu wao wamegoma kuchanjwa? Je, Kama ulaya watu wanalipwa na awataki kuchanjwa huku Africa na Tanzania...
  4. Mr pianoman

    Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

    Kwa kipindi cha miaka ya 90’s mpaka 20’s ilikuwa ili msanii uweze kutoboa lazima ujiunge kwenye kundi lolote la muziki na ndio maana kwa kipindi hicho idadi ya makundi ilikuwa kubwa na yalidumu kwa muda mrefu,walikusudia kuifanya Tanzania kuwa "Taifa la hip hop’’, vijana kuondokana na maisha ya...
Back
Top Bottom